pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Aisee acheni kuambia ndugu zenu watz ukweli,hawapendi hilo kabisaa.Nimesoma Kajiado mimi,shule ya msingi na ya upili pia.Kajiado inapakana na tz upande wa kusini.Wanafunzi watz ni wengi tu shule za binafsi za Kajiado.Toka enzi zile nikiwa shule ya msingi hadi sasa,mwanafunzi anayetoka kidato cha pili tz akija Kenya anarudishwa hadi darasa la sita!Naye wa kidato cha kwanza kutoka tz anarudishwa hadi darasa la tano.Darasa la tano!Shule ya msingi!Kubalini tu watz,elimu yenu ni ya kipuuzi tu!Tulisoma na wanaume watz wana hadi ndevu,shule ya msingi!Bado kwenye masomo tuliwapa kichapo everidei,kama walivopenda kusema.