Duh..! Thamani yake? Wafanyakazi ni nusu ya abiriaJe wajua,Meli ya kitalii (cruise ship) kubwa kuliko zote duniani inaitwa Symphony of the sea,inamilikiwa na kampuni ya Royal Carribean International ya huko Miami Florida nchini Marekani,imesajiliwa Bahamas.
Ikiwa imeundwa mwaka 2018,urefu wa hiyo Meli wa kwenda juu ni mita 72 urefu ambao ni sawa na jengo la ghorofa 10,ina uzito wa tani 230,000. Inabeba abiria 5400,huku ikiwa na wafanyakazi 2294.
View attachment 2088630