Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuelewa inawezekana watawala wengi sio wazawa na wapo kwaajili ya ajenda za siri za kwao!!
Bas huko ndipo itakuwa jehanam
KAKA KUONA BINGWA WA NGUVU ZA KIUM
JE WAJUA?
Kakakuona ndie mnyama anayewindwa kwa biashara haramu kuliko wote duniani.
# SABABU 20% mwili wa kakakuona umezungukwa na magamba "scales" ambayo yana protini aina ya "keratin" aina ambayo pia iko kwenye nywele na kucha za binadamu na pembe za faru.
Aisee hii dunia ina mengi sana ya kufikirishaHizo picha unazoziona Ni za jamii tofauti zikiwakilisha kitu kimoja!
Waajemi(IRAN) Wana nadharia ya Mungu ya MITHRA ambayo inasema alizaliwa na bikra, anawafuasi 12, na alifufuka, hivyohivyo wahindi Wana nadharia ya KRSHINA, alizaliwa na bikra ana WAFUASI 12 na alifufuka, hivyo hivyohivyo kwa Dionysus wa wagiriki, hivyohivyo kwa HERUU/HORUS wa Waafrika!
He kwanini wote wanasifa moja?? Jibu Ni kwamba hizo Ni nadharia zinazowakilisha kitu kimoja(jua). Ndiomana miungu yote hiyo huzungushiwa duara(SUN DISK)
Ni Zama za kujiongeza!!!' huyo Heruu Ni wa Afrika alitangulia wote!!! Kwahiyo Mungu Ni mmoja hivyo unavyoviona Ni viwakilishi kutokana na jamii mbalimbali!!
Ili kujielewa zaidi tafakari kwanini umefichwa kwenye eneo Hilo? Wanaogopa Nini mpaka wakakuficha? Hayo ndiyo maswali ya waliojitambua!!!View attachment 2083035