Energy accumulation sio lazima kufanya hivyo bali ni favorable posture kwa ajili ya meditationSamahani unaweza kunielewesha kuhusu hivyo vidole kuvikunja hivyo ana maana gani??... na je ni lazma kwenye meditation kufanya hivyo..?...
Ila kuna taarifa kuwa hiyo ni alama 666 ....je kuna ukweli wowote hapo???Energy accumulation sio lazima kufanya hivyo bali ni favorable posture kwa ajili ya meditation
Wanazaliwa hivyo au wanavikata wenyewe?