Elimu ya Nape Nnauye

Elimu ya Nape Nnauye

Nchi ya kitu kidogooo......
Nchi ya watu wachaachee...
Ukitaka masters weee bwana nenda mzumbeeeee.......!
Singing alone.
Seriously nobody can convince me ati since hii thread imeanzishwa nape hajaisoma.
Tunataka kamsaada tujue tu jinsi ya kuwasaidia wadogo zetu waendelee na V kama wewe ulivyofanya pls hv mercy on these kids!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Nape Nnauye ana masters John Mnyika ana nini?

Chama
Gongo la mboto DSM
.....wewe nawe ndio wale wale. Masters kitu gani ikiwa mawazo na matendo yako hayana tofauti na mtoto wa darasa la pili? unatakiwa uonyeshe jamii kuwa kweli elimu uliyoipata imekukomboa kichwani na inaleta mabadiliko ya kweli katika jamii inayokuzunguka, hatuhitaji degree za 'cheap' au za 'chupi' ambazo hazina msaada wowote. Amkeni na muanze kutambua kuwa elimu ni ukombozi wa kifikra, utandaji na mwenendno na sio mikaratasi kama vile mnavyoamini wengi wenu.

Hata mtoto mdogo leo hii akija kuona comments za hao mnaowaita wenye masters hapa jamvini anaweza kughaili kusoma. Hivi ukiwalinganisha Nape na Mnyika, yupi unayeweza kusema ana Masters kutokana na michango yao katika jamii hii inayotuzunguka?
 
Look at Nape Nnauye courages; you know there is good story to be told; that was brilliant achievements; big up Nape!!!!

Chama
Gongo la mboto DSM
Hata kama alighushi cheti cha Form VI? Watu wanahoji baada ya Div IV ya point 29, atueleze safari yake ya kwenda Masters. Alirudiaje mitihani ya Form IV, atueleze na A level yake alisomea wapi na alipataje.

Angalia hapa wanajitokeza waliosoma naye Form IV, lakini kuna gap la A level, au alitoka Form IV na kwenda kusoma Degree India?

Umuhimu wa uzi huu ni kupima kama hadithi yote hii ya From Division IV points 29 Form IV to Masters ndani yake hakuna udanganyifu wa kubumba vyeti.
 
Aliyeanzisha aina hii ya siasa za majitaka ni Nape,na majeruhi wa kwanza ni yeye mwenyewe!
 
Tatizo la vijana mnaoshabikia CHADEMA mna ushabiki wa kijinga uliochanganyika na wivu na kukosa fursa!
Sasa unadhani Mnyika ni kiongozi mzuri kuliko Nape, Mnyika anapenda sifa za kijinga ana utulivu alionao Nape hata chembe!
Kuwa na Div 4 o level si hoja! Tuna maprofesa walio feli darasa la saba wakarudia leo ni maprof,fanyeni tafiti acheni ujinga Nape oyee!
Kama una average iq lakini uko na determination kufika juu kielimu unafika tu. Hakuna cha ajabu. Unaweza kupata div iv '0' level ukaunga, certficate, diploma ukapeta chuo kikuu. Mbona wengi tu wamefika juu kielimu kwa kuunga unga.
Ndio hicho watu wanataka Nape Nnauye asimulie aliungaje ungaje mpaka akapata Masters.
 
Mimi nilisoma Mzumbe ninamasters ya Corporate Management na sikuwahi kuandika pepa maana pale elimu yetu tunaijua wenyewe in short hakuna shule pale hivi karibuni nimemaliza tena masters yangu UDSM baada ya kuona sikupata chochote pale Mzumbe

Mkuu watu wengine huwa mnajidhalilisha bila kujijua
Watu kama wewe ni wale mnaopenda kufanyiwa kila kitu, sema kuwa hukuandika pepa kwa 7bu uliandikiwa na si vinginevyo, na hili ndo tatizo kubwa la wasomi wetu wa leo. Mimi nimemaliza masters (MBA-Finance) Udsm kuna walio serious na shule (kama mimi) lakini pia kuna vilaza kibao wanaotoa pesa ili waandikiwe Desertation zao huko mtaani, hili ni Janga kwa mustakabali ya elimu yetu!

Kwakuwa wewe hukupata chochote (kwa uzembe wako) basi dont generalize kuwa kila anayesoma Mzumbe hana chochote kama wewe.

Pia unatakiwa utambue kuwa kusoma ni jambo moja lakini kuelimika ni jambo lingine, Mtu anaweza kuwa amejaza vyeti vya shahada kibao (kama wewe) lakini kichwani hakuna kitu kwakuwa alikwenda kuhudhuria masomo na c kupata elimu.

pengine alikuwa mlokole lakini kwa unafki huu alionao sasa atakuwa ni wadunia tu na ulokole aliuacha kabla hajawa mccm
Sasa hivi Ustaadh!
1.+Nape+Six+na+hasan+bantu.jpg

10.+Nape+akizungumza+jukwaani.jpg

13,+Nape+akishiriki+kuomba+dua++kulia+ni+mkt+wa+mkoa.jpg
 
Kivukoni Diploma hakuipata...aliishia Certificate.....baada ya hapo akaajiriwa CCM ...idara ya nje...kabla ya kutafutiwa admission za kiitifaki......Kama zile makada wa std seven walizokuwa wakipewa zamani....kwenda Russia...wakirudi baada ya miaka Saba wanaitwa doctors ..phd.
Huko India pia alimaliza kiitifaki ....maana Muda mwingi alitumia kufanya siasa za uvccm na kumpigia kampeni Malecela mwaka 2005.

Mkuu umenikumbusha enzi za akina Dr. Salmini Amour! Wengine walikua wanapelekwa Urusi ya zamani,wengine,East Germany, Bulgaria na Romania,wakirudi wanakuja na mbwembwe nyingi!
 
Ndugu wanajamvi nasikitika tu kueleza kuwa Nape kaanzisha suala la elimu ilihali yeye akijua kabisa kuwa hana uwezo na hatokuwa na uwezo kielimu kama aliokuwa nao Mnyika.

Nape alihamia Nsumba Sekondari iliyoko Mwanza Mwaka 1995 akitokea Ngudu Sekondari iliyoko wilayani Kwimba na kunikuta mimi nikiwa kidato cha kwanza yeye akiwa kidato cha pili.

Nape alifikia kuishi bweni lijulikanalo kwa jina la Mondlane room 3. Kijana Nape alikuwa mcha Mungu sana maarufu kama mlokole.

Nape baada ya kuhitimu form four alipata division four ya point 29. Sasa mimi sijui alifikaje huko form six. baada ya hapo sikuelewa tena nini kiliendelea kwa Nape kwa elimu ya bachelor lakini kwa masters yake amehangaika sana kukamilisha dessertation yake pale Mzumbe kwa habari niliyoipata kutoka kwa Lecturer mmoja ambaye ni jamaa yangu wa karibu na aliyemfahamu tangia akiwa form two.

division four ya point 29????????????Duh kwa hiyo jamaa ni bonge la kilaza??? ndio maana hajasema lolote kuhusu matokeo ya F4 maana watamuuliza mbona nae alifeli lakini anatumia V8!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu watu wengine huwa mnajidhalilisha bila kujijua
Watu kama wewe ni wale mnaopenda kufanyiwa kila kitu, sema kuwa hukuandika pepa kwa 7bu uliandikiwa na si vinginevyo, na hili ndo tatizo kubwa la wasomi wetu wa leo. Mimi nimemaliza masters (MBA-Finance) Udsm kuna walio serious na shule (kama mimi) lakini pia kuna vilaza kibao wanaotoa pesa ili waandikiwe Desertation zao huko mtaani, hili ni Janga kwa mustakabali ya elimu yetu!

Kwakuwa wewe hukupata chochote (kwa uzembe wako) basi dont generalize kuwa kila anayesoma Mzumbe hana chochote kama wewe.

Pia unatakiwa utambue kuwa kusoma ni jambo moja lakini kuelimika ni jambo lingine, Mtu anaweza kuwa amejaza vyeti vya shahada kibao (kama wewe) lakini kichwani hakuna kitu kwakuwa alikwenda kuhudhuria masomo na c kupata elimu.

Nakubaliana na wewe,nyongeza ni kwamba sredi hii imetufunulia uoza ulioko ktk sekta ya elimu hapa nchini. Tumeona jinsi chuo cha Mzumbe ambavyo kimekua kina warahisishia wanasiasa wa CCM wasiokua na uwezo kupata shahada bila vigezo wakati watoto wa watu masikini wakienya kuweza kufaulu hapo Mzumbe. Uoza huu umeenea hata ktk vyuo vingine vya umma na binafsi.
 
I used to love and like Mzumbe. It was the only college of those days real IDM,s in Tanzania which hosted many South Africans and Swazi's majority. I wonder nowadays the college can not manage performance of learners thats why even those who were reported to acquire their "stones" there are "grand manners". Vijijini Lawama, you can see tomorrow these people with bigger stones fails to perform in the platforms
Ndugu wanajamvi nasikitika tu kueleza kuwa Nape kaanzisha suala la elimu ilihali yeye akijua kabisa kuwa hana uwezo na hatokuwa na uwezo kielimu kama aliokuwa nao Mnyika.

Nape alihamia Nsumba Sekondari iliyoko Mwanza Mwaka 1995 akitokea Ngudu Sekondari iliyoko wilayani Kwimba na kunikuta mimi nikiwa kidato cha kwanza yeye akiwa kidato cha pili.

Nape alifikia kuishi bweni lijulikanalo kwa jina la Mondlane room 3. Kijana Nape alikuwa mcha Mungu sana maarufu kama mlokole.

Nape baada ya kuhitimu form four alipata division four ya point 29. Sasa mimi sijui alifikaje huko form six. baada ya hapo sikuelewa tena nini kiliendelea kwa Nape kwa elimu ya bachelor lakini kwa masters yake amehangaika sana kukamilisha dessertation yake pale Mzumbe kwa habari niliyoipata kutoka kwa Lecturer mmoja ambaye ni jamaa yangu wa karibu na aliyemfahamu tangia akiwa form two.
 
Last edited by a moderator:
Masters hahahahaaaahaahaaha aibu yako na yake.
Ok. sawa Majimarefu aye ana nii ??? may be Stephen Ngonyani (Bsc Hons???, Master??? PhD????) hahahahaaaaa , aibu yenu wote.
ndizo elimu za viongozi wetu. hahahaaaaaaaa
Nape Nnauye ana masters John Mnyika ana nini?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Sasa hivi Ustaadh!
1.+Nape+Six+na+hasan+bantu.jpg

10.+Nape+akizungumza+jukwaani.jpg

13,+Nape+akishiriki+kuomba+dua++kulia+ni+mkt+wa+mkoa.jpg
Nakala kwa Ritz A photo can speak thousand language.

Ningependa kumuona Pasco kwenye huu uzi Kibanda Mzee Mwanakijiji maggid Kitila Mkumbo na waandishi wote wa habari za kiuchunguzi,

Taifa hili haliwezi kwenda popote kama wabuni sera kwenye chama ndio hawa ambao Elimu zao hazieleweki hivyo vyeti wametunukiwa vipi!! Pls Nape come out ni wewe ndio uliyejambisha huu mchezo na tutakushikia bango hata kwa kununuwa kurasa kwenye magazeti.
 
Last edited by a moderator:
Hata kama alighushi cheti cha Form VI? Watu wanahoji baada ya Div IV ya point 29, atueleze safari yake ya kwenda Masters. Alirudiaje mitihani ya Form IV, atueleze na A level yake alisomea wapi na alipataje.

Angalia hapa wanajitokeza waliosoma naye Form IV, lakini kuna gap la A level, au alitoka Form IV na kwenda kusoma Degree India?

Umuhimu wa uzi huu ni kupima kama hadithi yote hii ya From Division IV points 29 Form IV to Masters ndani yake hakuna udanganyifu wa kubumba vyeti.

Labda ali RE-SEAT Form four.....lol
 
Mkuu watu wengine huwa mnajidhalilisha bila kujijua Watu kama wewe ni wale mnaopenda kufanyiwa kila kitu, sema kuwa hukuandika pepa kwa 7bu uliandikiwa na si vinginevyo, na hili ndo tatizo kubwa la wasomi wetu wa leo. Mimi nimemaliza masters (MBA-Finance) Udsm kuna walio serious na shule (kama mimi) lakini pia kuna vilaza kibao wanaotoa pesa ili waandikiwe Desertation zao huko mtaani, hili ni Janga kwa mustakabali ya elimu yetu! Kwakuwa wewe hukupata chochote (kwa uzembe wako) basi dont generalize kuwa kila anayesoma Mzumbe hana chochote kama wewe. Pia unatakiwa utambue kuwa kusoma ni jambo moja lakini kuelimika ni jambo lingine, Mtu anaweza kuwa amejaza vyeti vya shahada kibao (kama wewe) lakini kichwani hakuna kitu kwakuwa alikwenda kuhudhuria masomo na c kupata elimu.
Kama kuna kitu nachukia ni mtu kuandikiwa kazi ya kitaaluma kutoka title ya dissertation mpaka report mezani!!! baada ya kuvaa joho naye anajitapa ni MASTERS HOLDER!! Wenye tabia hizi wapo si Mzumbe tu bali hata UDSM mtindo huu umeanza kuota mizizi hasa ukizingatia uzembe wa ma-supervisor katika kusoma na kusimamia wanafunzi wao..pale UDBS kwa kweli wanakoelekea hasa hawa wa EXECUTIVE ni hatari zaidi kwa mustakabali wa nchi na wengi ni VIBOPA ambao kwao kulipa hata Milioni 1,2,3 au 4 kwa kufanyiwa kazi si shida na hawa hawa ndo wakuu wa mashirika, ofisi na taasisi za serikali ama mashirika binafsi.. Boss kimeo, unategemea ufanisi upi? Baya zaidi ni mtindo wa sasa ambapo kila mtu anadhani ni lazima awe na bachelor, masters ama PhD bila kujua ni kwa manufaa ama ni fasheni na kupandia TGS, TGTS n.k. tukiendelea na fasheni hii hakika wataalam wetu wenye level za masters na PhD watakuja kuwa janga lingine la taifa...
 
Kuna tatizo kuwa sana hapa. Inaelekea Latino asilimia 95 ya watahiniwa wa mwaka huu na asilimia 80 ya wa mwaka Jana role model wao no mijitu kama akina Nape iliopata daraja la nne na sifuri, halafu imefanikiwa kupata shahada za juu kwa kuungaunga. Hawa watahiniwa wanapotoa majibu kama "elimu haijalishi ila cheti tu ndio kinatakiwa" inaashiria janga kubwa linaelekea kulikumba Taifa letu.
Ni wakati muafaka kwa Nape na kundi lake wajitokeze na kukiri ........,,,,
 
tunataka utendaji bora, unaweza kuwa PhD holder lakini still ukawa kilaza tu kwenye utendaji wako

Thread haihusu mambo ya utendaji ila inahusu viwango vya elimu.
 
Back
Top Bottom