Elimu ya Nape Nnauye

Kwangu mimi kielimu: mnyika ni kama Mandela aliye fukuzwa Chuo kikuu kwa kupigania haki ya watu weusi, nape ni kama idi amin dadaa aliyejilundikia vyeo kwa sababu ya matumizi mabaya ya madaraka yake
 
Tatizo la vijana mnaoshabikia CHADEMA mna ushabiki wa kijinga uliochanganyika na wivu na kukosa fursa!
Sasa unadhani Mnyika ni kiongozi mzuri kuliko Nape, Mnyika anapenda sifa za kijinga ana utulivu alionao Nape hata chembe!
Kuwa na Div 4 o level si hoja! Tuna maprofesa walio feli darasa la saba wakarudia leo ni maprof,fanyeni tafiti acheni ujinga Nape oyee!
 
Form six alipata Div 2 na katika thread yake ameweka wazi.
 
Toeni mada zenye maana bhana kwani elimu inatija gani? Sisi twa taka utendaji wa mtu,mimi mwenyewe sina elimu ila napenda kuingia humu Jamiii forum kupata chalenji tu,toka kwenu wanajamii forum.

Toka kwa MrArsenal
 

Mie nilipokua Nsumba nilikua nakaa sana Mkwawa namba 1,na kitintale mara nyingi
kama sio sweya.
 

We jamaa umeamua tu kubisha....nakupa mfano rahisi tusi lazima niseme ni mimi mana utajua najifagilia!Kuna jamaa X alimaliza darasa la saba,akawa mwanafunzi wa pili kimkoa!akapangiwa Tabora School...kwa mapenzi yake na muono wake akajiunga Seminary...kidato cha Nne akapata 1.7 akiwa na A kumi,akachaguliwa tena Tabora School,wakati Seminary alipangiwa Mafinga mana wakati huo ndo ilikuwa pekee yenye PCB na PCM kwa Advance....akaamua kwenda Tabora School...Form Six akapata 1.3,akaenda Muhimbili...akasoma mwaka mzima..akaona mambo ya Kadava(mochwari kupasua maiti kwa majaribio) hayawezi..akarudi mtaani,akafanya biashara kwa miaka miwili...akarudi chuo na kusoma B.Com in Accounting...akapasua kwa haja,akafanya Masterz ya Performing Arts..sasa ana kampuni yake ya kutengeneza majukwaa ya matamasha ktk Nchi za Scandinavia...ukimuuliza Hamis Kigwangalla anaweza kumfahamu,mana HK amekuja sana Tabora School enzi hizo akitokea SHY-BUSH kuja kubeba material na kufundishwa baadhi ya Topic!So Dude jipange na wala usipotoshe
 
Napata shida sana na hizi propaganda zilizoanzishwa hivi karibuni za kuchafua baadhi ya Wanasiasa;1.Mnyika hana digrii. 2.Mbowe ni DJ 3.Slaa anatumia jina la mtu tofauti.Sijui yana malengo na tija gani kwa taifa hili.
Sina bahati ya kusoma kitabu kilicho orodhesha elimu feki za baadhi ya viongozi,ntakipata wapi?
 
Kumbe alijifunzia matusi NSUMBA au alitoka nayo NGUDU???????????
NI kilaza tu huyo. Hana lolote katika jamii.
Mbona WASUKUMA WENZAKE NI WAJANJA????????? AU yeye sio msukuma????

Matakoo kweli wewe.
Nani kakwambia kila aliye soma boarding kwa shule iliyoko
mwanza basi ni msukuma?

Kwa taarifa yako,enzi zetu kulikua na ushindani kweli kweli
shuleni ndo maana tulikua hatufeli.
Maana mlikua mna kutana watu toka karibu mikoa yote ya Tanzania bara.
Kila mtu amekuja kusoma na hasira zake ili akasaidie kijijini kwao.
 

Acha kukurupuka Bwana mdogo inaonekana umedandia hoja au Kaka yako Nape hakukushirikisha alipohoji elimu ya Mnyika kumlinganisha Nape na Mnyika ni sawa nakulinganisha kichuguu na mlima Kilimanjaro...kwa magamba wote hakuna wakumlinganisha na Mnyika kwenye uadilifu,uwezo wakujenga hoja,utumishi uliotukuka kwa wananchi wake sana sana mnamzidi kwenye ufisadi.
 

Duh, Kumbe alianzia shule ya kata, Ngudu Secondary School!!!
 
Tatizo lako unatumika kama condom. Hivi kweli kwa akili yako timamu unaweza kumlinganisha mnyika(shujaa wa kupigania haki)na huyo zuzu nape. Ama kweli tz ni zaidi ya uijuavyo.
Pole tafakari na uchukue hatua nafasi bado unayo!
 

Unasikitisha na hujui ulisemalo. Labda ungetafuta ile thread ya Nape aliyomtaka Mnyika aeleze elimu yake na FB ya Riz1 anayozungumzia elimu ya Mnyika ndipo ungeelewa hii kitu imeanzia wapi.

Hii akili ndogo ya kufikiria kila anaye question, oppose au critisize CCM au mwanachama wake ni lazima awe CDM ni upungwani wa hali ya juu. Kwa ttarifa yako majority ya watu humu wapo kwa ajili ya mapenzi ya taifa. Tatizo ni CCM wametuharibia nchi na watu wana uchungu nao.
 

Kipindi hicho HEAD MASTER alikuwa Felix nini...coz kuna Bweni linaitwa Brother Felix pale tulikuwa tunaambiwa ndo alikuwa Mkuu wa kwanza,niliingia pale kipindi KIBONA ndo anaondoka.
 
Nikawaida kwa watu wasiojua na wenye uwezo mdogo wa kufikiri kama Nape kupenda kujisifia na kujionyesha kwamba wanajua....aliwezaje kujiunga na kidato cha tano? Haishangazi kusikia alifoji vyeti!
 
Sidhani kama ni sahihi kwa waliosoma au wenye elimu kuwatambia wasiokuwa na elimu au wenye elimu ndogo,.
Mwalimu Julius Nyerere katika viapo hili lilikuwa ni sumu.
kumbuka hii mbiu, NITATUMIA ELIMU YANGU KWA MANUFAA YA WOTE.
:eyeroll1:
 
Kumbe alijifunzia matusi NSUMBA au alitoka nayo NGUDU???????????
NI kilaza tu huyo. Hana lolote katika jamii.
Mbona WASUKUMA WENZAKE NI WAJANJA????????? AU yeye sio msukuma????

Ha! kilaza kuliko Mnyika?
 
Kama una average iq lakini uko na determination kufika juu kielimu unafika tu. Hakuna cha ajabu. Unaweza kupata div iv '0' level ukaunga, certficate, diploma ukapeta chuo kikuu. Mbona wengi tu wamefika juu kielimu kwa kuunga unga.
 
Nape ana master ya kuiba, kama uchunguzi wa FBI ukifanywa, Master ya Nape, PhD ya Nchimbi zitafutwa. Hao jamaa hawakusoma na wala hawakuandika thesis yeyote, ila waliandikiwa, ambayo ni ethic issue. Shame on Mzumbe na CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…