Elimu ya Nape Nnauye

Elimu ya Nape Nnauye

'Mwosha huoshwa'.

Nape Nnauye
ulianzisha mjadala juu ya elimu ya Mheshimiwa John Mnyika na mwenyewe ameshajitokeza kujibu.

Katika uzi huo wa Mheshimiwa Mnyika wachangiaji wengi wamegusia kuhusu details za elimu yako.

Swali la msingi: Matokeo yako ya Form 6 yana mashaka, wengine wanasema ulipata Division IV wengine Division 0. Uliwezaje kwenda chuo kikuu na Division IV ya Form 6?

Ona duku duku la wengi kujua matokeo yako.

Watu hawa wote, pamoja na mimi mwenyewe tunaomba majibu.

Kama kuna waliosoma na Nape pia, mnaweza kutueleza mnavyomfahamu.

Mimi nilisoma na Nape alikuwa na akili sana na alifaulu vizuri sio kwa viwango vya A 9 kama Mnyika ila sio mbulula kama Mulugo wala sina wasiwasi na hilo,namsubiri aje kusema mwenyewe ila asipojibu naweza kuwasaidia
 
mkuu nape anaandaa single nyingine baadaya ya mnyika kufail anakuja na udr.wa slaa ni feki ndicho kinachofuata
Amesahau kulikuwa na uchaguzi Magu na Mbozi.

Amesahau watu wa Dar wanateseka na shida ya maji.

Amesahau bado Mtwara serikali imechemsha.

Amesahau kuwa matokeo yaliyotoka leo yanaonesha elimu yetu inadidimia.
 
Riz One ni kilaza na hawezi kujibu chochote kwani kama sio Beno Malisa kumsaidia pale UDSM asingemaliza na hata sasa anamtegemea sana Beno kumuandikia barua za kiingereza hata nje ya nchi anakwenda na Beno na ndie msemaji wake yeye anajua hi na how r u too mengine Beno ndio anajibu ,Bila Beno Riz One na yule dada yake aliyepata sifuri Feza Sec hawatofautiani
 
Mimi nilisoma na Nape alikuwa na akili sana na alifaulu vizuri sio kwa viwango vya A 9 kama Mnyika ila sio mbulula kama Mulugo wala sina wasiwasi na hilo,namsubiri aje kusema mwenyewe ila asipojibu naweza kuwasaidia
Mwenzake tunaona A-9 na jinsi anavyotenda. Anavyojenga hoja, na alivyo na upana katika uelewa wake wa mambo.

Huyu naye unasema ana akili (unakiri si kiwango cha Mnyika) lakini tunaona anatuletea upuuzi wa kujadili watu, mara kadi ya Slaa, leo elimu ya Mnyika, kesho sijui atahamia kwa nani.

Lakini anashambulia wale anaowaogopa kisiasa. Hawagusi walio dhaifu.
 
Nape Wana jamvu twakusubiria jamani..
Kweli aje atupe raha !
Du hata asipokuja itakuwa raha pia sababu itathibitisha kwamba kielimu hamna kitu!
JF raha sana!
 
Mwenzake tunaona A-9 na jinsi anavyotenda. Anavyojenga hoja, na alivyo na upana katika uelewa wake wa mambo.

Huyu naye ana akili lakini anatuletea upuuzi wa kujadili watu, mara kadi ya Slaa, leo elimu ya Mnyika, kesho sijui atahamia kwa nani.

Lakini anashambulia wale anaowaogopa kisiasa. Hawagusi walio dhaifu.
Njaa ndio inamfanya awe alivyo ila kiukweli ana akili za kutosha ndio maana ndani ya chama chake yeye ndio kinara wa kusema kwa sababu anawazidi wote,ila zingatia kuwa Nape sio mtoto wa Mzee Nnauye na kwa vyovyote ana mzigo wa kulisha tumbo lake na la watoto na wake wa baba yake mlezi maana baba yake Nape Mzee Mwandosya alishamkataa kabisa hataki hata kumwona.
 
Mkuu, hili ni janga la taifa kama huyu ndiye anawazidi wote akili kwenye chama tawala.
 
Kenge huwa hasikii mpaka umtandike hadi damu zimtoke masikioni ndio atawasikia.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Amesahau kulikuwa na uchaguzi Magu na Mbozi.

Amesahau watu wa Dar wanateseka na shida ya maji.

Amesahau bado Mtwara serikali imechemsha.

Amesahau kuwa matokeo yaliyotoka leo yanaonesha elimu yetu inadidimia.

Amesahau mradi wa kigamboni unavyopelekwa kibabe na kwa usiri mkubwa bila kuwashirikisha wananchi katika maamuzi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Riz One ni kilaza na hawezi kujibu chochote kwani kama sio Beno Malisa kumsaidia pale UDSM asingemaliza na hata sasa anamtegemea sana Beno kumuandikia barua za kiingereza hata nje ya nchi anakwenda na Beno na ndie msemaji wake yeye anajua hi na how r u too mengine Beno ndio anajibu ,Bila Beno Riz One na yule dada yake aliyepata sifuri Feza Sec hawatofautiani
Dada yake ndo yule mwanaasha mrisho kikwete?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Chadema wakiulizwa wanajiadu hoja, kamd alivyofanya Mnyika, thatz briliant.
Bt ccm wakiulizwa wanajibu matusi.
Subiri muone Nape atakavyoporomosha matusi hapo.!
 
Leo nimefurahi sana maCCM yameikimbia JF maana nimesoma thread nyingi yanasoma tu hayachangii Mnyika ameyashika pabaya Aibu imewasonga kwa kuanzisha upuuzi bila kuufanyia uchambuzi.
 
Nape tunakusubiri asubuhi tunatarajia umeweka matokeo yako hapa pamoja na Riz1.
 
Nimem miss Mwigulu Nchemba, jamaa yuko wapi sikuhizi? Elimu yake imekaaje?
 
Mkwawa high school kulikuwa na mtu mwenye jina la ridhwani sikumbuki matokeo yake ila alikuwa darasa la akina nyambari. Ninachokumbuka ni kuwa alikuwa mtu wa msuli sana. Anaweza kujisemea maana ni mtu mzima

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
'Mwosha huoshwa'.

Nape Nnauye
ulianzisha mjadala juu ya elimu ya Mheshimiwa John Mnyika na mwenyewe ameshajitokeza kujibu.

Katika uzi huo wa Mheshimiwa Mnyika wachangiaji wengi wamegusia kuhusu details za elimu yako.

Swali la msingi: Matokeo yako ya Form 6 yana mashaka, wengine wanasema ulipata Division IV wengine Division 0. Uliwezaje kwenda chuo kikuu na Division IV ya Form 6?

Ona duku duku la wengi kujua matokeo yako.

Watu hawa wote, pamoja na mimi mwenyewe tunaomba majibu.

Kama kuna waliosoma na Nape pia, mnaweza kutueleza mnavyomfahamu.

mtamuua kwa presha wakuu kuna uzi unamtaka adhibitishe kama amepata familia yake.nashauri mpeni muda ajibu hoja moja moja uwezo wake ni mdogo he can not handle two things at a time.
 
Mkuu Nape hawezi kujitokeza Hadaharani Kuelezea Elimu yake. Nape analiwinda sana Jimbo la Ubungo sasa anahisi Masalia wanaweza Kumsaida

Nape alifeli Form Six baada ya Kukosa Sifa za Kujiunga Chuo Chochote Cha Tanzania. Kwa sababu Mzee Yusuph Makamba alikuwa na Uhusiano wa Karibu na Baba wa Kambo wa Nape (Mzee Moses Nnauye) Wakamtafutia kachuo huko India. Sasa nasikia anachukua Masters Mzumbe (Nani ambaye hajui MBA za Mzumbe ni Fake?)

Alikuwa mwenyekiti wa SUP hadi akahonga ili apite!
 
Back
Top Bottom