Elimu ya Nape Nnauye

Mwanaukweli

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2007
Posts
4,786
Reaction score
1,715
'Mwosha huoshwa'.

Nape Nnauye ulianzisha mjadala juu ya elimu ya Mheshimiwa John Mnyika na mwenyewe ameshajitokeza kujibu.

Katika uzi huo wa Mheshimiwa Mnyika wachangiaji wengi wamegusia kuhusu details za elimu yako.

Swali la msingi: Matokeo yako ya Form 6 yana mashaka, wengine wanasema ulipata Division IV wengine Division 0. Uliwezaje kwenda chuo kikuu na Division IV ya Form 6?

Ona duku duku la wengi kujua matokeo yako.
Nafikiri atakuwaNape Nnauye ameelewa sasa ingawa alikuwa anajifanya haijui elimu ya John Mnyika. Nape Nnauye Haya tuwekee na wewe elimu yako ya kuungaunga pamoja na mwenzako fisadi mtoto wa the pilot au Vasco da Gama

Haya sasa napie nawe weka tokeo la form 4

Ningependa sana baada ya majibu ya Mnyika (aliyepata A-9 straight), sasa nape atupe grades zake, na Ridhwani (who has always been insignificant person ukiondoa kuwa mtoto wa rais nao wawe grades zao humu)

tuleteeni ya Nape

Habari zilizoenea mitaani ni kuwa Nape alipata Division 0 mtihani wa Kidato cha 6, mwenye uhakika au yeye mwenyewe atuhakikishie. Na aeleze aliwezaje kwenda Chuo Kikuu baada ya kupata Division 0 mithani wa kidato cha 6.



Watu hawa wote, pamoja na mimi mwenyewe tunaomba majibu.

Kama kuna waliosoma na Nape pia, mnaweza kutueleza mnavyomfahamu.
 
Nape, tunasubiri majibu ya grades zako za Form IV na VI

Kwa taarifa aliyotoa Mh. Mnyika, huyu mtu anayeitwa Nape, hawezi kujibu hoja wala na yeye kutoa details za elimu yake. mtasubiri mpaka Yesu harudi, nape hatoi taarifa yake kamwe. Kwa ni mara ngapi ametakiwa aeleze baba yake mzazi ni nani na ameshindwa, ndio itakuwa swala hili la elimu!!!
 
Subirini matusi kutoka kwa Nape Nnauye sasa, chezea gamba utayakoga matusi ya kejeli. Magamba kujibu hoja hayajui wanachojuwa wao ni matusi, nafikiri pale Lumumba ni chuo cha kufundishia matusi kwa Magamba
 
Nape tunasubiri grade zako..eti umesoma India,umefikaje?
 
Hakuna kitu kinashonishangaza sana kwa wanaCCM kukurupuka kuanzisha vitu vya kipuuzi ili kutafuta nafuu!! Ona sasa jinsi dingo la elimu yake lilivyomrudi na jinsi atavyoshindwa kutoa majibu yenye mantiki. Halafu mtu anajenga chuki wakati yeye mwenyewe ndiye mwanzilishi wa upuuzi.

Ama kweli mchima kisima huingia mwenyewe.
 
Mkuu Nape hawezi kujitokeza Hadaharani Kuelezea Elimu yake. Nape analiwinda sana Jimbo la Ubungo sasa anahisi Masalia wanaweza Kumsaida

Nape alifeli Form Six baada ya Kukosa Sifa za Kujiunga Chuo Chochote Cha Tanzania. Kwa sababu Mzee Yusuph Makamba alikuwa na Uhusiano wa Karibu na Baba wa Kambo wa Nape (Mzee Moses Nnauye) Wakamtafutia kachuo huko India. Sasa nasikia anachukua Masters Mzumbe (Nani ambaye hajui MBA za Mzumbe ni Fake?)
 
hataweza jibu hoja zaidi ya kuleta blah blah za siasa kwenye elimu.
Kama kawa kuna blah blah moja kajibu leo kuhusu rushwa uchaguzi wa CCM. Kamjibu mzee wa CDM. Hakuna alichojibu, eti pilipili usiyoila yakuwashia nini.. no Nape, ile statement hukutakiwa kuitoa, pale umechemka. Chama tawala unaulizwa rushwa unajibu vile. Apart from being kuwa mwa CDM, yule mzee ni mtanzania. Sasa watanzania ndo unawajibu vilee..!!

Hili la shule umekwama, uzuri hakuna darasa la peke yako, watu wanakufahamu zaidi yako juu ya shule yako. Wenzio wale wa Msemakweli walisema watamshitaki msema kweli, lakini hadi leo kimya. Sasa kama mlivyoanzisha la kadi mbili za uanachama wa Dr. Slaa, ingawa nawe hukusema ile ya CCJ ipo wapi, hili la elimu umeuvaa mkenge... usijaribu kuongopa, kumbuka hakuna darasa la peke yako ...
 
NAPE KATEMBELEA URUSI NA KUJIONEA JINSI GANI MAKADA WA KIRUSI WALIVYO NA MATUSI KWA RAIA ZAO. ni mmoja wa vijana wa ccm aliyeathirika sana na kupenda kudanganya umma. hakika ipo siku atakuja jutia kauli zake.
 
Makamanda naomba msimsakame nape, mi naona anatusaidia sana kwenye kupromote chama chetu pendwa cha ukombozi wa kweli wa mtanzania CHADEMA. kwasababu tangia aanze hii program ya kupromote CHADEMA kwenye mikutano ya gambaz, wenyewe mmeona matokeo ya watu wa Mtwara, mmeona matokeo ya chaguzi ndogo kuanzia za ubunge, za madiwani hadi zile za ngazi ya kijiji (mf Mbozi na Magu). So mi naomba kipekee kabisa nichukue nafasi hii kuwapongeza nape na mwigulu pamoja na babu yao Wasira (muzee ya go..mb..e). Tuwatie nguvu waendelee kutupaisha kwenye mapambano ya ukombozi wa kweli wa mtanzania. HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE. Hongera nape, hongera mwigulu, na sasa hivi tumewaongezea nguvu (Shombo pamoja na Pamba)
 
Ni kweli.

Propaganda ya kadi ya Dr. Slaa ili mis-fire. Hii nayo imemgeukia yeye.

Watu wanazidi kuidharau CCM.
 
Napeeee!! Hata wewe ?? Kwenye masuala ya Elimu unahoji elimu za watu ?? Kwanini haujadili hoja unafaidi watu, kweli wakati huu ni wa kutuongoza tujadili "mtu" ?? Huyaoni yaliyo mbele yetu Kama Taifa ?? Au unataka tuamini wewe hayakuhusu ?? Haya ya umaskini, udini, ukabila, uvivu wa kufikiri, maradhi, shida za maji, ubovu wa elimu, miundombinu mibovu, rushwa, ufisadi, uvivu wa kufanya kazi, ukosefu wa ajira, mikataba mibovu ya madini/gesi..., Ardhi yetu inayotwaliwa na wageni, shida za muungano, dhiki ya mikoa ya kusini na gesi yao.... Au unataka sie tunaokujua tuanze kujadili uwezo wako na jinsi ulivyobebwa na walimu na wanafunzi wenzio pale Mzumbe!! Kwanini usijipe nafasi ya kujisomea tena masomo ulivyobebwa. Unapataje muda wa kujadili MTU ??
 
CCM kazi yao kubwa kuchokonoa na kusepa
sasa tabia hii ishawatokea puani.
Nape alivo kilaza hatathubutu kujibu kitu hapa kesho atakuja na CD nyingine tena
nshamzoea ni mwimba taarabu bora akajiunge na khadija Kopa watoe single.
 
Ni kweli.

Propaganda ya kadi ya Dr. Slaa ili mis-fire. Hii nayo imemgeukia yeye.

Watu wanazidi kuidharau CCM.

mkuu nape anaandaa single nyingine baadaya ya mnyika kufail anakuja na udr.wa slaa ni feki ndicho kinachofuata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…