Elimu ya Nape Nnauye

Elimu ya Nape Nnauye

Nape anajua sana siasa na anawajua nyie wanaJF mlivyowanazi wa elimu. Haji hapa kwani anajua akija na kutoa elimu yake na kuoenesha kuwa ana masters mtadai mnataka atoe maandiko yake kama msomi. Atoe hata makala za kwenye magazeti hata kama ni UHURU kitu ambacho hana. Sasa atoe hapa kujibu nini? Hatokei hapa ng'oo
 
Kaka ni four ya mwanzo..form four ...hiyo form six ...hakuna record zake ...kama angekuwa na form six hata four ..pale Mwalimu Nyerere wangemsajili kozi ya Diploma..,na angekuwa na division two form six au hata three ya principal pale kivukoni wangemsajili kwenye degree
...kozi ya certificate aliyoingia ni ya waliofikia form four....Na ndio ilikuwa halali yake....

Tafuteni perfomamce yake ya form four,kivukoni,India .........na pale Mzumbe....,tunataka kujuwa aliandika desertstion juu ya nini?.....plagiarisms inahusika hapa!

Mkuu zipo tuhuma mtaani na hata hapa JF kwamba Nape amefanya kitu cha plagiarisms chuoni mzumbe lakini kubwa zaidi ni kwamba desertation yake aliwasilishiwa na majeshi ya kukodi. Kwakuwa tuhuma hizi hazijawahi kukanushwa na mtu yeyote including Nape mwenyewe sina sababu ya kutoziamini.
 
Nape ni failure kama hawa wadogo zetu wanaotengeneza 60% lakini pia ni failure wa A level.
Mzee makamba ndiye alijitwika zigo la kumtafutia shule ndipo akampeleka mwalimu nyerere memorial academy kusoma certificate. Baada ya hapo akafanyiwa mishemishe akajiunga chuo cha diplomasia kurasini.

Balaa zaidi ni namna serikali kupitia kwa ubalozi wake nchini India ilivyoipigia magoti chuo cha Acharya hadi kukubali kumpokea nape kusoma degree ya kwanza.

Riziwani asingeweza kupata hata degree ya kwanza kama si mbeleko ya Prof. Juma ambaye amekuja kulipwa fashila na raisi kwa uteuzi wa kuwa jaji wa mahakama kuu na baadae jaji wa mahakama ya rufaa!
nchi za wenzetu hizi zingekuwa tuhuma nzito kiasi kwamba Prof. Juma angejiuzulu ili chombo huru kichunguze tuhuma hizi.
 
'Mwosha huoshwa'.

Nape Nnauye
ulianzisha mjadala juu ya elimu ya Mheshimiwa John Mnyika na mwenyewe ameshajitokeza kujibu.

Katika uzi huo wa Mheshimiwa Mnyika wachangiaji wengi wamegusia kuhusu details za elimu yako.

Swali la msingi: Matokeo yako ya Form 6 yana mashaka, wengine wanasema ulipata Division IV wengine Division 0. Uliwezaje kwenda chuo kikuu na Division IV ya Form 6?

Ona duku duku la wengi kujua matokeo yako.
















Watu hawa wote, pamoja na mimi mwenyewe tunaomba majibu.

Kama kuna waliosoma na Nape pia, mnaweza kutueleza mnavyomfahamu.

mkuu mimi pia katika uzi ule nilitaka kujua elimu ya Nape, Naamini yeye ni mtu makini atajitokeza kujibu tuhuma hizi maana ana uhakika na elimu yake ndo maana kauliza kuhusu elimu ya JJ, na wala sitegemei kama atajificha chini ya keyboard yake
 
Nape Nnauye, achana na propaganda za kitoto.

Panda jukwaani kama kiongozi wa chama tawala uwape matumaini watu waliokata tamaa.

Lakini kwa kuwa ulianzisha wewe mwenyewe, tunaomba performance yako kuanzia O level.

hahaha mkuu unataka performance ya nape kuanzia O level????
 
Last edited by a moderator:
Ila kuwa kilaza kama Nape ni aibu, imagine unashindwa hata kufanya background check kujua kama utakachosema kitakujenga namna gani, sasa Nape na uwezo wake mdogo ameishia kujiabisha bure

Angetafiti kwanza angejua kuwa Mnyika ni A student, kisha akajipanga namna ya kukabiliana naye...inavyoonesha inabidi kuwa na akina Nape 1000 ili kumkabili JJ Mnyika mmoja....! mbaya sana hii kwa kijana kama Nape unless awe amepanga kuwa mchawi uzeeni
 
Wakirudi kutoa matokeo yao mwezi mzima siingii JF...Naomba ya Riz1 na Nape form 4 na form 6. Wakileta nikimaliza mfungo nitauliza form 2 na std 7

hivi ni kweli hata kina Ritz , chama hawajapita kwenye huu uzi?
 
Last edited by a moderator:
Kumbe Baba yake nape mnamjua sasa mapovu yote yalikuwa ya nini
Nape alimaliza form four na kuipata devision four.....kipindi hicho ndio baba yake alikuwa amefariki......,marafiki wa marehemu Baba yake waliamua kumtafutia shule pale Mwalimu Nyerere academy...kivukoni....course ya certificate...
Pia alipatiwa ajira pale Lumumba...kitengo cha mambo ya nje......,alijaribu kugombea uwenyekiti wa vijana akakatwa jina...na Emmanuel Nchimbi akatetea kiti chake.......,
Takribani mwaka 2006 ..marafiki wa baba yake walimtafutia tena Chuo India ...kusomea mambo ya uhusiano...hakuwa na sifa za kuingia kozi ya degree...Bali alianyiwa fadhila tu ....kwa ombi la serikali ya Tanzania.
Miaka mitano iliyopita alipatiwa admission ..Mzumbe.....ambako nako amebahatika kupewa degree ya pili ya utawala....walio soma naye kote Huko wanaweza kuongelea uwezo wake...
 
Cdm hamjatulia, nyie ni kama upepo, Nape ameongeza cdt kwakweli,mana kila anachokiongea anapata atentintion na hilo kwa ccm ni faida.hv nape na mnyika nani anaelimu ya juu mana ubungo tumeamin elimu ina impact kubwa sana sa hatutaki kuchagua galasa ifikapo 2015..
 
Cdm hamjatulia, nyie ni kama upepo, Nape ameongeza cdt kwakweli,mana kila anachokiongea anapata atentintion na hilo kwa ccm ni faida.hv nape na mnyika nani anaelimu ya juu mana ubungo tumeamin elimu ina impact kubwa sana sa hatutaki kuchagua galasa ifikapo 2015..
Elimu ya vyeti vya kufoji au elimu ya kichwani?
 
Mkuu zipo tuhuma mtaani na hata hapa JF kwamba Nape amefanya kitu cha plagiarisms chuoni mzumbe lakini kubwa zaidi ni kwamba desertation yake aliwasilishiwa na majeshi ya kukodi. Kwakuwa tuhuma hizi hazijawahi kukanushwa na mtu yeyote including Nape mwenyewe sina sababu ya kutoziamini.

Mkuu Mwita Maranya
Tatizo lipo wapi Nape ana Masters ya Mzumbe; John Mnyika ni form 6; alipita Mlimani masomo ya jioni hakumaliza sasa mnahoji kipi?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Kama kweli Nape hukuwaza nini kitatokea baada ya madai yako ya elimu ya Mh John Mnyika kutolewa, mimi binafsi sitaki hata kusikia juu ya elimu yako. (sijakupa kibali cha kuendelea kujificha, njoo wajibu wakuu hapa)
 
'Mwosha huoshwa'.

Nape Nnauye
ulianzisha mjadala juu ya elimu ya Mheshimiwa John Mnyika na mwenyewe ameshajitokeza kujibu.

Katika uzi huo wa Mheshimiwa Mnyika wachangiaji wengi wamegusia kuhusu details za elimu yako.

Swali la msingi: Matokeo yako ya Form 6 yana mashaka, wengine wanasema ulipata Division IV wengine Division 0. Uliwezaje kwenda chuo kikuu na Division IV ya Form 6?

Ona duku duku la wengi kujua matokeo yako.
















Watu hawa wote, pamoja na mimi mwenyewe tunaomba majibu.

Kama kuna waliosoma na Nape pia, mnaweza kutueleza mnavyomfahamu.

Ni kweli Nape Nnauye FORM SIX alimalizia NSUMBA HIGH SCHOOL MWANZA na hakufaya VIZURI ni ile FOUR ya point moja kuwa 0 ---- Lakini CCM wakampeleka INDIA kupata Degree

Riz1 yeye alikwenda LONDON kwa LLM -- akafeli vibaya mwaka wa kwanza; kumbe UD alikuwa anaibiwa MITIHANI
 
Mkuu chama Mzumbe aliandikiwa dissertation yake Kama ni yake aimwage hapa au nimtaje aliyemfanyia?

Sasa mkuu Precise pangolin hata mkiwekewa humu mtaisomo na kuielewa? Lugha zenyewe wengine mgogoro hata kiswahili kinawasumbua; Nape amebahatika kusoma badala kumshambulia Nape mshaurini John Mnyika arudi shule asome umri unakwenda.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom