Elimu ya Lissu haina msaada kwa Watanzania

Elitwege

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
5,294
Reaction score
10,970
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
 
Hivi zile noah zimeishia wapi?
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya watu.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.

Kila nikisoma utumbo kama huu huwa nasikitikia sana taifa langu pendwa. Wakati wengine wanathamini wananvchi wao kuwa na uelewa mkubwa wa mambo muhimu, sisi tunaridhika kuwa na wananchi wasioelewa kitu, wanaoongozwa na imani za ajabu ajabu na mitazamo isiyojikita katika uhalisia wa mambo. Unaposema Acacia wa wametunyonya, hivi unajua hii biashara ya uchimbaji mkubwa unavyoendesha duniani kote? Au ume base zaidi kwenye simulizi za kipropaganda wa kijamaa kuwa kila mtu mwenye juhudi ni mnyonyaji???
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.

!
!
Wewe Elimu Yako Imesaidia Nini Taifa.
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Elimu yako wewe imekusaidia vipi, achilia mbali ndugu zako?
 
Sidhani kama Lisu anahusika katika kusaini mikataba ya uwekezaji na Acacia au Barick Gold Mine. Mtoa mada ungeacha kufikiria kisiasa ungeuona ukweli. Tusihamishe uzembe wetu kwa kulaumu wapinzani. Acha kufunikwa na chuki ufikiri vyema bosi. Usifikirie kichama Fikiri beyond partism..
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Hilo ndio tatzo lako la kilasiku...jitahidi kujirekebisha
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.

Lissu na Zitto Kabwe wote elimu yao ni utata mtupu, hawana kabisa faida na nchi yetu.
 
Huyu kaona uzi wa mwenzake wa New Barrick group kakimbia kuja kuleta upupu wake hapa!!!!
Tunaambiwa New Barrick group,ikiwa imenunua hisa za Acasia itakuwa na mtaji wa Dola Bilion 19,kama trilion 40+!Sisi tunadai trilion 495,zitslipwaje?????
 
Mh! Lisu alishatimizwa wajibu wake na bado mkampiga masasi.
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
 
Lissu na Zitto Kabwe wote elimu yao ni utata mtupu, hawana kabisa faida na nchi yetu.
Zitto na Lissu wameleta mabadiliko sana nchi hii kupitia bunge!Sakata la buzwagi lilianzishwa na Zitto,wakiwa na Lissu walisimama vyema kupigania mrabaha kuongezwa kutoka 3%!!!!

Mtemi Chenge(alikuwa mwanasheria mkuu wa serikali na sasa mwenyekiti wa bunge),msomi wa Havard university ametoa mchango gani kwa taifa?

Kila sakata la ufisadi yumo,cha ajabu yuko salama salmini!!!!
 
Ukute hata bunge hajawahi kuangalia kiumbe huyu pia inaonesha jf imevamiwa Sana yaani nahisi Kuna watu wapo kwa 7000 humu. Kazi yao Ni mmoja tu Kama huyo. Sasa na wewe elimu yako imekusaidia nini?
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
NonSense.
 
Lissu alipiga sana kelele juu ya mikataba mibovu ya madini lakini serikali ya CCM hakumsikia na mkaingia mikataba hiyo sasa elimu ya nani haina msaada kati ya lissu na ya wanaCCM??
 
Back
Top Bottom