They need us more than the way we do, they are envious of our land, Kilimanjaro, Diamond Platinum hata na Daraja. They can even still Magufuli they will have a chance.Hahahaha, mbona mnalilia sana huo muungano?
Where is CoW?
Why don't you just proceed with it,
shule ya mabatiiiii
mnachonihuzunisha zaidi,.wanafunzi wanakuwa wazee
shida ya chakula
wanatuhitaji sana hawa wakenya,........bila tz maisha yao hayaendi kabisa,.Haha the first country in East Africa.
My dear, these pricks are nothing but idiots,They need us more than we do, they are envious of our land, Kilimanjaro, Diamond Platinum hata na Daraja. They can even still Magufuli they will have a chance.
Their well educated and have the best lawyers but the can't challenge the rights of Kenyatta family to own the big piece of land while the citizen are dying of hunger.My dear, these pricks are nothing but idiots,
Can't they be EAC without Tz? Kama kweli wamesoma iweje wasiosoma wawawekee ngumu? Si wazimu huu,?? Nani anaonekana mjanja hapa??
And besides, why don't they make it with ug, Rwanda and Burundi,
Wapumbavu hawa,
And FTI, tz can be much more attractive to SADEC than EAC with these hypocrite Kenyans..
Halafu my dear if u didn't know before, Kenya is Nothing without Nairobi, trust me,
Outside Nairobi, or somehow Mombasa Kenya inatia huruma aisee, watu wanakufa njaa huko turkana..
Yaani hii generation ya wakenya ni Laana tupu, wanaishi kama wanyama, wanafanya maamuzi kwa kutumia miili, jazba na hasira na sio utashi, ndio maana wanachinjana wao kwa wao kwenye siasa zao za ukabila,
Wanaamini kujua kingereza (Lugha ya mzungu) ndio kuelimika.
......nasikitika kuwaambia kuwa HAKUTAKAA KUTOKEA EAC,
They need to go and bury their EAC dreams in Indian ocean.,
Sucks!!!!!
Let them stay slaves in their own country huku wakifurahia magorofa ya wahindi hapo Nai na ardhi ya wazungu na ukoo wa Kenyatta na wakikuyu. They are nothing but cowards and Bustards.
Wee juha kweli kweli hao wazee unaowasifia sindio mliwadhurumu ndege na vitu vingine vya East Africa mkiona mmeungana,na watu wasiostahili tokeni katika huo muungano you're so pathetic boyKiongozi, taarifa inaongea kuhusu matokeo ya elimu yenu kwa miaka ya hivi majuzi. Hata mwaka jana... Sasa hao ndio Watanzania mnaojiita wa leo jameni kwenye mfumo duni kiasi hicho. Bora hao wazee wa hapo awali, kidogo walizingatia elimu, sidhani kama waliachia mwanafunzi anafikia kufanya mtihani wa mwisho kama hajui kusoma wala kuandika.
Hatari, maana inawafanya mnawaogopa Wakenya linapokuja suala la kufanya chochote kwa pamoja. Hadi mnasuasua kwa kila hatua.
They will not talk about that guy
shule ya mabatiiiii
mnachonihuzunisha zaidi,.wanafunzi wanakuwa wazee
shida ya chakula
Hakuna,mtz juha kama yuleKwanza ww ni mtanzania sio mkenya kwanini ujifiche
Bila kupoteza mda Hii hapa picha inahusu Elimu Kenya. Watu wanaopewa Computer Mpakato.Safi, japo hapa tunaongea kuhusu uwezo wa watoto kusoma na kuandika. Mada sio kuhusu miundo mbinu ya shule, kuna wanafunzi wanaosomea vijijini kwenye hali ngumu lakini wanapita mitihani hata kuwaliko wale wa mjini. Na ndio maana tuliamua kuwapa laptops hata huko huko kijijini, cha msingi ni uwezo wa mwanafunzi.
Nchi zetu zinahitajiana kwa njia moja au nyingine, lakini ndio pawe na uwiano wenye manufaa baina yetu, ni bora elimu ingekua mfumo wa kutuunganisha. Lakini kwa tulivyo sasa, itakua kila siku mnasuasua kwa kila hatua, kumbe tatizo ni elimu.
Tutakua tunawalaumu kwa mwendo wenu wa kobe bila kujua tatizo lipo hapo kwenye vitabu.
Nashauri tuunganishwe kielimu, tuwe na mtaala mmoja, mfumo mmoja wa elimu.