Elimu ya Lissu haina msaada kwa Watanzania

Elimu ya Lissu haina msaada kwa Watanzania

Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Acha upumbavu ccm ww umetumwa nn?njaa zitakuua ww.
 
Kabla hujamnyoshea mwenzako kidole jiulize kwanza wewe elimu yako inamsaada gani kwa taifa...........ebu thibitisha kwamba alisomeshwa na kodi yako
Acha kutetea mambo yasiyo na tija kwa taifa kisa yamefanywa na mmeo
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Mpaka sasa hatujashitakiwa MIGA, lakini tulikoshitakiwa na ACACIA ni kubaya zaidi, kwa taarifa. Kwa taarifa pia, Lissu ni mmoja wa wachache waliomtahadharisha Mkapa juu ya mikataba mibovu aliyokuwa anaingia, naye akafoka kwamba akina Lissu ni WAVIVU WA KUFIKIRI. Ni Lissu aliyewatoa magerezani watu zaidi ya 400 huko Tarime na Nzega, ambao walikuwa na mashitaka feki ya aina mbalimbali, hadi "Mauaji". Lakini kosa lao kubwa kabisa ni "kidomodomo" kuweka wazi ukuwadi wa viongozi wa CCM kushirikiana na makampuni kuwanyonya watanzania. Ni serikali ya CCM ambayo imekuwa ikiyalinda makampuni ya madini yasiwajibike kwa uchavuzi mkubwa unaofanywa, angalia tafiti hizi kama mfano mdogo tu:
Tanzania: High pollution around North Mara gold mine , HIGH POLLUTION AT TANZANIA GOLD MINES
Tundu Lissu aliwatoa magerezani watanzania hao kwa mamia, jambo ambalo hata mbunge wa CCM, Hussein Bashe, alikiri bungeni na kumshukuru kwa huduma hiyo aliyoitoa bure.
Tundu Lissu katika utawala wa JPM amekuwa akitoa ushauri mbalimbali lakini kwa kuwa serikali za CCM zilikuwa bega kwa bega na makampuni haya, sasa wanageuza kibao na kumwita Tundu Lissu kuwa ni mshirika wa hawa WANYONYAJI! na hili wanalifanya mchana kweupe wakitumainia ufinyu wa fikra wa baadhi ya watanzania, na kumbukumbu fupi na pia uvivu wa kusoma nyaraka mbalimbali. Watanzania walio wengi wanajua mchango wa Lissu na ndio maana pamoja na njama za serikali kukataza asipate haki yake ya gharama za matibabu. watu kama wewe ndio mnakula na kushiba propaganda za serikali ya CCM. kalagabaho.
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Hata kumjua mtu inahitaji elimu: Je elimu yako ni ya kiwango gani????
 
tushitakiwe vipi tena kama ndege ya bilioni 60 tumelipa mara mbili yake..
Elimu ya Lissu imewasaidia watanzania wasiopungua 450 kushinda kesi za kubabikiziwa..
Binafsi nina mashaka na pHD iliyosoma kwa kizungu isiyosikia kizungu..
pHD inatudanganya mchana eti tutalipwa trilioni 450 yaani bajeti 10 za serikali..
 
DAB na MUSIBA Elimu zao zina msaada mkubwa kwa jamii!
Vip kuhusu jiwe,elimu yake inamsaada kw watanzania?? Kama lisu hana msaada nchini kwanin ninyi misikule ya lumumba mnaendelea kumkumbuka ??? Kwa taarifa hii inadhihirisha mchango mkubwa wa lissu katika kupigania masilahi ya watanzania wanyonge kuliko maccm mfu kuliangamiza taifa.
 
Lissu ndiye mzalendo halisi mwenye uchungu wa kweli wa mali za umma za taifa letu. Hilo halina ubishi.
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Anaitumia kufanyia ukuwadi wadhungu dhidi ya taifa lake,hafai
 
PhD yangu ni ya kulinda masilahi ya taifa kwa gharama yoyote ile .

Lisu anatoa siri na mabepari kunyonya nchi yetu

Toa ushahidi hapa. Hivi kuna siri gani hasa hapa kwetu?

Ukizoea kula kwa kunyenyekea wakubwa ni shida sana.
 
Back
Top Bottom