Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,786
- 1,715
- Thread starter
-
- #421
Aisee una akuli kubwa, maana mtu makini akianza kupitia post ya kwanza mpaka hapo atamfananisha huyu chama sawa na kibwengo, ni kwa nini nasema hivi?badala ya kujaza server kwa utetezi ambao unaelewa ni wa uwongo ni heri ukae kimya ili next time mtu mwenye akili akisoma posts zako avutiwe kusoma unajadili nini!!
Mkuu, nadhani hapa swala siyo kiwango cha elimu, bali ni "integrity" ya elimu ya mtu. Kutokana na uliyoyaandika nadhani wewe ni miongoni mwa wanafunzi waliofanya vizuri form 4 na form 6, ingawa ukweli halisi unaujua wewe mwenyewe.
Sasa jee, inawezekana mtu ukapata A tisa form 4(kihalali kabisa); Kisha ushindwe kupata C tatu form six?
Mkuu, wanavyopita Mzumbe inaeleweka siyo tofauti sana na UDSM ya sasa. Elimu Tanzania imekwisha! Nape uwezo wake ni mdogo usiohitaji kutetewa.
I say bollox to that, and I didn't say he should have obtained A's form six. All I said was he shouldn't have failed to score at least treble C's form six. In that respect, your argument is futile.
I say bollox to that, and I didn't say he should have obtained A's form six. All I said was he shouldn't have failed to score at least treble C's form six. In that respect, your argument is futile.
Sasa wewe ndio umemkimbiza kabisa, usitalajie kuwaona tena hapa. wamebeep wamepigiwa sasa wanazima simu.Nape una kazi? Hii nayo ID yako.
kama AG alisema kuna Dr ya akili na ya kupewa basi hata hizo masters kuna za akili na zakupewa.
I say bollox to that, and I didn't say he should have obtained A's form six. All I said was he shouldn't have failed to score at least treble C's form six. In that respect, your argument is futile.
Form six nilipata
A-mathematics,
A-Physics,
B-Chemistry.
Form 4 nilipata A-mathematics; A-Engineering science; A-Chemistry; A-English; A-Technical Drawing, A-mechanical Drawing, C-Kiswahili; C-motor vehicle mechanics, D-civics.
CHUO KAMA mzumbe mbona hakuna kitupale wachovu ndio wanakimbilia hapoMimi nilisoma Mzumbe ninamasters ya Corporate Management na sikuwahi kuandika pepa maana pale elimu yetu tunaijua wenyewe in short hakuna shule pale hivi karibuni nimemaliza tena masters yangu UDSM baada ya kuona sikupata chochote pale Mzumbe
Tunazungumzia elimu hapa kama kupresent paper ndio digrii hilo nimekubaliana na wewe
Chama
Gongo la mboto DSM
nimesoma SUA wanafunzi wengi wa Mzumbe wanasujudu ngono ukifika chuoni huwezi kuamini kinachofanyika. Wanafunzi wanapata GPA za juu sana zisizo na ukweliJamani masters hizi za Mzumbe ni masters gani ? mbona chuo hiki kina aibisha maana kuna watu wengi ambao ni vilaza kabisa lakini wana masters za Mzumbe. Mie namjua daktari moja kilaza kabisa na amesoma masters Mzumbe na sasa yupo kwenye siasa.ni kilaza kabisa naye alisoma kwa kuungauga.
Nadhani chuo hiki kina sifa ya kuwaungisha watoto wa vigogo ili wawe na cv za makaratasi lakini kichwani pumba