pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
We acha,hizo ni stori za vijiweni bana!Umeona eeeh hii mijitu ilivyo mijinga yani ikomae ardhi ya tz iwe yao
Usipate presha kwa 7bu ya kuwasema,kuwabagua na kuwachukia watanzaniaHahaha!Sawa jombaa,usipatwe na vidonda vya tumbo buure tu!
Wala mimi sijawabagua watz,sijawachukia pia.Nachofanya si kuwasema ni mjadala tu!Mjadala wenyewe tunalinganisha mifumo yetu ya elimu.Kama majirani wowote wale wanavofanya.Shida inatokea na hisia nyingi wanazoingiza watu wengi kwenye mijadala.Tungejadili elimu ya Kenya,kama watu wazima ningekueleza mabaya yetu na changamoto zetu pia.Jomba,haina presha lakini,nimekuelewa.Usipate presha kwa 7bu ya kuwasema,kuwabagua na kuwachukia watanzania
Jamaa unazungumza na kujieleza kana kwamba umefika kidato cha nne na kuvuna FFFFF masomo yote, je katika ulimwengu wa digitali na nuclear utakuwa wapi unakuwa na wifi na Wakenya na system yao nzuri ya elimu! hata bila kwenda shule unaweza kununua chochote kutoka Ulaya au Marekani kama unavyonunua bidhaa kutoka Kenya, your are really in the 14th century, stop ashaming Tanzanians who have managed to produce internationally recognized academicians, Presidents and famous professors and scientists.Elimu ya watanzania!!!!
Labda uliyoyasema ni kweli, lakini haohao unaowaita vilaza ndio;
Wanunuzi wakubwa wa bidhaa zenu za viwandani,
Wanawauzia na nafaka za kula na kufanyia biashara, wanawaajiri ktk shule na mahoteli yao.
Nimegundua mnachuki, hila na kijicho sana na tanzania, mnatamani hata majanga yatupate.
Huishi kuutafuta ubaya wua watanzania kwanini?
Kama tz ni kikwazo kwanini msiendelee na nchi zingine?
Tz bila kenya tutaishi bila shida.
Ninajua mnaihitaji sana tz kuliko tz kuihitaji kenya.