Elimu ya maarifa: Je, wajua?

Elimu ya maarifa: Je, wajua?

Samahani unaweza kunielewesha kuhusu hivyo vidole kuvikunja hivyo ana maana gani??... na je ni lazma kwenye meditation kufanya hivyo..?...
Energy accumulation sio lazima kufanya hivyo bali ni favorable posture kwa ajili ya meditation
 
Screenshot_20220806-145047.jpg
 
Anthoscopus minutus
-Ni aina ya ndege wanaopatikana sana jangwani.
-Ndege hawa wanajenga viota vyao na kuweka milango miwili kwa ajili ya usalama kama vile:-
.Mlango mmoja unakua na tundu dogo sana ambao wao hupita na kuingia ndani ya kiota.
.Mlango namba mbili ni mkubwa ambapo wametengeneza maalumu ila hawaishi humo ili hata nyoka/au adui akiingia atakuta kipo tupu na mwisho wa siku ataondoka tu.
N:B Kwa wingi ndege hawa wanapatikana Katika nchi zifuatazo:-
.Namibia
.Angola
.Afrika ya kusini
.Malawi
. Zimbabwe
Screenshot_20220811-090243.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa Vandoma wa Zimbabwe [emoji1269] wana vidole viwili tu. Watu wa Vadoma pia wanajulikana kama kabila la Bantwana maana yake "wazao" ni kabila linaloishi kaskazini mwa Zimbabwe, kwa ujumla katika wilaya za Sipolilo na Urungwe za bonde la mto Zambezi. Lugha yao kuu ni lugha ya Dema. Kabila hili ni maarufu kwa hali ya miguu yao, ambapo vidole vitatu vya kati havipo na vile viwili vya nje vimegeuzwa na kusababisha kabila hilo kujulikana kwa jina la "miguu miwili" au "miguu ya mbuni". [emoji26]
FB_IMG_1660916906342.jpg
FB_IMG_1660916903908.jpg
 
Je, unajua kwamba kulikuwa na kikosi cha wanawake weusi 855 ambao walitumwa Ulaya wakati wa Vita Kuu ya II?
 
Je, unajua kwamba kulikuwa na kikosi cha wanawake weusi 855 ambao walitumwa Ulaya wakati wa Vita Kuu ya II?
 
Back
Top Bottom