Elimu ya Nape Nnauye

Hii mbinu ya 'character assassination' CCM wacheni maana morally nyinyi maskini. Mpira unawarudia kila mkipiga shuti. Njia pekee ya kupambana na cdm ni kuweka utawala bora (good governance), na hii inadai viongozi kujilipua (kitu ngumu sana), au kulipuliwa. Sasa hii kitu mtaweza? Vinginevyo subirini kukabidhi nchi maana mbinu zenu za hila huenda zikasababisha kupotea amani nchini.
 

he cant delay any more,halafu usikute mpaka wametangaza hivyo wameshaya standardize,hili ni anguko kuu,pia w'ke wamelag behind men kwa kila daraja though sijapata takwimu hasa ya w'ke wote kati ya wanafunzi 397126,lakin ktk daraja la 1,girls waliopata 1 ni 568 ukilinganisha na boys 1078,ktk daraja la 2,girls 1997 boys 4456,daraja la 3 girls 4613 boys 10813,daraja la 4 girls 38983 boys 64344.ktk daraja la 0 ndio kidogo tumelandana girls 120239 boys 120664.nafikiri w'ke wafanye kazi ya ziada vinginevyo wataendelea kubaki nyuma miaka nenda rudi.
 
It is said that SIMPLE MIND DISCUSSES PEOPLE WHILE GREAT MIND DISCUSSES IDEAS. Unajua yuko katika tabaka gani la kiakili? jibu unalo!
 
Huyu Nnape kwakweli wanamjua waje waseme ukweli wa Elimu yake.
 
Noun1.nape-means the back side of the neck, or cervix nape - the back side of the neck nucha, scruff
cervix, neck - the part of an organism (human or animal) that connects the head to the rest of the body; "he admired her long graceful neck"; "the horse won by a neck"

back end, backside, rear - the side of an object that is opposite its front; "his room was toward the rear of the hotel"
Based on WordNet 3.0, Farlex clipart collection. © 2003-2012 Princeton University, Farlex Inc.
 
Nape alimaliza form four na kuipata devision four.....kipindi hicho ndio baba yake alikuwa amefariki......,marafiki wa marehemu Baba yake waliamua kumtafutia shule pale Mwalimu Nyerere academy...kivukoni....course ya certificate...
Pia alipatiwa ajira pale Lumumba...kitengo cha mambo ya nje......,alijaribu kugombea uwenyekiti wa vijana akakatwa jina...na Emmanuel Nchimbi akatetea kiti chake.......,
Takribani mwaka 2006 ..marafiki wa baba yake walimtafutia tena Chuo India ...kusomea mambo ya uhusiano...hakuwa na sifa za kuingia kozi ya degree...Bali alianyiwa fadhila tu ....kwa ombi la serikali ya Tanzania.
Miaka mitano iliyopita alipatiwa admission ..Mzumbe.....ambako nako amebahatika kupewa degree ya pili ya utawala....walio soma naye kote Huko wanaweza kuongelea uwezo wake...
 
CCM kazi yao kubwa kuchokonoa na kusepa
sasa tabia hii ishawatokea puani.
Nape alivo kilaza hatathubutu kujibu kitu hapa kesho atakuja na CD nyingine tena
nshamzoea ni mwimba taarabu bora akajiunge na khadija Kopa watoe single.
Mhhhhhhhhhh kweli
 
Ridhiwani ni mwanasheria wa mahakama kuu....,anayo LLB....,inadaiwa kuwa kule Hull,London ...hakumaliza...Bali ameamua kujiunga na Kampala university kumalizia degree yake ya pili...
 
Huyo hapo juu ameanika ukweli, namjua huyu dogo akiwa mwalimu nyerere kwa cheti, form six ni ndoto ngumuuuu!
 
Ridhiwani ni mwanasheria wa mahakama kuu....,anayo LLB....,inadaiwa kuwa kule Hull,London ...hakumaliza...Bali ameamua kujiunga na Kampala university kumalizia degree yake ya pili...

Nape ni failure kama hawa wadogo zetu wanaotengeneza 60% lakini pia ni failure wa A level.
Mzee makamba ndiye alijitwika zigo la kumtafutia shule ndipo akampeleka mwalimu nyerere memorial academy kusoma certificate. Baada ya hapo akafanyiwa mishemishe akajiunga chuo cha diplomasia kurasini.

Balaa zaidi ni namna serikali kupitia kwa ubalozi wake nchini India ilivyoipigia magoti chuo cha Acharya hadi kukubali kumpokea nape kusoma degree ya kwanza.

Riziwani asingeweza kupata hata degree ya kwanza kama si mbeleko ya Prof. Juma ambaye amekuja kulipwa fashila na raisi kwa uteuzi wa kuwa jaji wa mahakama kuu na baadae jaji wa mahakama ya rufaa!
 
Kweli ccm kwishney! Hoja zao ni michosho na zinabackfire vibaya! They dont think before! Wabajidhalilisha kila uchao!
 
Nape alipata Dv III form four na Div. II form six!!!

Kaka ni four ya mwanzo..form four ...hiyo form six ...hakuna record zake ...kama angekuwa na form six hata four ..pale Mwalimu Nyerere wangemsajili kozi ya Diploma..,na angekuwa na division two form six au hata three ya principal pale kivukoni wangemsajili kwenye degree
...kozi ya certificate aliyoingia ni ya waliofikia form four....Na ndio ilikuwa halali yake....

Tafuteni perfomamce yake ya form four,kivukoni,India .........na pale Mzumbe....,tunataka kujuwa aliandika desertstion juu ya nini?.....plagiarisms inahusika hapa!
 
Kitu kikubwa ninachofurahishwa nacho,huwezi danganya watu kwamba ulisoma shule ya peke yako,lazima muwe wengi tehe tehe tehe tehe Nape bana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…