Elimu ya Lissu haina msaada kwa Watanzania

Kama hujaona faida ya elimu ya Lissu na zitto basi wewe ni mbumbumbu na hakuna haja ya kukueimisha kwa hilo!
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Hatimaye Leo nimethibitisha bila shaka yoyote kwamba huna akili timamu , unajua siku zote nilikuwa najiuliza kuhusu jambo hili , Nawaomba Moderator wanisaidie kukuweka kwenye Ignore list kabla hujanisababishia matatizo .
 
ndio tatizo la kukulia vijijini unayajua mambo ukija chuo mengi unakua hujui ivi kwa akili za kawaida wewe na lisu nani anapaswa kurudisha ada? umekalia majungu tuu. hao accasia walikulipa nn sasa? nani alipitisha hiyo mikataba na acasia?
 
Lisu bakia hukohuko hatukutaki kabisa nchini kwetu. Hatuhitaji vurugu zako. Umeondoka nchi imetulia wewe ni mwiba kwa taifa letu takatifu
 
Mkuu wazungu wanamwelewa JPM vizuri sana,jamaa yuko sahihi kwa approach zote anazofanya..sisi(waafrica) hatujitambui...mzungu hawezi kuhujumu nchi yake ,sie tuna upumbavu huo..hatuwajibiki ipasavyo kwa manufaa ya nchi zetu...ndo maana tulitandikwa viboko enzi za ukoloni kujenga reli kwa manufaa yetu..
Hahahaha umesema kweli mkuu
 
Hatimaye Leo nimethibitisha bila shaka yoyote kwamba huna akili timamu , unajua siku zote nilikuwa najiuliza kuhusu jambo hili , Nawaomba Moderator wanisaidie kukuweka kwenye Ignore list kabla hujanisababishia matatizo .
Jikite kwenye hoja au tuambie ni lipi alilosema Lisu kuhusu Acacia alafu limetimia?
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
PHD feki ya Magufuli ndo ina msaada kwa watanzania?
Jinga kweli wewe.
 
Tuwe wa kweli....
Hi nchi Kama upinzani hautakuepo tumekwisha...
Lissu, zito wanamchango mkubwa mnoo kwa taifa hilii Kama watasikilizwa na kuchambua wanayoyasema..... Wanamapungufu yao ila Mara nyingi huwa wapo sahihi.
 
Wewe elimu yako ya kuwinda ndezi inawasaidiaje watanzania?
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
 
PHD feki ya Magufuli ndo ina msaada kwa watanzania?
Jinga kweli wewe.
Hivi wewe hata formfour umemaliza kweli, halafu unaita dr. Mag kuwa ana phd feki, ila kumbua yeye ni rais, na analipwa hela nyingi kwa mwezi ambazo wewe mpaka unakufa hautafikia mapato yake hata ya miezi 2 tu
 
Wapumbavu nchi hii hamtaisha,hivi wewe unanijua mimi na unajua kipato changu? Ten years to come nitakuwa kama MO endapo nikiwa hai, Kama hana PHD feki kwanini alimpoteza Saanane?
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Kama Lissu anapaswa kurudisha ''kodi'' kwa kutumiwa na mabepari, wewe hupaswi kurudisha 'kodi' , unatakiwa ufungwe miaka 10 na kazi ngumu, viboko 12 ukiingia na 12 ukitoka.
Upigwe marufuku kutowasiliana na jamii baada ya hapo kwa miaka 10

1. Hakuna bepari anayeweza kutoka nje na 'magreda na katapila' na kuanza kuchimba madini Tanzania. Kama yupo Bepari huyo si mjanja, bali Watanzania ni wajinga na wapumbavu sana

2. Mikataba yote imeandikwa na CCM na serikali zake.
Tangu Uhuru hakuna chama kingine kimewahi kutawala.
Walioandika mikataba wapo tena wengine wakisimamia vikao vya Bunge
Mikataba iliidhinishwa na Serikali na walioidhinisha wapo, wanajulikana na wanaongoza
Bepari anahusika vipi hapo

3. Hivi wakati tunakwenda London kusaini mikataba kwa mama Ntilie, kuna bepari alitufunga kamba? Tupande ndege wenyewe, tubebe mihuri na makaratasi, halafu tumlaumu bepari kwa ujinga wetu

JokaKuu Mag3
 
Hii ndiyo sababu ya Lisu kutetea hiyo mikataba mibovu ?
 
Back
Top Bottom