Elimu ya maarifa: Je, wajua?

Elimu ya maarifa: Je, wajua?

FB_IMG_1644171157203.jpg
 
HAYA SIYO MATE YA NYOKA KAMA TULIVYOAMBIWAGA

Huyu mdudu anaitwa Splitebug Scientific name yake ni Philaenus spumarius hilo povu unaloliona siyo mate ya nyoka kama wengi wanavyodhani au walivyowahi kusimuliwa
Povu hilo ni kwa ajili ya kulinda hatua yake ya pili ya ukuaji hadi pale atakapoota mabawa maana kiumbe huyu ana hatua tatu za ukuaji yaani yai ,kiwiliwili na kiumbe kamili,
Hutoa hewa ambayo ikichanganyika na maji maji yake ambapo hutoa mapovu ambayo hulinda hatua ya pili ya ukuaji,Akishaota mabawa hutoka ndani ya mapovu tayari kwa kuruka lengo LA mapovu ni kinga dhidi ya maadui
Screenshot_20220210-183219.jpg
 
Back
Top Bottom