Elimu ya Nape Nnauye

Elimu ya Nape Nnauye

Division IV ya Form IV (29 pts) haimruhusu mtu kufanya mtihani wa Form VI.

Hiki kihunzi alikirukaje Nape Nnauye? Na hata kama alikiruka Form VI nayo ilikuwaje?
 
Last edited by a moderator:
badala ya kujaza server kwa utetezi ambao unaelewa ni wa uwongo ni heri ukae kimya ili next time mtu mwenye akili akisoma posts zako avutiwe kusoma unajadili nini!!
Aisee una akuli kubwa, maana mtu makini akianza kupitia post ya kwanza mpaka hapo atamfananisha huyu chama sawa na kibwengo, ni kwa nini nasema hivi?

Mnyika alipohojiwa Elimu yake wala hakupata tabu alianzisha thread yake na akatoa maelezo yake mpaka Ridhiwani akasema ameridhika, sasa leo katibu mwenezi amekimbia hapa amewaacha makarani wake kina chama wanajaza server bure.

Kwakuwa vijana wetu 60% wamefeli form basi Nape analojibu la kuwapa mbinu za kufikia mpaka Masters na ndio maana tunamwitaji sana Nape hapa ili vijana wetu wapate uzoefu alifanyaje mpaka akaibuka na Masters.
 
Mkuu, nadhani hapa swala siyo kiwango cha elimu, bali ni "integrity" ya elimu ya mtu. Kutokana na uliyoyaandika nadhani wewe ni miongoni mwa wanafunzi waliofanya vizuri form 4 na form 6, ingawa ukweli halisi unaujua wewe mwenyewe.

Sasa jee, inawezekana mtu ukapata A tisa form 4(kihalali kabisa); Kisha ushindwe kupata C tatu form six?

Inawezekana kabisa, kwa sababu tofauti.

Wapo wengi walioweza kuondoka na Division I ya point 7 Form IV lakini wakafanya vibaya Form VI kutokana na sababu nyingi kama kupoteza motivation ya kusoma, kuumwa, na vinginevyo matatizo mengineyo kwenye maisha binafsi ambayo yameingilia uwezo wa kujiandaa vyema na kufanya vizuri kwenye mitihani ya Form VI.
 
Mkuu, wanavyopita Mzumbe inaeleweka siyo tofauti sana na UDSM ya sasa. Elimu Tanzania imekwisha! Nape uwezo wake ni mdogo usiohitaji kutetewa.

Sasa kama hoja ni hiyo mbona hamuzukii wengine?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu chama,
Huyu jamaa anamdhalilisha Bill Gates anafananisha na John Mnyika.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu chama,
Huyu jamaa anamdhalilisha Bill Gates anafananisha na John Mnyika.

Mkuu Ritz
Hivi Mirembe wamewekewa mtandao? Jamaa ni vichaa ambao hata tiba hawana

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
I say bollox to that, and I didn't say he should have obtained A's form six. All I said was he shouldn't have failed to score at least treble C's form six. In that respect, your argument is futile.

Did you intend to write bollocks? I guess so. So it isn't bollox!!

On the matter, even with treble C, my argument is still effectual. There are many factors that could influence a student's final results.

Otherwise, you are just a twaddler!
 
I say bollox to that, and I didn't say he should have obtained A's form six. All I said was he shouldn't have failed to score at least treble C's form six. In that respect, your argument is futile.

mnyika anajua kila kitu physics, maths, biology n.k! Kama una mashaka na matokeo yake nenda NECTA ukaweke objection! Tunataka Nape atuambie form 4 ana nini!
 
Mzumbe kuna Dgree za:-

  • Za kinga zidi ya viongozi wa ccm(40%)
  • Za chupi(20%)
  • Za huruma,ndugu(10%)
  • Za kusoma kweli kugangamara(30%)
Kwahiyo hatuwezi kushangaa viongozi wengi wana Phd kabla ya kuenda chuo na hii inafanyika Tanzania pekee!!
Bahari ni Elimu!
 
I say bollox to that, and I didn't say he should have obtained A's form six. All I said was he shouldn't have failed to score at least treble C's form six. In that respect, your argument is futile.

Wewe dada nina bestfriend wangu alikuwa the best student std 1-7 akaendelea form 1-4 akatugalagaza akachaguliwa Kilakala ikiwa special akaambulia four ya form six. Hili utalielezeaje??? Mbona hoja yako haina mantiki maana hapa Mlimani wanakujaga vipanga na wanaishia disco na supp za kumwaga tu? Elewa ni mifumo yetu ya elimu na system za maisha ndio zinazotu-shape wengine wanabahatika na wengine inawagalagaza, nina uhakika Mnyika angetulia na shule kwa umri wake ange-perform wounders na hili limetokea hata kwa Kafulila na limewapa hasira vijana wengi wenye upeo mkubwa kujiunga na siasa za upinzani
 
Form six nilipata

A-mathematics,
A-Physics,
B-Chemistry.

Form 4 nilipata A-mathematics; A-Engineering science; A-Chemistry; A-English; A-Technical Drawing, A-mechanical Drawing, C-Kiswahili; C-motor vehicle mechanics, D-civics.

...kudadadeki... haya Magwangala weka na we yako !
 
Last edited by a moderator:
Mimi nilisoma Mzumbe ninamasters ya Corporate Management na sikuwahi kuandika pepa maana pale elimu yetu tunaijua wenyewe in short hakuna shule pale hivi karibuni nimemaliza tena masters yangu UDSM baada ya kuona sikupata chochote pale Mzumbe
CHUO KAMA mzumbe mbona hakuna kitupale wachovu ndio wanakimbilia hapo
 
Nape aje hapa atuambie alirudia wapi mitihani na kupata credit pia ulikuwa mwaka ngani na ni centre ipi? hayo yote yanaweza kutufanya tuanze kujadili elimu yake ya form 6 nayo alisoma wapi na mwaka ngani na sekondari ipi? Baada ya hapo ndio twendr kwenye degree ya kwanza alisoma kozi gani na ni wapi mwaka ngani? nnje ya kwenda mzumbe kwenye masters fake.
 
Tunazungumzia elimu hapa kama kupresent paper ndio digrii hilo nimekubaliana na wewe

Chama
Gongo la mboto DSM

huwezi ukapata Masters degree bila kupublish hata paper moja na kufanya presentation (defending) sasa kama yeye hana paper hata moja iwe apate masters degree?
 
hivi hadi leo nape hajui kuwa huu uzi unamhusu?au ndo ametuma hawa vilaza,ritz na chama kumtetea?
 
Jamani hizi thread zinatuumiza wengine ambao tumesoma kwa shida sana alafu pia hata matokeo yetu kipindi cha nyuma hayakuwa mazuri na ya kuridhisha. Msituumize jaman nyie wanaCHADEMA na wanaCCM.
 
Jamani masters hizi za Mzumbe ni masters gani ? mbona chuo hiki kina aibisha maana kuna watu wengi ambao ni vilaza kabisa lakini wana masters za Mzumbe. Mie namjua daktari moja kilaza kabisa na amesoma masters Mzumbe na sasa yupo kwenye siasa.ni kilaza kabisa naye alisoma kwa kuungauga.
Nadhani chuo hiki kina sifa ya kuwaungisha watoto wa vigogo ili wawe na cv za makaratasi lakini kichwani pumba
nimesoma SUA wanafunzi wengi wa Mzumbe wanasujudu ngono ukifika chuoni huwezi kuamini kinachofanyika. Wanafunzi wanapata GPA za juu sana zisizo na ukweli
 
huu uzi uko hapa siku nyingi sana Nape ukweli hana vyeti vyake amevipata kwa hela wala haina ubishi ninavyomfahamu Nape na anavyopenda sifa kama kweli angekuwa amevipata kihalali angekuwa alisha jitokeza hapa na kutoa lake la moyoni. Lakini hadi leo karibia wiki hajaonekana na hawezi maana sijaona hata classmate wake wa form 5-6 amejitokeza nakusema walisoma naye nimeona tu wa for 4 pale Nsumba. Mimi ninajamaa yangu alisoma naye Nape nitamuuliza anipe ukweli wa matokeo ya form 4 maana hapa kuna watu wawili wamejitokeza mmoja anasema alipata 4 ya 29 na mwingine anadai alipata 2 ya 18?????? hapo hatujapata majibu ya kweli. lakini si hivyo tu hata kama alirudia mitihani kitu alichofanyia mitihani niwapi na alifanya mitihani peke yake? Ninaimani kama angekuwa amefanya mitihani ya kurudia kungekuwa na hata aliofanya nao lakini sijasikia hata mmoja nje ya diploma za kivukoni.
 
Back
Top Bottom