Elimu ya Lissu haina msaada kwa Watanzania

Lisu alisema tusithubutu kuwagusa Acacia tutanyolewa kwa chupa !
Kwa sasa tunafanywaje?Si tunategemea tu huruma yao? Je tumewagusa? Makinikia yapo?Tumewafukuza nchini? zaidi ya kuishia kusema kuwa ni wezi na kuwa hawajasajiriwa Tanzania
 
Huna unachokijua kama jina lako
 
Tatizo kuu la nchi hii ni elimu mbovu ya wananchi waliowengi wangapi unadhani wenye elimu mbovu watamwelewa Lissu??sio rahisi hinyo.Lissu hakuwaleta hao wawekezaji wenu wala kusaini nao hiyo mikataba ambayo huishia kufishwa magogoni hata bungeni haikanyagi tena sheria ya mabadiliko ya madini na gesi mnazifanya kwa hati ya dharura Lissu alitoa ushauri wa kisheria unamwona hafai basi fuata ushauri wa Chenge anaehusika na mikataba hiyo mibovu utakufaa.
 
Tatizo kuu la nchi hii ni elimu mbovu ya wananchi waliowengi wangapi unadhani wenye elimu mbovu watamwelewa Lissu??sio rahisi hinyo.Lissu hakuwaleta hao wawekezaji wenu wala kusaini nao hiyo mikataba ambayo huishia kufishwa magogoni hata bungeni haikanyagi Lissu alitoa ushauri wa kisheria unamwona hafai basi fuata ushauri wa Chenge utakufaa.
Kama hujawaleta wezi nyumbani kwenu ,ndiyo uwatete wakitaka kufukizwa?
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Bila kutamka na kuandika Lisu na Chadema , familia yako haiendi chooni. Tanzania raha sana
 
Mleta mada elimu yako ndio dhaifu sana.
Lissu pekee ni sawa na wabunge 100 wa ccm.Nia na lengo lake ni kuiokoa taifa lisiingie kwenye mitego ya mabebebru.Kwa akili zenu finyu mikataba mlizo saini ndio imeifikisha taifa hapa tulipo,umaskini na hali ngumu umetuganda,sijui kama awamu ya tano itaweza kulikwamua.Ninawasiwasi

Haka kalissu si ndiko kalikuwa kanakula njama na wazungu juu ya migodi ili taifa lipate hasara? Kuna Lissu mpotoshaji mwingize zaidi ya huyu?
 
Nani kakwambia kuwa hawatatushitaki MIGA?
Lakini alitudanganya tutashitakiwa MIGA ili tuwaogope Accacia kuwashughulikia kama ambavyo tunawashughulikia sasa hivi...!!
 
Maneno ya Lissu yameshatimia kesi tayari zimefunguliwa huko kumi na Tatu mpaka aibu ,Kabudi alipoulizwa na Zitto akabaki kutoa macho eti umetumwa .
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Vipi elimu ya Jiwe umeonaje ilivyotumika kwenye korosho ,thamani ya shilingi dhidi ya dola ,vipi uchumi wa nchi ,umaskini na ufukara ulivyongezeka toka 2015 .
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Kipumbavu sana kutwa Lissu umemsau mama yako
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Correct!,he's matha https://jamii.app/JFUserGuide!,deserving heavy punish!
 
Back
Top Bottom