Elimu ya Lissu haina msaada kwa Watanzania

Jikite kwenye hoja
Na wewe tabia zako hazina faida kwa Taifa na hata kwa familia yako, ni chukizo kwa Mungu.
tapatalk_1564893878930.jpeg
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Hafai kabisa, tena ndie yeye alisaini mikataba hiyo mibovu ya kinyonyaji, pamoja na mikataba mingi inayoleta shida kama IPTL!
 
Mkuu naona jamaa TL yuko kwenye moyo wako
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Chonde chonde; usitushirikishe kwenye umbumbumbu wako! jambo usilolijua ni kama usiku wa giza tororo.
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Je kusamehe deni la wizi wa mabilioni barrick kumetunufaisha nini kama taifa? Au ni msamaha wa mdomoni watu wamevuta chao kwa chaguzi zijazo?
 
Lissu alipiga sana kelele juu ya mikataba mibovu ya madini lakini serikali ya CCM hakumsikia na mkaingia mikataba hiyo sasa elimu ya nani haina msaada kati ya lissu na ya wanaCCM??
Wanataka KUTUAMINISHA YALE MASOMI MEZI MABOBEZI YALIYOTUINGIZA CHAKA NA KUTIA NCHI HASARA NDIYO YENYE FAIDA NA NCHI!!!
 
Hafai kabisa, tena ndie yeye alisaini mikataba hiyo mibovu ya kinyonyaji, pamoja na mikataba mingi inayoleta shida kama IPTL!
Kumbe usipousaini mkataba mbovu kazi yako inakuwa ni kuushangilia?
 
Ni heri baba yako angemwaga nje kuliko kumwaga ndani na kumsababishia mama yako kubeba likitu Kama wewe
Au bora mother wake angefanya abortion au baba yake angefanya masturbation
 
Back
Top Bottom