Elimu ya majirani ndio inakwamisha EAC

Elimu ya majirani ndio inakwamisha EAC

images
images

images
shule ya mabatiiiii
images
images
images

images

mnachonihuzunisha zaidi,.wanafunzi wanakuwa wazee
shida ya chakula
 
Nyie wakenya kiboko yenu Museveni tu

Bomba la mafuta tayari mmekosa, ebu mjitabilie nini kinafuta

Nyie yenu Chan'gaa
 
They need us more than we do, they are envious of our land, Kilimanjaro, Diamond Platinum hata na Daraja. They can even still Magufuli they will have a chance.
My dear, these pricks are nothing but idiots,
Can't they be EAC without Tz? Kama kweli wamesoma iweje wasiosoma wawawekee ngumu? Si wazimu huu,?? Nani anaonekana mjanja hapa??
And besides, why don't they make it with ug, Rwanda and Burundi,
Wapumbavu hawa,
And FTI, tz can be much more attractive to SADEC than EAC with these hypocrite Kenyans..
Halafu my dear if u didn't know before, Kenya is Nothing without Nairobi, trust me,
Outside Nairobi, or somehow Mombasa Kenya inatia huruma aisee, watu wanakufa njaa huko turkana..
Yaani hii generation ya wakenya ni Laana tupu, wanaishi kama wanyama, wanafanya maamuzi kwa kutumia miili, jazba na hasira na sio utashi, ndio maana wanachinjana wao kwa wao kwenye siasa zao za ukabila,
Wanaamini kujua kingereza (Lugha ya mzungu) ndio kuelimika.

......nasikitika kuwaambia kuwa HAKUTAKAA KUTOKEA EAC,
They need to go and bury their EAC dreams in Indian ocean.,
Sucks!!!!!
Let them stay slaves in their own country huku wakifurahia magorofa ya wahindi hapo Nai na ardhi ya wazungu na ukoo wa Kenyatta na wakikuyu. They are nothing but cowards and Bustards.
 
Their well educated and have the best lawyers but the can't challenge the rights of Kenyatta family to own the big piece of land while the citizen are dying of hunger.
 
Kuwachelea wakenya and the likes ni sawa kabisa we have to be catious with you na hiyo ndio akili pale napoona sina uwezo mkubwa wa ushindani coz nani hajui kua wakenya ni watu wezi kupindukia Mugabe na Trump walisema kenyans do graduate and qualify as best thiefs with smart certificates
 
Kiongozi, taarifa inaongea kuhusu matokeo ya elimu yenu kwa miaka ya hivi majuzi. Hata mwaka jana... Sasa hao ndio Watanzania mnaojiita wa leo jameni kwenye mfumo duni kiasi hicho. Bora hao wazee wa hapo awali, kidogo walizingatia elimu, sidhani kama waliachia mwanafunzi anafikia kufanya mtihani wa mwisho kama hajui kusoma wala kuandika.

Hatari, maana inawafanya mnawaogopa Wakenya linapokuja suala la kufanya chochote kwa pamoja. Hadi mnasuasua kwa kila hatua.
Wee juha kweli kweli hao wazee unaowasifia sindio mliwadhurumu ndege na vitu vingine vya East Africa mkiona mmeungana,na watu wasiostahili tokeni katika huo muungano you're so pathetic boy

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna watu wenye maisha ya ajabu kama Wakenya. Kwa wale mlioko Zanzibar hebu fanyeni uchuguzi katika hotel ya kitalii iitwayo Breeze Beach Club&SPA. Kuna Wakenya wako tayari hata kuuza miili yao kwa ma afisa wa uhamiaji ili mradi wabaki Tanzania (Zanzibar). Kwa kifupi kipindi niko pale hawa watu walikuwa wanakuja huku wakichomekea makoti ila wakizoea ndipo utaona majivuno yao. Kwa kifupi Wakenya na Makaburu wana utofauti mkubwa sana.
 
Tatizo la mfumo wa elimu ni kubwa katika nchi yetu lakini hii siichukulii kama sababu kuu ya Yale uliyoyaandika....

Unajua Kenyans mpo aggressive kutokana na maisha magumu yaliyochangiwa na capitalism lakini kwetu huku ni vice versa...
Kuna sehemu hata katika nchi yetu watu ni aggressive kwa mfano watu wa dar wanaofanya kazi hadi usiku wa manane kwa ajili ya survival , arusha ,Kilimanjaro na Mbeya.

Mtu anaelima kwa misimu hadi miwili, anaeweka magunia ya mahindi, mchele na maharage..hawezi kuwa stressed na maisha kirahisi kama MTU asiyevipata hivyo vote
 
haka kajamaa kamevurugwa nashindwaga kuelewa bila kuitaja tanzania mavi yanabana sijui anapenda kuishi nchi yenye amani,njaa hakuna tofauti na kwao ardhi inamilikiwa na wageni hapo alipo hana hata kaheka kamoja tu cha kulimia sukuma wiki basi kama anapenda kuishi tanzania aje aolewa bongo maana tumemchoka anaipa mifagio nchi yake ambayo si lolote si chochote.
 
Safi, japo hapa tunaongea kuhusu uwezo wa watoto kusoma na kuandika. Mada sio kuhusu miundo mbinu ya shule, kuna wanafunzi wanaosomea vijijini kwenye hali ngumu lakini wanapita mitihani hata kuwaliko wale wa mjini. Na ndio maana tuliamua kuwapa laptops hata huko huko kijijini, cha msingi ni uwezo wa mwanafunzi.
Bila kupoteza mda Hii hapa picha inahusu Elimu Kenya. Watu wanaopewa Computer Mpakato.

Ekenya1.jpg

Na bila kufanya umbeya soma hapa:
Sorry state of infrastructure in Kenya’s primary schools

Huwezi danganya chochote wewe.
 
Nchi zetu zinahitajiana kwa njia moja au nyingine, lakini ndio pawe na uwiano wenye manufaa baina yetu, ni bora elimu ingekua mfumo wa kutuunganisha. Lakini kwa tulivyo sasa, itakua kila siku mnasuasua kwa kila hatua, kumbe tatizo ni elimu.
Tutakua tunawalaumu kwa mwendo wenu wa kobe bila kujua tatizo lipo hapo kwenye vitabu.

Nashauri tuunganishwe kielimu, tuwe na mtaala mmoja, mfumo mmoja wa elimu.

kitu gani TZ tumesuasua?
 
Back
Top Bottom