stoneman
Member
- Jan 8, 2013
- 47
- 11
'Mwosha huoshwa'.
Nape Nnauye ulianzisha mjadala juu ya elimu ya Mheshimiwa John Mnyika na mwenyewe ameshajitokeza kujibu.
Katika uzi huo wa Mheshimiwa Mnyika wachangiaji wengi wamegusia kuhusu details za elimu yako.
Swali la msingi: Matokeo yako ya Form 6 yana mashaka, wengine wanasema ulipata Division IV wengine Division 0. Uliwezaje kwenda chuo kikuu na Division IV ya Form 6?
Ona duku duku la wengi kujua matokeo yako.
Watu hawa wote, pamoja na mimi mwenyewe tunaomba majibu.
Kama kuna waliosoma na Nape pia, mnaweza kutueleza mnavyomfahamu.
Mimi nilisoma na Nape alikuwa na akili sana na alifaulu vizuri sio kwa viwango vya A 9 kama Mnyika ila sio mbulula kama Mulugo wala sina wasiwasi na hilo,namsubiri aje kusema mwenyewe ila asipojibu naweza kuwasaidia