Kitaeleweka
JF-Expert Member
- Jul 30, 2012
- 394
- 88
hekima
.....wewe nawe ndio wale wale. Masters kitu gani ikiwa mawazo na matendo yako hayana tofauti na mtoto wa darasa la pili? unatakiwa uonyeshe jamii kuwa kweli elimu uliyoipata imekukomboa kichwani na inaleta mabadiliko ya kweli katika jamii inayokuzunguka, hatuhitaji degree za 'cheap' au za 'chupi' ambazo hazina msaada wowote. Amkeni na muanze kutambua kuwa elimu ni ukombozi wa kifikra, utandaji na mwenendno na sio mikaratasi kama vile mnavyoamini wengi wenu.
Hata kama alighushi cheti cha Form VI? Watu wanahoji baada ya Div IV ya point 29, atueleze safari yake ya kwenda Masters. Alirudiaje mitihani ya Form IV, atueleze na A level yake alisomea wapi na alipataje.Look at Nape Nnauye courages; you know there is good story to be told; that was brilliant achievements; big up Nape!!!!
Chama
Gongo la mboto DSM
Jibu hilo hapo juu, hivyo uzi ufungwe sasa, asante sana staki shari.
Tatizo la vijana mnaoshabikia CHADEMA mna ushabiki wa kijinga uliochanganyika na wivu na kukosa fursa!
Sasa unadhani Mnyika ni kiongozi mzuri kuliko Nape, Mnyika anapenda sifa za kijinga ana utulivu alionao Nape hata chembe!
Kuwa na Div 4 o level si hoja! Tuna maprofesa walio feli darasa la saba wakarudia leo ni maprof,fanyeni tafiti acheni ujinga Nape oyee!
Ndio hicho watu wanataka Nape Nnauye asimulie aliungaje ungaje mpaka akapata Masters.Kama una average iq lakini uko na determination kufika juu kielimu unafika tu. Hakuna cha ajabu. Unaweza kupata div iv '0' level ukaunga, certficate, diploma ukapeta chuo kikuu. Mbona wengi tu wamefika juu kielimu kwa kuunga unga.
Mimi nilisoma Mzumbe ninamasters ya Corporate Management na sikuwahi kuandika pepa maana pale elimu yetu tunaijua wenyewe in short hakuna shule pale hivi karibuni nimemaliza tena masters yangu UDSM baada ya kuona sikupata chochote pale Mzumbe
Sasa hivi Ustaadh!pengine alikuwa mlokole lakini kwa unafki huu alionao sasa atakuwa ni wadunia tu na ulokole aliuacha kabla hajawa mccm
Kivukoni Diploma hakuipata...aliishia Certificate.....baada ya hapo akaajiriwa CCM ...idara ya nje...kabla ya kutafutiwa admission za kiitifaki......Kama zile makada wa std seven walizokuwa wakipewa zamani....kwenda Russia...wakirudi baada ya miaka Saba wanaitwa doctors ..phd.
Huko India pia alimaliza kiitifaki ....maana Muda mwingi alitumia kufanya siasa za uvccm na kumpigia kampeni Malecela mwaka 2005.
Ndugu wanajamvi nasikitika tu kueleza kuwa Nape kaanzisha suala la elimu ilihali yeye akijua kabisa kuwa hana uwezo na hatokuwa na uwezo kielimu kama aliokuwa nao Mnyika.
Nape alihamia Nsumba Sekondari iliyoko Mwanza Mwaka 1995 akitokea Ngudu Sekondari iliyoko wilayani Kwimba na kunikuta mimi nikiwa kidato cha kwanza yeye akiwa kidato cha pili.
Nape alifikia kuishi bweni lijulikanalo kwa jina la Mondlane room 3. Kijana Nape alikuwa mcha Mungu sana maarufu kama mlokole.
Nape baada ya kuhitimu form four alipata division four ya point 29. Sasa mimi sijui alifikaje huko form six. baada ya hapo sikuelewa tena nini kiliendelea kwa Nape kwa elimu ya bachelor lakini kwa masters yake amehangaika sana kukamilisha dessertation yake pale Mzumbe kwa habari niliyoipata kutoka kwa Lecturer mmoja ambaye ni jamaa yangu wa karibu na aliyemfahamu tangia akiwa form two.
Nakubaliana na wewe,nyongeza ni kwamba sredi hii imetufunulia uoza ulioko ktk sekta ya elimu hapa nchini. Tumeona jinsi chuo cha Mzumbe ambavyo kimekua kina warahisishia wanasiasa wa CCM wasiokua na uwezo kupata shahada bila vigezo wakati watoto wa watu masikini wakienya kuweza kufaulu hapo Mzumbe. Uoza huu umeenea hata ktk vyuo vingine vya umma na binafsi.Mkuu watu wengine huwa mnajidhalilisha bila kujijua
Watu kama wewe ni wale mnaopenda kufanyiwa kila kitu, sema kuwa hukuandika pepa kwa 7bu uliandikiwa na si vinginevyo, na hili ndo tatizo kubwa la wasomi wetu wa leo. Mimi nimemaliza masters (MBA-Finance) Udsm kuna walio serious na shule (kama mimi) lakini pia kuna vilaza kibao wanaotoa pesa ili waandikiwe Desertation zao huko mtaani, hili ni Janga kwa mustakabali ya elimu yetu!
Kwakuwa wewe hukupata chochote (kwa uzembe wako) basi dont generalize kuwa kila anayesoma Mzumbe hana chochote kama wewe.
Pia unatakiwa utambue kuwa kusoma ni jambo moja lakini kuelimika ni jambo lingine, Mtu anaweza kuwa amejaza vyeti vya shahada kibao (kama wewe) lakini kichwani hakuna kitu kwakuwa alikwenda kuhudhuria masomo na c kupata elimu.
Ndugu wanajamvi nasikitika tu kueleza kuwa Nape kaanzisha suala la elimu ilihali yeye akijua kabisa kuwa hana uwezo na hatokuwa na uwezo kielimu kama aliokuwa nao Mnyika.
Nape alihamia Nsumba Sekondari iliyoko Mwanza Mwaka 1995 akitokea Ngudu Sekondari iliyoko wilayani Kwimba na kunikuta mimi nikiwa kidato cha kwanza yeye akiwa kidato cha pili.
Nape alifikia kuishi bweni lijulikanalo kwa jina la Mondlane room 3. Kijana Nape alikuwa mcha Mungu sana maarufu kama mlokole.
Nape baada ya kuhitimu form four alipata division four ya point 29. Sasa mimi sijui alifikaje huko form six. baada ya hapo sikuelewa tena nini kiliendelea kwa Nape kwa elimu ya bachelor lakini kwa masters yake amehangaika sana kukamilisha dessertation yake pale Mzumbe kwa habari niliyoipata kutoka kwa Lecturer mmoja ambaye ni jamaa yangu wa karibu na aliyemfahamu tangia akiwa form two.
Nakala kwa Ritz A photo can speak thousand language.Sasa hivi Ustaadh!
Hata kama alighushi cheti cha Form VI? Watu wanahoji baada ya Div IV ya point 29, atueleze safari yake ya kwenda Masters. Alirudiaje mitihani ya Form IV, atueleze na A level yake alisomea wapi na alipataje.
Angalia hapa wanajitokeza waliosoma naye Form IV, lakini kuna gap la A level, au alitoka Form IV na kwenda kusoma Degree India?
Umuhimu wa uzi huu ni kupima kama hadithi yote hii ya From Division IV points 29 Form IV to Masters ndani yake hakuna udanganyifu wa kubumba vyeti.
Kama kuna kitu nachukia ni mtu kuandikiwa kazi ya kitaaluma kutoka title ya dissertation mpaka report mezani!!! baada ya kuvaa joho naye anajitapa ni MASTERS HOLDER!! Wenye tabia hizi wapo si Mzumbe tu bali hata UDSM mtindo huu umeanza kuota mizizi hasa ukizingatia uzembe wa ma-supervisor katika kusoma na kusimamia wanafunzi wao..pale UDBS kwa kweli wanakoelekea hasa hawa wa EXECUTIVE ni hatari zaidi kwa mustakabali wa nchi na wengi ni VIBOPA ambao kwao kulipa hata Milioni 1,2,3 au 4 kwa kufanyiwa kazi si shida na hawa hawa ndo wakuu wa mashirika, ofisi na taasisi za serikali ama mashirika binafsi.. Boss kimeo, unategemea ufanisi upi? Baya zaidi ni mtindo wa sasa ambapo kila mtu anadhani ni lazima awe na bachelor, masters ama PhD bila kujua ni kwa manufaa ama ni fasheni na kupandia TGS, TGTS n.k. tukiendelea na fasheni hii hakika wataalam wetu wenye level za masters na PhD watakuja kuwa janga lingine la taifa...Mkuu watu wengine huwa mnajidhalilisha bila kujijua Watu kama wewe ni wale mnaopenda kufanyiwa kila kitu, sema kuwa hukuandika pepa kwa 7bu uliandikiwa na si vinginevyo, na hili ndo tatizo kubwa la wasomi wetu wa leo. Mimi nimemaliza masters (MBA-Finance) Udsm kuna walio serious na shule (kama mimi) lakini pia kuna vilaza kibao wanaotoa pesa ili waandikiwe Desertation zao huko mtaani, hili ni Janga kwa mustakabali ya elimu yetu! Kwakuwa wewe hukupata chochote (kwa uzembe wako) basi dont generalize kuwa kila anayesoma Mzumbe hana chochote kama wewe. Pia unatakiwa utambue kuwa kusoma ni jambo moja lakini kuelimika ni jambo lingine, Mtu anaweza kuwa amejaza vyeti vya shahada kibao (kama wewe) lakini kichwani hakuna kitu kwakuwa alikwenda kuhudhuria masomo na c kupata elimu.
tunataka utendaji bora, unaweza kuwa PhD holder lakini still ukawa kilaza tu kwenye utendaji wako