Hizo picha unazoziona Ni za jamii tofauti zikiwakilisha kitu kimoja!
Waajemi(IRAN) Wana nadharia ya Mungu ya MITHRA ambayo inasema alizaliwa na bikra, anawafuasi 12, na alifufuka, hivyohivyo wahindi Wana nadharia ya KRSHINA, alizaliwa na bikra ana WAFUASI 12 na alifufuka, hivyo hivyohivyo kwa Dionysus wa wagiriki, hivyohivyo kwa HERUU/HORUS wa Waafrika!
He kwanini wote wanasifa moja?? Jibu Ni kwamba hizo Ni nadharia zinazowakilisha kitu kimoja(jua). Ndiomana miungu yote hiyo huzungushiwa duara(SUN DISK)
Ni Zama za kujiongeza!!!' huyo Heruu Ni wa Afrika alitangulia wote!!! Kwahiyo Mungu Ni mmoja hivyo unavyoviona Ni viwakilishi kutokana na jamii mbalimbali!!
Ili kujielewa zaidi tafakari kwanini umefichwa kwenye eneo Hilo? Wanaogopa Nini mpaka wakakuficha? Hayo ndiyo maswali ya waliojitambua!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.