Elimu ya Nape Nnauye

Elimu ya Nape Nnauye

Samahani wote:Nape kasoma NGudu baadae Nsumba!?Kumbe mshamba tu huyu.Mjini kaja lini.Km ntamgusa mtu anisamehe
 
Mimi nadhani wewe umeamua kubisha tu, na kuweka hoja ambazo hazina mashiko! Kwa kifupi hata wewe ukitaka kujua ulikuwa wa ngapi wakati unamaliza elimu yoyote chini ya NECTA, utajua tu! sio ishu kam Mnyika alijua amekuwa wa kwanza, mpaka leo huo utaratibu upo wa kujua nani kaongoza!

Ishu ya matokeo ya Form Six aliweka bayana kuwa alipata division II, sasa sijui ulitaka asemeje zaidi ya hapo!

Kumaliza chuo kasema kamaliza BBA udsm, labda kama wewe unajua vingine.

Halafu ishu ya shule sio haja, uwezo wa Mnyika wa kujenga hoja na kujieleza, ni zaidi hata ya wasomi wengi duniani, hilo hata Magamba wenzako wanakiri na kumpa heshima kwa hilo, cjui wewe unataka nini!

Mwisho, kama uliwahi kuangalia mdahalo ambao ulihusisha vijana na Mnyika na Neppi wakihudhuria hapo tajua tofauti ya Mnyika na gamba Nepi.

Tamati, nimemkuta Nape kwenye chumba cha mtihani Mzumbe akifanya special exams, kwa maana sisi hatukuwa wa mwaka wake..inaonyesha jinsi asivyo makini na suala la elimu!

Sijaona mahala ambapo Mnyika ameweka bayana kwamba form six alita division II. Kama ni kweli alipata division II form six, basi maana yake ni kwamba alishindwa kupata "equivalent of C C C" au alama za C tatu.
Sasa basi, mwanafunzi ambaye ameongoza mkoa wa darisalama akiwa darasa la saba, kisha akapata A A A A A A A A A form 4; kisha mwanafunzi huyo huyo akashindwa kupata C C C form six; Hii imeshajibu maswali kadhaa.

1. Imejibu kwanini hakwenda Ilboru
2. Imejibu kama alipata "A" tisa au alizaa "A" tisa
3. Imejibu kwanini alichagua kusoma evening classes.

Unless someone has suffered a severe amnesia, it is accademically impossible to NOT get "triple C" at form six, if indeed the same person had achieved 9 A's at form 4.

Huyu jama ni yarabi salama huyu, kwa wale waliosoma Tanga skuli enzi za Tetti watanielewa zaidi.

In fact, the integrity of his 9 A's is not worth the podium he preaches on. Jizi la mitihani.
 
......ayaaaaahh ! kaka nape huku usije jamaa wameshayapata matokep yako ya form four,aibu,chungulia mwenyewe kwa ID nyingine ! dah ! mambo hadharaniiii mtumzima.....teh tehehhehhehhhh !

Hii inaonesha dhahiri Nape alichangia kiasi kikubwa kwenye matokeo ya mwaka huu form iv haswa kwenye masomo kadhaa aliyoFaulu kutokea Z to A
 
Aibu yake nape...mpaka tumejua ujinga wa viongozi wengine CCM...bado matokeo ya form four mwaka huu yanawaumbua. nchi imewashinda.
 
Kwa kweli watu kwa ujumla wamezaliwa na talents na intelligences tofauti. Hilo halipingiki.

Kama ni kwa vigezo vya matokeo ya elimu rasmi kuanzia Form 4 hadi shahada ya chuo kikuu, basi hata mimi ningekuwa mfalme wa Bongo long time, jamani... Aminia!

Mkuu, nadhani hapa swala siyo kiwango cha elimu, bali ni "integrity" ya elimu ya mtu. Kutokana na uliyoyaandika nadhani wewe ni miongoni mwa wanafunzi waliofanya vizuri form 4 na form 6, ingawa ukweli halisi unaujua wewe mwenyewe.

Sasa jee, inawezekana mtu ukapata A tisa form 4(kihalali kabisa); Kisha ushindwe kupata C tatu form six?
 
Sijaona mahala ambapo Mnyika ameweka bayana kwamba form six alita division II. Kama ni kweli alipata division II form six, basi maana yake ni kwamba alishindwa kupata "equivalent of C C C" au alama za C tatu.
Sasa basi, mwanafunzi ambaye ameongoza mkoa wa darisalama akiwa darasa la saba, kisha akapata A A A A A A A A A form 4; kisha mwanafunzi huyo huyo akashindwa kupata C C C form six; Hii imeshajibu maswali kadhaa.

1. Imejibu kwanini hakwenda Ilboru
2. Imejibu kama alipata "A" tisa au alizaa "A" tisa
3. Imejibu kwanini alichagua kusoma evening classes.

Unless someone has suffered a severe amnesia, it is accademically impossible to NOT get "triple C" at form six, if indeed the same person had achieved 9 A's at form 4.

Huyu jama ni yarabi salama huyu, kwa wale waliosoma Tanga skuli enzi za Tetti watanielewa zaidi.

In fact, the integrity of his 9 A's is not worth the podium he preaches on. Jizi la mitihani.
And your point is kwamba Division four ya Nape ya point 29 haikupi mashaka alipataje Masters?
 
Mbona wewe huelezi form six ulipata ngapi?au nawe ulizaa?watu wengine mnawatafutia watu ban za makusudi,yaani Mnyika kwa maelezo yote hapo hujamwelewa unamlinganisha na mtu ambaye hatuwezi kupata uthibitisho?Mnyika angekuwa kilaza angezaje kushawishi wasomi wa mlimani wampe kura?angewezaje kuwatingisha maprofesa kama Magembe.Bila shaka wewe ndiye Yarabi Salama

Form six nilipata

A-mathematics,
A-Physics,
B-Chemistry.

Form 4 nilipata A-mathematics; A-Engineering science; A-Chemistry; A-English; A-Technical Drawing, A-mechanical Drawing, C-Kiswahili; C-motor vehicle mechanics, D-civics.
 
UWAJIBIKAJI,UADILIFU,na UTAWALA WA SHERIA ni nguzo Adimu za kiongozi yeyote.Sasa mimi nina hakika kuwa BARAZA LA MAWAZIRI WA AWAMU ya NNE LIMEJAA MASTERS NA PhD hadi za kununua ili kuwaogofya ninyi vijana mnaozihusudu.Kinachotakiwa baada ya nguzo nilizotaja hapo juu ni MATOKEO,KALE KA KAULI MBIU KA MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA kaonekane kanatekelezwa,Mzumbe Masters?Hata hawa vijana waliotoka kapa form four wana uwezo wa kupata MASTERS MZUMBE.HAMKUONA WALE WATUHUMIWA WAWILI WA SHAHADA FEKI ZA UZAMIVU(PhD) WALIPOONA MNAWAANDAMA SANA WAMESHAENDA MZUMBE,WASHAPATA PhD mara moja,fastafasta? WEWE MTU NI WAZIRI FULL TIME HLAFU ANA PHD MIAKA MIWILI MITATU HII?MNAANDIKIWA ZINGINE?
 
And your point is kwamba Division four ya Nape ya point 29 haikupi mashaka alipataje Masters?

Point yangu ni kwamba Nape na Mnyika are two cheeks of the same ass. One is a failure accademically, the other is an accademic cheat. You will decide which of the two is better.
 
usikute nape alimchora george best na kibwengo kwenye mtihani wake wa 4m 4.
 
Mimi nilisoma Mzumbe ninamasters ya Corporate Management na sikuwahi kuandika pepa maana pale elimu yetu tunaijua wenyewe in short hakuna shule pale hivi karibuni nimemaliza tena masters yangu UDSM baada ya kuona sikupata chochote pale Mzumbe

We Ni Mwongo Mkubwa!Kama haukuwa na bidii ya Kusoma na ukapata MBA corp Mgt bila andiko hata UDSM umepata cheti kwa njia haramu!Hakuna chuo kikuu duniani kinachomsukuma mtu akasome darasani bali andiko na mengineyo vitamkaba!Hujasoma mzumbe,acha kudhalilisha MU!
 
Form six nilipata

A-mathematics,
A-Physics,
B-Chemistry.

Form 4 nilipata A-mathematics; A-Engineering science; A-Chemistry; A-English; A-Technical Drawing, A-mechanical Drawing, C-Kiswahili; C-motor vehicle mechanics, D-civics.

ndoto za kwenye danguro hizo kama unaniliiiii vile
 
Sijaona mahala ambapo Mnyika ameweka bayana kwamba form six alita division II. Kama ni kweli alipata division II form six, basi maana yake ni kwamba alishindwa kupata "equivalent of C C C" au alama za C tatu.
Sasa basi, mwanafunzi ambaye ameongoza mkoa wa darisalama akiwa darasa la saba, kisha akapata A A A A A A A A A form 4; kisha mwanafunzi huyo huyo akashindwa kupata C C C form six; Hii imeshajibu maswali kadhaa.

1. Imejibu kwanini hakwenda Ilboru
2. Imejibu kama alipata "A" tisa au alizaa "A" tisa
3. Imejibu kwanini alichagua kusoma evening classes.

Unless someone has suffered a severe amnesia, it is accademically impossible to NOT get "triple C" at form six, if indeed the same person had achieved 9 A's at form 4.

Huyu jama ni yarabi salama huyu, kwa wale waliosoma Tanga skuli enzi za Tetti watanielewa zaidi.

In fact, the integrity of his 9 A's is not worth the podium he preaches on. Jizi la mitihani.

Mkuu hao wanomtetea Mnyika ni vilaza; mpaka sasa hivi sielewi vigezo alivyotumia John Mnyika vya kusoma madarasa ya jioni UDSM; huyu Mnyika alifaulu hiyo form 4 ila hakauelewa alichosoma; hivi anaficha nini kutuwekea majibu yake kidato cha 6? Upo uwezekano mkubwa hakuwa na sifa ya kujiunga na vyuo vya elimu ya juu; na ndio sababu alijaribu kuungaunga na masomo ya jioni;ajabu zaidi digrii yenyewe BBA! Huyu jamaa ni YARABI TOBA hana lolote! Kwa matokeo yake ya kidato cha 4 alitakiwa awe PCB au PCM ila alikacha alijua ngoma nzito; div 1 yake ilikuwa ya kununua mitihani hana lolote ubwabwa mtupu!!!!!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Point yangu ni kwamba Nape na Mnyika are two cheeks of the same ass. One is a failure accademically, the other is an accademic cheat. You will decide which of the two is better.
Mnyika is University drop out and Nape is Academic criminal.

Kumuita Mnyika ni Academic Failure basi tukubaliane kwamba na Bill Gates ni Academic Failure maana naye ni Harvad University drop out like Mnyika. Kazi kwako nnya itakutoka mwaka huu.
 
Jamani ni kweli NAPE MOSES NAUYE ALIHAMIA NSUMBA sekondari tulimaliza naye kidato cha nne mwaka 1997 alikuwa ni monita wetu mkondo wa kidato cha nne c,matokeo ya kidato cha nne hakupata daraja la nne la 29 bali alipata daraja la pili point 18 iliyomfanya achaguliwe kuingia kidato cha tano Mwenge shule ya sekondari mkoani Singida.Baada ya hapo sikumfuatilia saana na sijui matokeo yake ya kidato cha sita, japo ya form four ndo nayafahamu hivyo.Ni kweli alikuwa ni mlokole kwelikweli nashangaa sasa kumuona anavaa kibadiko kichwani.
 
Point yangu ni kwamba Nape na Mnyika are two cheeks of the same ass. One is a failure accademically, the other is an accademic cheat. You will decide which of the two is better.

Can you prove your point that Nape cheated? I still believes that he worked his way out; one thing I want to remind you is along the life people change; I have the same story my form 4 results was not excellent my dream job was to be sailor so I did not put much pressure towards education; But after the results came out my beloved teacher Mr. Mnyamuru he personal had a special discussions with my parents; since that day I changed for good!!! so for all you nay sayers kiss you ass Nape Nnauye proved you wrong!!!!!!!!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Mnyika is University drop out and Nape is Academic criminal.

Kumuita Mnyika ni Academic Failure basi tukubaliane kwamba na Bill Gates ni Academic Failure maana naye ni Harvad University drop out like Mnyika. Kazi kwako nnya itakutoka mwaka huu.

Your damn stupid! John Mnyika was not even a full time student at UDSM; he was a evening student !! BG is an inventor and he respects education that why he gives millions of US dollars to colleges in US; Mnyika is just failure but well who always stands to defends him? Another form 4 failure!!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Your damn stupid! John Mnyika was not even a full time student at UDSM; he was a evening student !! BG is an inventor and he respects education that why he gives millions of US dollars to colleges in US; Mnyika is just failure but well who always stands to defends him? Another form 4 failure!!

Chama
Gongo la mboto DSM
Naona unajambajamba tu hapa na kingereza chako uchwara, swali ni rahisi sana Bill Gates ni Graduate?
 
Back
Top Bottom