Elimu ya Nape Nnauye

Elimu ya Nape Nnauye

...kudadadeki... haya Magwangala weka na we yako !

Form six nilipata
A- History
B- Geography
A- English

Form Four nilipata
A- History,A- English,A-Geography,A- Kiswahili,A- Civics,A-Divinity,B-Biology,C-Maths,C-Chemistry,D-Physics
-Biology,D-Physics
Umeridhika?
 
Nina imani kama angekuwa amefanya mitihani ya kurudia kungekuwa na hata aliofanya nao lakini sijasikia hata mmoja nje ya diploma za kivukoni.
 
Baada na hata kala ya kubuni na kusambaza tuhuma za uongo dhidi ya Ndugu John Mnyika,historia ya elimu ya Ndugu Nape Nnaye imekuwa, mara kwa mara, ikihojiwa na wafuatiliaji wa masuala ya mambo, hasa wanaojali na kuamini katika weledi, umahiri na umakini wa watekelezaji na wasimamizi wa majukumu mbalimbali katika ngazi na maeneo mbalimbali ya kiutawala..

Kwa kadiri ya ufahamu wangu,ningependa kuweka wazi kabisa kuwa Ndugu Nape amepata kusoma katika ngazi ya Kidato cha Sita na hatimaye kupata daraja sifuri. Kwa matokeo hayo, ni dhahiri kuwa Nape hana Elimu ya Kidato cha Sita.Kwa kuwa inafahamika kuwa Nape alipata daraja la Nne (IV) la pointi 29 katika mtihani wa Kidato cha Nne na kwa kuwa mantiki ya kawaida inaweka sharti la mtahiniwa yeyote wa Kidato cha Sita kuwa na angalau credits tatu katika matokeo ya Kidato cha Nne; basi, inafuata kimantiki, kuwa, Ndugu Nape amepata kufanya Mtihani wa marudio kwa minajili ya kupata alama ambazo zingemwezesha kuweza kumpa sifa ya kuweza kufanya mtihani wa Kidato cha Sita.

Katika hali ya isiyojulikana msingi wala nia yake, Ndugu Nape amekuwa si muwazi na mkweli hata kidogo katika historia yake ya kielimu na kitaaluma ingawa yeye mwenyewe amejivika jukumu la kuhoji viwango vya Elimu vya wananchi wengine. Kutokana na hali hiyo, wafuatiliaji wa elimu yake wamekosa majibu sahihi na yenye kujitosheleza.

Aidha mtu huyu amethubutu hata kudanganya umma mara kadhaa kuwa amepata kusoma katika Shule ya Sekondari Mwenge iliyopo iliyopo Singida, na kuhitimu Kidato cha Sita mwaka 2000. Hii si kweli. Baadhi yetu tunajua ,yeye mwenyewe anajua, ndugu zake wanajua na hata Utawala wa Shule kuwa huu ni uongo wa wazi. Nape, ingawa anaijua vema shule hiyo kongwe kabisa iliyopo Mjini hapo, hakupata kuwa mwanafunzi katika shule hiyo. Ukweli ni kuwa alifanya mtihani wa kidato cha Sita,kama mtahiniwa wa kujitegemea katika shule hiyo na kupata daraja sifuri.

Aidha, Nape katika miaka ya mwanzoni mwa 2000 alikuwa na kawaida ya kwenda katika shule hiyo kwa shughuli za Uinjilisti, akiwekeza katika kuwalea wanafunzi kiroho wa kikundi cha CASFETA shuleni hapo. Sasa, kama kufundisha dini tu mara moja kunampatia mhusika hadhi ya uanafunzi katika shule basi tunao wanafunzi na wahitimu wengi katika nchi hii kuliko tunaowajuai!

Mwisho kabisa ningependa kumsihi Nape ajenge utamaduni na tabia ya kusema ukweli maana ukweli, daima, utamuweka huru. Hii ni muhimu kwa kuwa haiwezekani kuwa mtu mwenye hadhi ya mtumwa katika kasri la Mfalme kupanga na kuratibu mkakati na mbinu za kuwatoa watumwa wengine wa kweli na wa uongo kutoka katika vifungo vya utumwa.

ELIMU iliyo sahihi ya Nape Moses Nnauye kama ifuatavyo;

•Kati ya mwaka 1987-1989 alianza elimu yake ya msingi katika shule ya Msingi Mwanga-iliyopo Iramba Singida (ambapo alianza darasa la 1 mpaka 3)
•Mwaka 1989-1993 aliendelea na kumalizia elimu ya msingi katika shule ya Bukumbi iliyopo misungwi Mwanza.(ambako alikuwa ni kati ya wanafunzi watatu "3" kati ya 120 waliochaguliwa sekondari.
•Mwaka 1994-1995 alianza elimu ya Sekondari katika shule ya kutwa ya Ngudu Sekondari.(ambapo alisoma kidato cha kwanza mpaka cha pili)
•Mwaka 1995-1997 aliendelea na elimu ya sekondari katika shule ya Bweni ya Sekondari Nsumba iliyopo Mwanza (ambapo aliendelea kidato cha pili mpaka cha nne)
•Mwaka 1998-2000 alisoma elimu ya juu ya sekondari (advanced level), mchepuo wa EGM
•Mwaka 2001-2002 alisoma Diploma ya sayansi ya jamii katika Chuo Cha sayansi ya Jamii-Kivukoni.
•Mwaka 2002-2003 alisomea Diploma ya Diplomasia na uhusiano wa Kimataifa –Chuo cha Diplomasia Dar es salaam.
•Mwaka 2005-2008 alisomea digrii ya Saikolojia, Lugha na Habari katika Chuo Kikuu cha Bangalore-India
•Mwaka 2009-2010 alisoma digrii ya pili ya utawala (Masters in Public Administration-MPA) katika chuo cha Mzumbe

NB: Ndugu Nape Nnauye akiwa Kivukoni aliandika "thesis" iliyohusu ; VIKWAZO VINAVYOZUIA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA SIASA. Na pia akiwa Mzumbe University aliandika kuhusu ; SABABU ZINAZOCHANGIA USHIRIKI WA WAPIGAKURA (ni ipi sababu ya kutojitokeza wapigakura siku ya Kura)
 
•Mwaka 1995-1997 aliendelea na elimu ya sekondari katika shule ya Bweni ya Sekondari Nsumba iliyopo Mwanza (ambapo aliendelea kidato cha pili mpaka cha nne) Division IV points 29
•Mwaka 1998-2000 alisoma elimu ya juu ya sekondari (advanced level), mchepuo wa EGM
•Mwaka 2001-2002 alisoma Diploma ya sayansi ya jamii katika Chuo Cha sayansi ya Jamii-Kivukoni.
•Mwaka 2002-2003 alisomea Diploma ya Diplomasia na uhusiano wa Kimataifa –Chuo cha Diplomasia Dar es salaam.
•Mwaka 2005-2008 alisomea digrii ya Saikolojia, Lugha na Habari katika Chuo Kikuu cha Bangalore-India
•Mwaka 2009-2010 alisoma digrii ya pili ya utawala (Masters in Public Administration-MPA) katika chuo cha Mzumbe

NB: Ndugu Nape Nnauye akiwa Kivukoni aliandika "thesis" iliyohusu ; VIKWAZO VINAVYOZUIA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA SIASA. Na pia akiwa Mzumbe University aliandika kuhusu ; SABABU ZINAZOCHANGIA USHIRIKI WA WAPIGAKURA (ni ipi sababu ya kutojitokeza wapigakura siku ya Kura)
1. Kutoka Division IV (29 pts) bila credit hata moja, tena akiwa na F ya Basic Maths, alifanyaje mtihani wa Form VI.

2. Tunaomba tujue shule gani alisomea Form V na Form VI na matokeo yake ya Form VI.
 
Wafanyakazi wa Nape muwe mnamshauri kabla hajaanzisha mashambulizi ajihakikishe yuko salama, ona sasa anajiumbua na kukiumbua chama, angekaa kimya na kuhubiri ilani ya chama chake tungeyajulia wapi madudu yake haya.. Long way to go kwa siasa hizi
 
Ndugu wanajamvi nasikitika tu kueleza kuwa Nape kaanzisha suala la elimu ilihali yeye akijua kabisa kuwa hana uwezo na hatokuwa na uwezo kielimu kama aliokuwa nao Mnyika.

Nape alihamia Nsumba Sekondari iliyoko Mwanza Mwaka 1995 akitokea Ngudu Sekondari iliyoko wilayani Kwimba na kunikuta mimi nikiwa kidato cha kwanza yeye akiwa kidato cha pili.

Nape alifikia kuishi bweni lijulikanalo kwa jina la Mondlane room 3. Kijana Nape alikuwa mcha Mungu sana maarufu kama mlokole.

Nape baada ya kuhitimu form four alipata division four ya point 29. Sasa mimi sijui alifikaje huko form six. baada ya hapo sikuelewa tena nini kiliendelea kwa Nape kwa elimu ya bachelor lakini kwa masters yake amehangaika sana kukamilisha dessertation yake pale Mzumbe kwa habari niliyoipata kutoka kwa Lecturer mmoja ambaye ni jamaa yangu wa karibu na aliyemfahamu tangia akiwa form two.

academician lazima ahangaike nyie si mmezoea za kupewa???????? huyu mtoto wa kiume ni mhangaikaji amehangaika na kuteseka sana kuitafuta elimu, fahamu elimu haupewi unaitafuta kwa sasa nape ana masters, mnyika ana form six, ndio tofauti kubwa kati yao.
 
Mbona hujajibu maswali ya Mtu wa Shamba????
 
academician lazima ahangaike nyie si mmezoea za kupewa???????? huyu mtoto wa kiume ni mhangaikaji amehangaika na kuteseka sana kuitafuta elimu, fahamu elimu haupewi unaitafuta kwa sasa nape ana masters, mnyika ana form six, ndio tofauti kubwa kati yao.
uchakachuzi wa elimu, tunataka kujua alirudia wapi kupata credits za kujiunga na kidato cha tano na sita? mbona mnatutoa kwenye mada?

Tukijiridhisha na hilo ndiyo sasa mtupatie shule aliyosoma kidato cha tano na sita mkiambatanisha matokeo yake yaliyompekeka india kufanya degree yake ya kwanza.
 
1. Kutoka Division IV (29 pts) bila credit hata moja, tena akiwa na F ya Basic Maths, alifanyaje mtihani wa Form VI.

2. Tunaomba tujue shule gani alisomea Form V na Form VI na matokeo yake ya Form VI.
mkuu wanatukwepa kutupati hizi info ili sasa tuweke education flow nzuri hadi masters yake aliyonayo.

hata nyumba huwezi kufanya tasmini kwa kuangalia finishing yake tu bali material yaliyotumika hasa kutengenezea msingi.
 
academician lazima ahangaike nyie si mmezoea za kupewa???????? huyu mtoto wa kiume ni mhangaikaji amehangaika na kuteseka sana kuitafuta elimu, fahamu elimu haupewi unaitafuta kwa sasa nape ana masters, mnyika ana form six, ndio tofauti kubwa kati yao.
Usikimbilie tofauti yake na mnyika,tunaomba ufafanuzi wa matokeo ya form six na "alihangaikaje" huyo muhangaikaji wako akafanikiwa kuingia kidato cha tano bila credit. zingatia Nape ni kiongozi kwahiyo ufafanuzi wako utawasaidia pia vijana waliofeli kama yeye "kuhanagaika" ili waingie form five strait kama Nape. Ufafanuzi please..
 
ELIMU iliyo sahihi ya Nape Moses Nnauye kama ifuatavyo;

•Kati ya mwaka 1987-1989 alianza elimu yake ya msingi katika shule ya Msingi Mwanga-iliyopo Iramba Singida (ambapo alianza darasa la 1 mpaka 3)
•Mwaka 1989-1993 aliendelea na kumalizia elimu ya msingi katika shule ya Bukumbi iliyopo misungwi Mwanza.(ambako alikuwa ni kati ya wanafunzi watatu "3" kati ya 120 waliochaguliwa sekondari.
•Mwaka 1994-1995 alianza elimu ya Sekondari katika shule ya kutwa ya Ngudu Sekondari.(ambapo alisoma kidato cha kwanza mpaka cha pili)
•Mwaka 1995-1997 aliendelea na elimu ya sekondari katika shule ya Bweni ya Sekondari Nsumba iliyopo Mwanza (ambapo aliendelea kidato cha pili mpaka cha nne)
•Mwaka 1998-2000 alisoma elimu ya juu ya sekondari (advanced level), mchepuo wa EGM
•Mwaka 2001-2002 alisoma Diploma ya sayansi ya jamii katika Chuo Cha sayansi ya Jamii-Kivukoni.
•Mwaka 2002-2003 alisomea Diploma ya Diplomasia na uhusiano wa Kimataifa –Chuo cha Diplomasia Dar es salaam.
•Mwaka 2005-2008 alisomea digrii ya Saikolojia, Lugha na Habari katika Chuo Kikuu cha Bangalore-India
•Mwaka 2009-2010 alisoma digrii ya pili ya utawala (Masters in Public Administration-MPA) katika chuo cha Mzumbe

NB: Ndugu Nape Nnauye akiwa Kivukoni aliandika "thesis" iliyohusu ; VIKWAZO VINAVYOZUIA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA SIASA. Na pia akiwa Mzumbe University aliandika kuhusu ; SABABU ZINAZOCHANGIA USHIRIKI WA WAPIGAKURA (ni ipi sababu ya kutojitokeza wapigakura siku ya Kura)

tutajie alirudia lini Masomo yake kama Mathematics na Geography nakupata credit? na centre gani aliyofanyia? pia form 6 alisoma shule gani? na EGM hawezi nape iwe isiwe
 
nape tunakutaka hapa ujibu maswali tuliyouliza mbona unakimbia? au watumwa wako ndio wanakujibia?
 
kwa kifupi nape hana jipya kama hiyo elimu yake watu,wanamtaizo mengi huku kwetu yeye ndio ameona la maana ni kutambishiana elimu! na sasa naamini alisoma ili awe mwizi! atoe ugolo wake....
 
[MENTION]nape[/MENTION] jitokeze umalizie ulichokianzisha humu jamvini ,kama huku jf ingekuwa tunatoa division ya ugreat thinker wengi wangekupa division zero hatuoni ugreat thinker wako hapa. umekuwa hoi bin taabani wakati hoja ndiyo kwaanza inaanza.
 
Hii nchi inakera na kukatisha tamaaa,

Yaani mtu mwenye Division 4 (point 29...hapa kuna mikasi - F kibao) na div 0 ya form 6, halafu eti mtu huyo anavutwa vutwa kwenda Ikulu....

Ndiyo maana hatutakaa tutoke kwenye haya matope tuliyoingizwa na hawa watu wa CCM..
 
nape anawazd vijana wa mwaka huu waliofeli mabega,matusi,magamba,uropokaji na ujinga wa kuongwa masters
 
Verry simple, NAPE anayo masterz na Mnyika hakumaliza chuo.period

Sawa kabisa, ana karatasi inayonyesha ana masters, lakini kichwani je. Pili kama background yake ya O&A levels ndiyo hiyo, hiyo masters imejengwa kwenye msingi gani? Watanzania kwa kushabikia vitu fake hatujambo
 
This is interesting: MUZEEZAIDI posted:

Nimeamua kueleza ukweli huu baada ya kuona upotoshaji wa makusudi unaoendelea humu.

Kuna mtu kajitokeza kujibu elimu ya Nape wengi wakahoji kwani Nape yuko wapi asijitokeze mwenyewe kujibu kama alivyofanya Mnyika?

Naomba mfahamu aliyejibu ni Nape mwenyewe kwa kutumia ID ya bandia, lakini amekuwa mno too radical hadi watu wakamshtukia.

Lakini hoja sio kuwa radical, au kutumia ID bandia, hoja ni kuwa amefanya upotoshaji wa makusudi uliotuacha mdomnd wazi wale tunaomfahamu. Sasa ukweli kuhusu elimu ya Nape huu hapa.

Mwaka 1993 alifeli darasa la saba. Wakati ule jina halali la Nape akiitwa Nahum Nnauye. Waliosoma nae wanakumbuka. Bt akafanyiwa mpango na kupewa jina la Nape Mkumbo Nyagicha mtoto masikini wa Kinyiramba, aliyefaulu lakini familia yake haikuwa na uwezo wa kumsomesha.

Mwaka 1994 Nahum Nnauye akajiunga na shule ya sekondari ya kutwa Ndugu wilayani Kwimba akiwa na jina kaiba jina jipya la Nape. Mwaka 1995 akahamishiwa shule ya Sekondari Nsumba kwa kutumia title ya baba yake Mzee Moses Nnauye.

Mwal 1997 akafeli form four kwa kupata division four ya point 29 akiwa na D 4, c 1 na F 5. Akareseat mara 2 bila mafanikio pale Butimc TTC ambacho ni kituo cha watahiniwa binafsi. Mwaka 1999 na mwaka 2000.

Akakata tamaa na hatimaye mwaka 2001 akaamua kwenda kusoma cheti cha Uhazili (cert of secretarial services) katika chuo cha Kivukoni. So kabla sijaendelea naomba ieleweke kuwa Nahum Moses Nnauye (Nape) hajawahi kusoma form 5 shule yoyote duniani. Kama anabisha aje hapa tumuulize maswali ya Geography 1 au Ecomics 2 uone atakavyochanganyikiwa. Kwanza hajui kama kuna paper 1 na 2 A.level, atasemaje amesoma A.level?

So uhazili mwaka akatumia cheti chake cha uhazili kuomba diploma pale chuo cha Diplomasia kurasini. akapata na akaanza kusoma. Mwaka mwaka 2002 akafeli kuendelea na 2nd year baada ya kupata suplimentary 4 ktk masomo 6 aliyokuwa akisoma. So kwa kifupi akadsco. Hivyo naomba ieleweke kuwa huyu jamaa anayejiita Nape hajawahi kutunukiwa diplmoma yoyote kutoka Chuo cha Diplomasia Kurasini. Kwanza asikidhalilishe chuo maana pale hakuna Diploma ya mwaka mmoja. kama anabisha aupoad picha yoyote hapa alipokuwa anatunukiwa hiyo diploma.

Grace Mwasonge unamkumbuka Nape vzr maana alikuwa classmate wako wakati huo. So najua uko humu japo kwa ID tofauti naomba ujitokeze kudhibitisha ili isionekane nafanya defamation.

Mwaka 2004 akatumia cheti chake form four kuomba degree India kwa kusaidiwa na mwandishi mmoja mashuhuri nchini kwa kuwatafutia vyuo vya nje watu waliofeli.

Na akapata kwa masharti ya kusoma miaka minne. Ikumbukwe India ni nchi yenye vyuo vya hovyo sana duniani, na ni miongoni mwa nchi ambazo hata kama una zero unaweza kusoma Bachelor bila matatizo yoyote hadi ukahitimu. Reffer kesi ya Mr.Andekisye, Lecturer aliyefukuzwa kazi Arusha University kwa kusoma elimu feki India. Andekisye aliajiriwa kama mhadhiri wa Marketing na Business Mathematics akidai ana MBA kutoka India. Bt ilipofuatiliwa ikagundulika ni kweli ana Masters bt hajawahi kusoma Bachelor. Alichomoka na Diploma yake ya Ualimu (Mathematics & Physics) kutoka Monduli TTC akaaply Masters India akapata akaenda kujoin. Sasa imagine mtu anatoka Diploma anakwenda Masters sembuse Nape kusoma bachelor?

So akapata degree yake fake ya psychology ambayo ndiyo aliyoitumia kuomba masters mzumbe. Na mzumbe hakukabidhi cheti zaidi ya kile cha degree yake ya India.
Kama anabisha aweke vyeti vyake vya o.lel na a.level hapa.

Huyo ndiye Nahum Moses Nnauye anayejiita Nape. Katibu mwenzezi wa Chama cha Mapinduzi CCM na mgombe ubunge ubungo mwaka 2010, wakati ule akijaribu kushindana na genious aliyepata A 9 O.Level yeye akiwa na D 4 tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom