Elimu ya majirani ndio inakwamisha EAC

Elimu ya majirani ndio inakwamisha EAC

My brothers and sisters our neighbours are opportunists, they can do any thing to be at the centre of attraction, especially world wide. When the found out Kiswahili language is unique and the world is interested in it's foundation they quickly jumped into it. Nyerere who encouraged us to promote Kiswahili even at the risk of losing our ability of managing two languages.

When they knew Mount Kilimanjaro as the 2nd highest mount in the world and the highest one in Africa, before we realised our neighbours are cashing on it. If they had a magic of moving it, we could have been talking in different sentences right now.

When they found out Tanzanite is only found in Tananzania, they only thing they failed to do is to rename the stone to 'Kenyanite' otherwise they could have done that years ago.

Do you think our neighbours care about us, forget it, what they are interested in is our potentials, now they have seen the only way of benefiting from our land is by bringing back East African Community.

Believe me, if what we have could be in their side, I don't even think they could have recognised us as neighbours.
 
Kiongozi, taarifa inaongea kuhusu matokeo ya elimu yenu kwa miaka ya hivi majuzi. Hata mwaka jana... Sasa hao ndio Watanzania mnaojiita wa leo jameni kwenye mfumo duni kiasi hicho. Bora hao wazee wa hapo awali, kidogo walizingatia elimu, sidhani kama waliachia mwanafunzi anafikia kufanya mtihani wa mwisho kama hajui kusoma wala kuandika.

Hatari, maana inawafanya mnawaogopa Wakenya linapokuja suala la kufanya chochote kwa pamoja. Hadi mnasuasua kwa kila hatua.

uwe unatoa mifano, kitu gani tunaogopa kushindana na ninyi?
 
unaosema elimu yao ni duni ndio hao hao wanamchango mkubwa kwa matokeo ya ulimwengu wa leo,
1 Afrika bila watanzania kisiasa isingekuwa hapa ilipo pengine ingekuwa jehenamu ya pili.
2 2007 mliamua kukatana mapanga kwa sababu ya kura tu watanzania wakaingia kati kuwasaidia na sasa mko pamoja kilichofanya kazi ni elimu siyo ugali.
3 Jumuia ya Afrika Mashariki kama siyo great thinking ya watanzania ingekuwa imeshasambaratika siku nyingi tu juzijuzi hapa mlitaka kuwatenga mkaanza kujifanyia mambo kivyenuvyenu naamini umeshuhudia yaliyotokea, tulijua wapi pakuweka sawa tumeshamaliza kazi mko kwenye mstari tena. hatukwenda Rwanda kutalii tunajua tunachokifanya,
4 nadhani umeshuhudia tulivyowatembezea rungu kwenye bomba la mafuta kutoka uganda hiyo iliyopfanya kazi ni shule siyo ugali,
5 chuo bora kabisa afrika mashariki na kati kiko tanzania huoni kuwa tuko mbali sana kuliko nyinyi.
mengine ngoja nipige chini.
 
Tatizo la mfumo wa elimu ni kubwa katika nchi yetu lakini hii siichukulii kama sababu kuu ya Yale uliyoyaandika....

Unajua Kenyans mpo aggressive kutokana na maisha magumu yaliyochangiwa na capitalism lakini kwetu huku ni vice versa...
Kuna sehemu hata katika nchi yetu watu ni aggressive kwa mfano watu wa dar wanaofanya kazi hadi usiku wa manane kwa ajili ya survival , arusha ,Kilimanjaro na Mbeya.

Mtu anaelima kwa misimu hadi miwili, anaeweka magunia ya mahindi, mchele na maharage..hawezi kuwa stressed na maisha kirahisi kama MTU asiyevipata hivyo vote
Upo sahihi hapo pa sisi kujituma kwa sababu ya mazingira. Nchi yetu ni ndogo, nusu yake ni kame, hivyo inabidi kila Mkenya achakarike. Watu wanakesha wakisoma, siku hizi hapa kwetu digri ya kwanza haionekani kama kitu. Watu wengi wanasaka uzamifu/Masters kabla hata haujawaza kutafuta kazi. Mimi hapa nimeamka sasa hivi, baada ya kufanyia kazi taarifa/report fula usiku wote. Hakuna mzaha wala utani, lazima ukimbie au ukimbizwe. Lakini kwa Wabongo, kila mtu anabweteka kisa ardhi ni kubwa.

Wakenya wengi tukija Bongo huwa tunahisi kama tupo kwenye holiday fulani. Na ndio maana unaona kuna wale hawataki kurudi nyumbani. Mara yangu ya kwanza kufika Bongo niliwashangaa sana Wabongo. Yaani watu hawana neno "deadline au makataa" kwenye misamiati yao. Unakuta Mtanzania anamlipia Mkenya nauli ya ndege, gharama za hoteli amfanyie kazi fulani, halafu Mkenya ndiye anaishia kumsukuma sukuma huyo Mtanzania. Maana kwenu nyie huwa hamjali hata kama mradi unachelewa kiasi gani.

Miezi yangu ya kwanza kwanza nilikua na wasiwasi sana kila nikiona miradi inachelewa chelewa halafu Wabongo hawaoenekani kujali. Yaani kama jambo la kawaida tu, mkuu wa mradi anakunywa pombe na kujiachia tu, wakati mimi inabidi nisubiri hadi usiku ndio hata ninusie chupa ya pombe. Wakati mwengine nakesha hotelini nikiandaa ripoti huku nina babaika maana muda unasogea na tunachelewa. Lakini kadiri muda ulivyosonga na ndani ya mwaka wa kwanza hata mimi nikaanza kulegea, ikawa nimeanza kuzoea kufanya vitu kibongobongo. Nikawa mvivu na mwenye vijisababu, maisha raha tu Bongo, pombe mwanzo mwisho na hakuna anayeonekana kujali wala kunipelekesha.

Mkenya ambaye ameingia katika hali hiyo, kumtoa labda kwa mapanga na hawezi kutoka hiyo Bongo, maana akirudi huku inabidi apelekeshwe. Hapa hatucheki....
Binafsi ilinibidi nichukue muda mrefu kujirekebisha, nikaacha pombe kabisa na kurejelea bidii ya maisha maana nilijikuta naharibu hela nyingi sana hiyo Bongo, vilabu watu walinifahamu kama rais wa Nairobi.

Labda kwenye huu uongozi wa Magufuli, mtabadilika. Naskia katumbua waziri chapombe, ndio taswira huko hata waziri haoni jambo kubwa kuingia bungeni akiwa mlevi na kujibu maswali kwa jeuri.
 
My brothers and sisters our neighbours are opportunists, they can do any thing to be at the centre of attraction, especially world wide. When the found out Kiswahili language is unique and the world is interested in it's foundation they quickly jumped into it. Nyerere who encouraged us to promote Kiswahili even at the risk of losing our ability of managing two languages.

When they knew Mount Kilimanjaro as the 2nd highest mount in the world and the 1st one in Africa, before we realised our neighbours are cashing on it. If they had a magic of moving it, we could have been talking in different sentences right now.

When they found out Tanzanite is only found in Tananzania, they only thing they failed to do is to rename the stone to 'Kenyanite' otherwise they could have done that years ago.

Do you think our neighbours care about us, forget it, what they are interested in is our potentials, now they have seen the only way of benefiting from our land is by bringing back East African Community.

Believe me, if what we have could be in their side, I don't even think they could have recognised us as neighbours.
Ati second in the world..hahahaha...for real,your education needs some intervation.
 
Upo sahihi hapo pa sisi kujituma kwa sababu ya mazingira. Nchi yetu ni ndogo, nusu yake ni kame, hivyo inabidi kila Mkenya achakarike. Watu wanakesha wakisoma, siku hizi hapa kwetu digri ya kwanza haionekani kama kitu. Watu wengi wanasaka uzamifu/Masters kabla hata haujawaza kutafuta kazi. Mimi hapa nimeamka sasa hivi, baada ya kufanyia kazi taarifa/report fula usiku wote. Hakuna mzaha wala utani, lazima ukimbie au ukimbizwe. Lakini kwa Wabongo, kila mtu anabweteka kisa ardhi ni kubwa.

Wakenya wengi tukija Bongo huwa tunahisi kama tupo kwenye holiday fulani. Na ndio maana unaona kuna wale hawataki kurudi nyumbani. Mara yangu ya kwanza kufika Bongo niliwashangaa sana Wabongo. Yaani watu hawana neno "deadline au makataa" kwenye misamiati yao. Unakuta Mtanzania anamlipia Mkenya nauli ya ndege, gharama za hoteli amfanyie kazi fulani, halafu Mkenya ndiye anaishia kumsukuma sukuma huyo Mtanzania. Maana kwenu nyie huwa hamjali hata kama mradi unachelewa kiasi gani.

Miezi yangu ya kwanza kwanza nilikua na wasiwasi sana kila nikiona miradi inachelewa chelewa halafu Wabongo hawaoenekani kujali. Yaani kama jambo la kawaida tu, mkuu wa mradi anakunywa pombe na kujiachia tu, wakati mimi inabidi nisubiri hadi usiku ndio hata ninusie chupa ya pombe. Wakati mwengine nakesha hotelini nikiandaa ripoti huku nina babaika maana muda unasogea na tunachelewa. Lakini kadiri muda ulivyosonga na ndani ya mwaka wa kwanza hata mimi nikaanza kulegea, ikawa nimeanza kuzoea kufanya vitu kibongobongo. Nikawa mvivu na mwenye vijisababu, maisha raha tu Bongo, pombe mwanzo mwisho na hakuna anayeonekana kujali wala kunipelekesha.

Mkenya ambaye ameingia katika hali hiyo, kumtoa labda kwa mapanga na hawezi kutoka hiyo Bongo, maana akirudi huku inabidi apelekeshwe. Hapa hatucheki....
Binafsi ilinibidi nichukue muda mrefu kujirekebisha, nikaacha pombe kabisa na kurejelea bidii ya maisha maana nilijikuta naharibu hela nyingi sana hiyo Bongo, vilabu watu walinifahamu kama rais wa Nairobi.

Labda kwenye huu uongozi wa Magufuli, mtabadilika. Naskia katumbua waziri chapombe, ndio taswira huko hata waziri haoni jambo kubwa kuingia bungeni akiwa mlevi na kujibu maswali kwa jeuri.
Good then, why don't you shut your f...ckn mouth and stay Kenyan?
Is Tanzania giving you pain in your ass?
 
It's not possible, because we are forced by circumstances to relate in one way or another. More like siblings in a family, you can't let go and are forced to coexist shortcomings notwithstanding.
 
images
images

images
shule ya mabatiiiii
images
images
images

images

mnachonihuzunisha zaidi,.wanafunzi wanakuwa wazee
shida ya chakula
Hahaha hii mada nimeamua niache kwanza kuichafua maana itakuwa shida
Nadhani mleta mada hujitambui ni Sifa zinazo muasili
Kenya hawana jipya kusema Tanzania
Unapo msema mwenzie uwe unauhakika kwako kupo poa sana

Wacha nitazame kejeli za Wakenya ili nipate Pakuanzia hahaha
 
haka kajamaa kamevurugwa nashindwaga kuelewa bila kuitaja tanzania mavi yanabana sijui anapenda kuishi nchi yenye amani,njaa hakuna tofauti na kwao ardhi inamilikiwa na wageni hapo alipo hana hata kaheka kamoja tu cha kulimia sukuma wiki basi kama anapenda kuishi tanzania aje aolewa bongo maana tumemchoka anaipa mifagio nchi yake ambayo si lolote si chochote.
[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]
 
Una jua Annael huyu jamaa mie namuona juha
Yaani Akili yake inamtuma kuwa ataendelea kupata kick JF kama zamani kwa upumbavu wake tuki mkalia kimya!!?
Mada kaanzisha mwenyewe ila nakuhakikishia ataikimbia
Nawasubiri wakusanye kejeli zao
Ameshakimbia tayari ameanza kuhamisha magori. Tukikaribia kufunga anahamisha gori na kulisogeza mbele zaidi.
 
Hakuna watu wenye maisha ya ajabu kama Wakenya. Kwa wale mlioko Zanzibar hebu fanyeni uchuguzi katika hotel ya kitalii iitwayo Breeze Beach Club&SPA. Kuna Wakenya wako tayari hata kuuza miili yao kwa ma afisa wa uhamiaji ili mradi wabaki Tanzania (Zanzibar). Kwa kifupi kipindi niko pale hawa watu walikuwa wanakuja huku wakichomekea makoti ila wakizoea ndipo utaona majivuno yao. Kwa kifupi Wakenya na Makaburu wana utofauti mkubwa sana.
Yule nyoka aliyemdanganya Hawa kule bustanini alitokea KENYA that's why they have behaved like that!!
 
Ameshakimbia tayari ameanza kuhamisha magori. Tukikaribia kufunga anahamisha gori na kulisogeza mbele zaidi.
Unajua huwa namshangaa huyu MTU
Anapata uwezo gani kuwacheka au kuwa kejeli watanzania!!?
Kwao mambo sio ajabu unaisema Tanzania kwa mgongo WA East Africa Unafiki mtupu

Haya yapo Kenya

National schools with D students

More than a terror assault, Garissa a direct attack on education | Devex

Over a decade since the government introduced free primary education after the Millennium Development Goals were set up, some parts of the country are still facing teething problems.

These problems have been made more visible because of the implementation of devolution in the 47 counties under the 2010 Constitution.

Pre-primary schools and village polytechnic education are devolved functions to county governments while primary, secondary and middle level college education are left to the national government.

In North Eastern and Eastern regions these differences are profound and have left residents and the respective County governments of Garissa and Isiolo counties overburdened.

In Isiolo County, the list of challenges is very long and includes shortage of classrooms, teachers, stationery, seats, national flag, and perimeter fence among other necessities required of any school.

Elkhana Fahruq, a teacher in one of the public primary schools in Isiolo County teaches almost all the subjects due to shortage of teachers.

He teaches English, Kiswahili, Mathematics and Social Studies. All these subjects he handles in a single class in a day making the career dull and even pupils to get bored of having to face him the whole day.

“It is not interesting to teach the same class, four subjects back to back, day in, day out. The pupils get used to the teacher since what changes is just the subject, and may be language for Kiswahili lessons,” Fahruq laments.

Fahruq handles 47 pupils in a makeshift structure with no seats and everything inside the so-called classroom is portable.

The structure cannot withstand harsh weather like strong wind, rains and extreme hot temperatures. Due to the high temperatures, pupils are taught half day.

“Here even if free primary education were to be absolutely free, still none of these problems we face would be resolved,” observes Fahruq. “Priority is not free education but to address the most urgent needs of the community concerning that education system,” he notes:

“If the Government says free education and free laptops, where are extra teachers, books, classrooms and seats?” poses Fahruq.

The school has only three teachers who sacrifice to handle over 300 pupils in a week.

“Every class has their own day of learning thus two to three days a week,” he discloses.

Fahruq explains that education in Isiolo needs proper structures first to motivate free education among teachers, parents and learners.

“Here education is purely based on religion and culture followed by government requirements such as syllabus,” Fahruq says.

The 34-year-old teacher handles male pupils while his female colleague, is responsible for girls though the syllabus is the same targeting excellence in national examinations.

A teacher in class taking pupils through a subject despite challenges of free primary education [Photo: Henry Owino]
Ten kilometres away is Gababa Primary School. One would confuse it for a private girls’ school at first glance. This is because it is beautifully built, well painted and with a barbed wire perimeter fence.
As the saying goes, never judge a book by its cover. The reality of Gababa Primary School in Garissa County reveals itself when one steps inside the classrooms. Despite the good outer look, inside the school is regrettable.

The school lacks text books forcing pupils to share one among four colleagues. Teacher shortage is burdening service delivery hence quality and crowded classes are compromising effective participation.

“Here religion and culture are given priority when it comes to prioritizing community socialization, assimilation and general development projects for residents,” says Halima, a teacher at the school.

Schools, hospitals, market place, commerce, media and anything that influences a people’s way of life are critically looked into so that they do not dominate religion and culture.

“At least nowadays the community takes education seriously in contrast to five or ten year

Protest in Garissa over education crisis
 
Tatizo la mfumo wa elimu ni kubwa katika nchi yetu lakini hii siichukulii kama sababu kuu ya Yale uliyoyaandika....

Unajua Kenyans mpo aggressive kutokana na maisha magumu yaliyochangiwa na capitalism lakini kwetu huku ni vice versa...
Kuna sehemu hata katika nchi yetu watu ni aggressive kwa mfano watu wa dar wanaofanya kazi hadi usiku wa manane kwa ajili ya survival , arusha ,Kilimanjaro na Mbeya.

Mtu anaelima kwa misimu hadi miwili, anaeweka magunia ya mahindi, mchele na maharage..hawezi kuwa stressed na maisha kirahisi kama MTU asiyevipata hivyo vote
Yani ndugu upo vizuri the Kenyans are so aggressive in nature due to the hardships they passed like famine,terrorism,droughts,tribalism etcetera
 
Upo sahihi hapo pa sisi kujituma kwa sababu ya mazingira. Nchi yetu ni ndogo, nusu yake ni kame, hivyo inabidi kila Mkenya achakarike. Watu wanakesha wakisoma, siku hizi hapa kwetu digri ya kwanza haionekani kama kitu. Watu wengi wanasaka uzamifu/Masters kabla hata haujawaza kutafuta kazi. Mimi hapa nimeamka sasa hivi, baada ya kufanyia kazi taarifa/report fula usiku wote. Hakuna mzaha wala utani, lazima ukimbie au ukimbizwe. Lakini kwa Wabongo, kila mtu anabweteka kisa ardhi ni kubwa.

Wakenya wengi tukija Bongo huwa tunahisi kama tupo kwenye holiday fulani. Na ndio maana unaona kuna wale hawataki kurudi nyumbani. Mara yangu ya kwanza kufika Bongo niliwashangaa sana Wabongo. Yaani watu hawana neno "deadline au makataa" kwenye misamiati yao. Unakuta Mtanzania anamlipia Mkenya nauli ya ndege, gharama za hoteli amfanyie kazi fulani, halafu Mkenya ndiye anaishia kumsukuma sukuma huyo Mtanzania. Maana kwenu nyie huwa hamjali hata kama mradi unachelewa kiasi gani.

Miezi yangu ya kwanza kwanza nilikua na wasiwasi sana kila nikiona miradi inachelewa chelewa halafu Wabongo hawaoenekani kujali. Yaani kama jambo la kawaida tu, mkuu wa mradi anakunywa pombe na kujiachia tu, wakati mimi inabidi nisubiri hadi usiku ndio hata ninusie chupa ya pombe. Wakati mwengine nakesha hotelini nikiandaa ripoti huku nina babaika maana muda unasogea na tunachelewa. Lakini kadiri muda ulivyosonga na ndani ya mwaka wa kwanza hata mimi nikaanza kulegea, ikawa nimeanza kuzoea kufanya vitu kibongobongo. Nikawa mvivu na mwenye vijisababu, maisha raha tu Bongo, pombe mwanzo mwisho na hakuna anayeonekana kujali wala kunipelekesha.

Mkenya ambaye ameingia katika hali hiyo, kumtoa labda kwa mapanga na hawezi kutoka hiyo Bongo, maana akirudi huku inabidi apelekeshwe. Hapa hatucheki....
Binafsi ilinibidi nichukue muda mrefu kujirekebisha, nikaacha pombe kabisa na kurejelea bidii ya maisha maana nilijikuta naharibu hela nyingi sana hiyo Bongo, vilabu watu walinifahamu kama rais wa Nairobi.

Labda kwenye huu uongozi wa Magufuli, mtabadilika. Naskia katumbua waziri chapombe, ndio taswira huko hata waziri haoni jambo kubwa kuingia bungeni akiwa mlevi na kujibu maswali kwa jeuri.

Ahsante kaka ila usiamini kila kitu ambacho macho huona...tz ya Leo sio iliyopita

Miradi mingi ilicheleweshwa si KWA sababu ya watu kutokuwa determined Bali upepo ndo ulikuwa unapungia huko...

Miradi ilichelewa kutokana na bajeti kutegemea misaada ya wahisani ( hili ni moja ya lengo LA serikali kuongeza mapato ya ndani ili kupunguza utegemezi na hili limefanikiwa kwa kiasi kikubwa) , rushwa, ukiritimba na siasa kwa ujumla KWA kuwa miradi ambayo haikumalizika ilikuwa ni chanzo cha kura nyingi KWA wanasiasa ili warudi bungeni....

Kaka mambo yamebadilika..njoo tena tz hii kama utakutana na beuracracy za ajabu maofisini na hii ndio sababu ya miradi na uwekezaji mwingi kufana...

Hope hali itaendelea kuwa na hata zaidi maana bajeti ya magufuli ndo inajadiliwa huku siasa zimeminywa.. WISH US LUCK BRO MAANA MAENDELEO YETU HAYATOFUNGWA HUMU KAMA KISIWA
 
Back
Top Bottom