Elimu ya maarifa: Je, wajua?

Elimu ya maarifa: Je, wajua?

FB_IMG_1642579169175.jpg
 
Je wajua,Meli ya kitalii (cruise ship) kubwa kuliko zote duniani inaitwa Symphony of the sea,inamilikiwa na kampuni ya Royal Carribean International ya huko Miami Florida nchini Marekani,imesajiliwa Bahamas.
Ikiwa imeundwa mwaka 2018,urefu wa hiyo Meli wa kwenda juu ni mita 72 urefu ambao ni sawa na jengo la ghorofa 10,ina uzito wa tani 230,000. Inabeba abiria 5400,huku ikiwa na wafanyakazi 2294.

images (30).jpeg
 
View attachment 2088630
Duh..! Thamani yake? Wafanyakazi ni nusu ya abiria
 
[emoji820]St. Patrick's Well[emoji820]
"Pozzo di San Patrizio"
[emoji835]It is a historic well in Orvieto, Umbria, central Italy.

[emoji835]It was built to store up water during war between 1527 and 1537, the well was built at the behest of then Pope Clement VII.

[emoji835]The Pope had sought refuge in the city as Rome was being sacked and was concerned that there was not enough water and the city would fall under siege.

[emoji835]The well took almost ten years to complete, and by the time diggers finally struck water, Pope Clement had passed away.

[emoji835]The cylindrical well is 53.15 metres (174.4 ft) deep with a base diameter of 13 metres (43 ft).
[emoji835]There are 248 steps and 72 windows that provide illumination.

[emoji835]At the bottom of the well, the water level remains constant thanks to a natural spring that supplies the cavity and a stream that drains excess water.

FB_IMG_1642703348087.jpg
 
Back
Top Bottom