Mtanzania haswa
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 663
- 100
wadau wenye data kuhusu elimu ya huyu mh. mwageni hapa, napata wasiwasi wa elimu yake pale anapochangia hoja bungeni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa nilisoma naye Mara sec school alikuwa rafiki yangu wa karibu sana ingawa baada ya kumaliza o level yeye alienda shule nyingine na mimi kwenda shule nyingine lakini tuliendelea kuwasiliana na kuwa karibu. O level halikuwa hana uwezo kabisa alichukua masomo ya Art. Lakini alikuwa mwizi mkubwa sana wa mitihani mpaka alituletea matatizo makubwa sana kipindi hicho kwa ajili ya wizi( waliosoma mara sec school 1992-1995 watakumbuka), baada ya hapo alienda Mkwawa aliendeleza ishu yake ya wizi wa mitihani, UDSM nasikia aliendeleza ishu ya kuiba mitihani. UDSM alikuwa anasoma kiswahili.wadau wenye data kuhusu elimu ya huyu mh. mwageni hapa, napata wasiwasi wa elimu yake pale anapochangia hoja bungeni.
mwizi pia wa haki za watunz mbali mbali wa vitabu, ni mzee wa ku copy na ku paste!
Tehe tehe, wa hivyo atatamani kudesa yale wengine wanayochangia. Kwa mwendo wapiga kura wanapata galasha, tehe tehe.mwizi pia wa haki za watunz mbali mbali wa vitabu, ni mzee wa ku copy na ku paste!
Kweli kabisa. Huyu jamaa sisi tulimuita Chavda pale Mar Sec sababu ya wizi wa mitihani. Alikuwa mtupu tu japokuwa alikuwa kiranja wa Kilimo. In short jamaa kichwani hajakaa sawa na uwezi wake ni mdogo sana
teh teh asijekuwa yupo kama yule mwalimu wa kwenye tangazo za haki elimu.UNAZIMA COMPYUTA YAKO ALAFU ITABADILIKA RANGI INAKUWA YA BLUU AU UNA KILIKImwizi pia wa haki za watunz mbali mbali wa vitabu, ni mzee wa ku copy na ku paste!
sasa inakuwaje anakabidhiwa dhamana ya uongozi??hivi tufanye nini ili tupate viongozi wanaofaa?
Duh! jF inaweza kukubakiza totally completely naked! Nyambala tepetepe!Yule jamaa ndo ukomboz wa watoto wa kata. Point zake maelezo mistar miwili tu, bas vijana wanavyompenda, ndo chanzo cha zero nyingi sbb darasa zima wanandika point moja maelezo yale yale. Tunaita kizazi cha "Ingwine Ingwine"