Retired Analyst
Senior Member
- Apr 7, 2025
- 138
- 244
Ukiingia kwenye crime scene, finger prints zako zitaonekana na watu wa forensicAcheni ujinga
pelekeni huyo mgonjwa hospitali
Hiyo inakujaga baadae hata wao huwa wanajua watu hugusagusa mahali kwa lengo lakusaidia!, ni ngumu muarifu kwenda na mtu aliemfanyia uharifu hospital.Ukiingia kwenye crime scene, finger prints zako zitaonekana na watu wa forensic
Mkuu, sio kwamba watakuchukua kwenda "kuisaidia Polisi"Hiyo inakujaga baadae hata wao huwa wanajua watu hugusagusa mahali kwa lengo lakusaidia!, ni ngumu muarifu kwenda na mtu aliemfanyia uharifu hospital.
ndio lazima ukatoe maelezo kwanini ulikuwepo pale so kama hukuwepo pale kwa nia mbaya na sababu ilikuwepo yakueleweka so what..?Mkuu, sio kwamba watakuchukua kwenda "kuisaidia Polisi"
Mkuu, if this is the case, mbona Polisi huvaa gloves wanapokuwa wanauonesha umma kupitia vyombo vya habari juu ya Silaha za wahalifu walizozikamata?? Lengo ni nini kama sio kuzuia finger marks zisionekane katika vizibiti husika??Mkuu kukuta fingerprint za mtu mahali fulani huwa si kosa maana asiposhika binadamu ashike nani..?
Hahahahaa sio kwa Polisi hawa wa bongo mkuundio lazima ukatoe maelezo kwanini ulikuwepo pale so kama hukuwepo pale kwa nia mbaya na sababu ilikuwepo yakueleweka so what..?
ili asiongeze fingerprint nyengine zikazidi kuwa nyingi nakufanya uchunguzi utumie muda zaidi hiyo ndio mantikiMkuu, if this is the case, mbona Polisi huvaa gloves wanapokuwa wanauonesha umma kupitia vyombo vya habari juu ya Silaha za wahalifu walizozikamata?? Lengo ni nini kama sio kuzuia finger marks zisionekane katika vizibiti husika??