Elimu ya Nape Nnauye

Elimu ya Nape Nnauye

tunataka utendaji bora, unaweza kuwa PhD holder lakini still ukawa kilaza tu kwenye utendaji wako
 
1. Shule ya msingi, John Mnyika alikuwa mwanafunzi wa kwanza kwa mkoa wa darisalama. Akachaguliwa kwenda Ilboru lakini akaamua kwenda seminari. (Naachana na hili kwa kuwa ni swala la kiimani)

2. Form 4 akapata A masomo tisa. Katika mwaka ambao matokeo yalikuwa na mushkeli kwa uvujaji wa mitihani. Angeweza kwenda shule yoyote na mchepuo wowote. Akaamua kwenda Tambaza.

3. Form 6 akapata matokeo mazuri tuu (ambayo hayakuwekwa wazi kama matokeo ya form 4)

4. University akaamua kusoma evening classes. (Hakumaliza kwa sababu alizozitaja hapo juu)

Kwa wenye busara, mlolongo wa elimu wa huyu bwana unanuka samaki aliyechina. Mimi binafsi nimesoma Tanga school, wakati wa headmaster Tetti. Wakati sisi tuko O'level pale Tanga school alikuja mwarabu mmoja kujiunga form 5 (PCM) tulikuwa tunamwita "yarabi salama". Yarabi salama yeye wakati akiwa form 5 PCM alikuwa haelewi kwa nini namba ikitoka upande mmoja wa equation na kuvuka alama ya sawasawa na kuhamia upande mwingine mwingine, basi inabidi alama yake ibadilike, kama hasi itakuwa chanya na chanya huwa hasi. Form 5 PCM huyo. Na bwana yarabi salama alikuwa amepata alama A katika hesabu O level. Baadaye ikagundulika kwamba wakati wenzake wanafanya mitihani, yeye alikuwa anazaa mitihani.

Sijui kama msamiati wa kuzaa bado unatumika siku hizi, lakini kuzaa maana yake ni kwamba kuna watu wana networks na mitihani inapotoka na wanapoingia kwenye chumba cha mtihani, hawaji kufanya mtihani ispokuwa wanakuja na "booklet" zao ambazo maswali yanakuwa tayari yameshafanywa. Sasa wakati wenzao wanafanya mtihani wao wanaandika namba yao ya mtihani tuu kisha wanazaa.

a) Sasa, najiuliza. Mnyika amesema kwamba alikuwa wa kwanza mkoa wa darisalama. (Sibishi, lakina Sijui amejuaje)
b) amepata A tisa form IV; lakini hakusema amepata A ngapi form VI. Jee inawezekana ni kwa sababu matokeo yake ya form 6 hayashabihiani na yale ya form 4?
c) A tisa, lakini hakwenda Ilboru. Kwanini mwanafunzi hodari asiwe na hamu na shauku ya kusoma na wanafunzi hodari wengine? Jee inawezekana bwana Mnyika alikuwa anaogopa "to get found out?"
d) Baada ya kupata matokeo mazuri form 6; kwanini asome jioni? Jee alikuwa anaogopa kusoma na wanafunzi hodari?
e) Mpaka leo bado hana degree. [anisamehe kama nimekosea katika hili]. Ni kweli mwanafunzi mwenye uwezo wake wa kitaaluma atakubali kuishia njiani kwa namna aliyoishia yeye?

Sasa kila nikimtafiti huyu bwana Mnyika, samahani, lakini neno kuzaa linapiga kengere zote akilini mwangu. Nadhani huyu bwana ni miongoni mwa wale wenye bahati nzuri ambao huweza kuipata mitihani kabla ya siku ya mtihani.

Karibu JF, Join Date : 21st February 2013

Posts : 2

Rep Power : 0
Likes Received 0

Likes Given 0

Karibu Gamba jiepushe na kukurupuka soma vizuri makala ya mnyika majibu ya maswali yako ya kitumbafu yako kule.

Kumbe alijifunzia matusi NSUMBA au alitoka nayo NGUDU???????????
NI kilaza tu huyo. Hana lolote katika jamii.
Mbona WASUKUMA WENZAKE NI WAJANJA????????? AU yeye sio msukuma????

Nape sio msukuma, ni chotara wa kinyakyusa na kihindi.....!!!!!!!
 
Hahaha F ya kiswahili, F ya English! F ya maths! Zilizobaki D!!

Btw, do you know how dumb you've got to be to get an F in civics?!

Kweli nape ni kilaza now I have no doubt. Basi tu siasa za hapa kwetu zinafavor watu wajinga,ambao actually ndio majority!

Limtu kama nape ndio huwa yanajitapa mtaani kuwa pamoja na kufeli bado linaongoza akili kubwa!! Pathetic!

Haya ndiyo yanayosababisha watoto siku hizi wanahamia kwenye bongo flavor tu! Maana wanaona kama kusoma hakuna maana!!

Kabisaaaaa,huo ndo ukweli halisi!!
 
1. Shule ya msingi, John Mnyika alikuwa mwanafunzi wa kwanza kwa mkoa wa darisalama. Akachaguliwa kwenda Ilboru lakini akaamua kwenda seminari. (Naachana na hili kwa kuwa ni swala la kiimani)

2. Form 4 akapata A masomo tisa. Katika mwaka ambao matokeo yalikuwa na mushkeli kwa uvujaji wa mitihani. Angeweza kwenda shule yoyote na mchepuo wowote. Akaamua kwenda Tambaza.

3. Form 6 akapata matokeo mazuri tuu (ambayo hayakuwekwa wazi kama matokeo ya form 4)

4. University akaamua kusoma evening classes. (Hakumaliza kwa sababu alizozitaja hapo juu)

Kwa wenye busara, mlolongo wa elimu wa huyu bwana unanuka samaki aliyechina. Mimi binafsi nimesoma Tanga school, wakati wa headmaster Tetti. Wakati sisi tuko O'level pale Tanga school alikuja mwarabu mmoja kujiunga form 5 (PCM) tulikuwa tunamwita "yarabi salama". Yarabi salama yeye wakati akiwa form 5 PCM alikuwa haelewi kwa nini namba ikitoka upande mmoja wa equation na kuvuka alama ya sawasawa na kuhamia upande mwingine mwingine, basi inabidi alama yake ibadilike, kama hasi itakuwa chanya na chanya huwa hasi. Form 5 PCM huyo. Na bwana yarabi salama alikuwa amepata alama A katika hesabu O level. Baadaye ikagundulika kwamba wakati wenzake wanafanya mitihani, yeye alikuwa anazaa mitihani.

Sijui kama msamiati wa kuzaa bado unatumika siku hizi, lakini kuzaa maana yake ni kwamba kuna watu wana networks na mitihani inapotoka na wanapoingia kwenye chumba cha mtihani, hawaji kufanya mtihani ispokuwa wanakuja na "booklet" zao ambazo maswali yanakuwa tayari yameshafanywa. Sasa wakati wenzao wanafanya mtihani wao wanaandika namba yao ya mtihani tuu kisha wanazaa.

a) Sasa, najiuliza. Mnyika amesema kwamba alikuwa wa kwanza mkoa wa darisalama. (Sibishi, lakina Sijui amejuaje)
b) amepata A tisa form IV; lakini hakusema amepata A ngapi form VI. Jee inawezekana ni kwa sababu matokeo yake ya form 6 hayashabihiani na yale ya form 4?
c) A tisa, lakini hakwenda Ilboru. Kwanini mwanafunzi hodari asiwe na hamu na shauku ya kusoma na wanafunzi hodari wengine? Jee inawezekana bwana Mnyika alikuwa anaogopa "to get found out?"
d) Baada ya kupata matokeo mazuri form 6; kwanini asome jioni? Jee alikuwa anaogopa kusoma na wanafunzi hodari?
e) Mpaka leo bado hana degree. [anisamehe kama nimekosea katika hili]. Ni kweli mwanafunzi mwenye uwezo wake wa kitaaluma atakubali kuishia njiani kwa namna aliyoishia yeye?

Sasa kila nikimtafiti huyu bwana Mnyika, samahani, lakini neno kuzaa linapiga kengere zote akilini mwangu. Nadhani huyu bwana ni miongoni mwa wale wenye bahati nzuri ambao huweza kuipata mitihani kabla ya siku ya mtihani.
Hebu tuache porojo na ngonjera zako zote hizi sasa tujikite kwenye fact, tufanye Mnyika ameishia darasa la saba sasa swali langu ni hili:

Kati ya Mnyika standard seven Graduate na hao Maprofesa wenu na Madoctor wenu na Masters holder Nape, Ni nani ambaye kazi zake na mchango wake unakubalika kwa jamii?

Hivi Profesa Kapuya anaweza kushindanishwa na Mnyika kwa lipi? jitu tangu limeingia Bungeni linachapa usingizi tu na huyu mwenye Elimu ndogo kama mnavyotaka kutuaminisha ndio anainyima usingizi Serikali hii Dhaifu ya JK.
 
Mnyika na Nape wangeweka CV zao jamvini ili tuzipime kuliko kuendelea kutupiana vijembe.
 
Kilaza ni nani mwenye masters? Au mwenye elimu ya kidato cha 6

Chama
Gongo la mboto DSM

Usisahau degree kuna za C.H. U .P I kwa baadhi ya kina dada ambao uwezo wao wa kielimu ni mdogo kama huyu mtu aliyepata Four ya 29. Sasa sijui za mwenzetu ni za nini? Pia mwambie aje atuambie jinsi alivyopta sifa za kuingia kidato cha tano.
 
Kwa nini asiweke cv yake hapa jf? Na kwa nini Nape hajibu toka juzi nimeona maswali mengi lakini Nape yuko buzy. Haipendezi!
 
Ndugu wanajamvi nasikitika tu kueleza kuwa Nape kaanzisha suala la elimu ilihali yeye akijua kabisa kuwa hana uwezo na hatokuwa na uwezo kielimu kama aliokuwa nao Mnyika.

Nape alihamia Nsumba Sekondari iliyoko Mwanza Mwaka 1995 akitokea Ngudu Sekondari iliyoko wilayani Kwimba na kunikuta mimi nikiwa kidato cha kwanza yeye akiwa kidato cha pili.

Nape alifikia kuishi bweni lijulikanalo kwa jina la Mondlane room 3. Kijana Nape alikuwa mcha Mungu sana maarufu kama mlokole.

Nape baada ya kuhitimu form four alipata division four ya point 29. Sasa mimi sijui alifikaje huko form six. baada ya hapo sikuelewa tena nini kiliendelea kwa Nape kwa elimu ya bachelor lakini kwa masters yake amehangaika sana kukamilisha dessertation yake pale Mzumbe kwa habari niliyoipata kutoka kwa Lecturer mmoja ambaye ni jamaa yangu wa karibu na aliyemfahamu tangia akiwa form two.

alisoma pia diploma chuo cha diplomasia pale kurasini
 
1. Shule ya msingi, John Mnyika alikuwa mwanafunzi wa kwanza kwa mkoa wa darisalama. Akachaguliwa kwenda Ilboru lakini akaamua kwenda seminari. (Naachana na hili kwa kuwa ni swala la kiimani)

2. Form 4 akapata A masomo tisa. Katika mwaka ambao matokeo yalikuwa na mushkeli kwa uvujaji wa mitihani. Angeweza kwenda shule yoyote na mchepuo wowote. Akaamua kwenda Tambaza.

3. Form 6 akapata matokeo mazuri tuu (ambayo hayakuwekwa wazi kama matokeo ya form 4)

4. University akaamua kusoma evening classes. (Hakumaliza kwa sababu alizozitaja hapo juu)

Kwa wenye busara, mlolongo wa elimu wa huyu bwana unanuka samaki aliyechina. Mimi binafsi nimesoma Tanga school, wakati wa headmaster Tetti. Wakati sisi tuko O'level pale Tanga school alikuja mwarabu mmoja kujiunga form 5 (PCM) tulikuwa tunamwita "yarabi salama". Yarabi salama yeye wakati akiwa form 5 PCM alikuwa haelewi kwa nini namba ikitoka upande mmoja wa equation na kuvuka alama ya sawasawa na kuhamia upande mwingine mwingine, basi inabidi alama yake ibadilike, kama hasi itakuwa chanya na chanya huwa hasi. Form 5 PCM huyo. Na bwana yarabi salama alikuwa amepata alama A katika hesabu O level. Baadaye ikagundulika kwamba wakati wenzake wanafanya mitihani, yeye alikuwa anazaa mitihani.

Sijui kama msamiati wa kuzaa bado unatumika siku hizi, lakini kuzaa maana yake ni kwamba kuna watu wana networks na mitihani inapotoka na wanapoingia kwenye chumba cha mtihani, hawaji kufanya mtihani ispokuwa wanakuja na "booklet" zao ambazo maswali yanakuwa tayari yameshafanywa. Sasa wakati wenzao wanafanya mtihani wao wanaandika namba yao ya mtihani tuu kisha wanazaa.

a) Sasa, najiuliza. Mnyika amesema kwamba alikuwa wa kwanza mkoa wa darisalama. (Sibishi, lakina Sijui amejuaje)
b) amepata A tisa form IV; lakini hakusema amepata A ngapi form VI. Jee inawezekana ni kwa sababu matokeo yake ya form 6 hayashabihiani na yale ya form 4?
c) A tisa, lakini hakwenda Ilboru. Kwanini mwanafunzi hodari asiwe na hamu na shauku ya kusoma na wanafunzi hodari wengine? Jee inawezekana bwana Mnyika alikuwa anaogopa "to get found out?"
d) Baada ya kupata matokeo mazuri form 6; kwanini asome jioni? Jee alikuwa anaogopa kusoma na wanafunzi hodari?
e) Mpaka leo bado hana degree. [anisamehe kama nimekosea katika hili]. Ni kweli mwanafunzi mwenye uwezo wake wa kitaaluma atakubali kuishia njiani kwa namna aliyoishia yeye?

Sasa kila nikimtafiti huyu bwana Mnyika, samahani, lakini neno kuzaa linapiga kengere zote akilini mwangu. Nadhani huyu bwana ni miongoni mwa wale wenye bahati nzuri ambao huweza kuipata mitihani kabla ya siku ya mtihani.

Mimi nadhani wewe umeamua kubisha tu, na kuweka hoja ambazo hazina mashiko! Kwa kifupi hata wewe ukitaka kujua ulikuwa wa ngapi wakati unamaliza elimu yoyote chini ya NECTA, utajua tu! sio ishu kam Mnyika alijua amekuwa wa kwanza, mpaka leo huo utaratibu upo wa kujua nani kaongoza!

Ishu ya matokeo ya Form Six aliweka bayana kuwa alipata division II, sasa sijui ulitaka asemeje zaidi ya hapo!

Kumaliza chuo kasema kamaliza BBA udsm, labda kama wewe unajua vingine.

Halafu ishu ya shule sio haja, uwezo wa Mnyika wa kujenga hoja na kujieleza, ni zaidi hata ya wasomi wengi duniani, hilo hata Magamba wenzako wanakiri na kumpa heshima kwa hilo, cjui wewe unataka nini!

Mwisho, kama uliwahi kuangalia mdahalo ambao ulihusisha vijana na Mnyika na Neppi wakihudhuria hapo tajua tofauti ya Mnyika na gamba Nepi.

Tamati, nimemkuta Nape kwenye chumba cha mtihani Mzumbe akifanya special exams, kwa maana sisi hatukuwa wa mwaka wake..inaonyesha jinsi asivyo makini na suala la elimu!
 
Maoni yangu si-ya kisiasa:mbuzi hawezi kuwa ngombe, Mnyika ni kichwa tu kwani uwezo wake ndio una onyesha jamaa ni bright sn achana na mambo ya kisiasa.
 
You are right! people can learn a lot from Nape including rude language and inconsistance. Furthermore, people can learn from Nape that, it is possible to attain academic achievement by simply insulting CHADEMA!

There you go again! If that is case why not advising John Mnyika to do the same? Don`t you want him (Mnyika) to prevail academically? Look at Nape Nnauye courages; you know there is good story to be told; that was brilliant achievements; big up Nape!!!! this is a wake up call for Mnyika!!!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:

Will you kindly go back to my post to get the gist of my argument before responding!
 
Kumbe alijifunzia matusi NSUMBA au alitoka nayo NGUDU???????????
NI kilaza tu huyo. Hana lolote katika jamii.
Mbona WASUKUMA WENZAKE NI WAJANJA????????? AU yeye sio msukuma????

BUCHANAGANDE huyo atakuwa si msukuma, isitoshe wasukuma huwa hatuna tabia ya kusema matusi ovyoovyo.
 
Kwa wale wote wanaobishana na "chama" humu nanyi mtakuwa na akili za uharo kama huyo "chama" mwenyewe!!!
I'm done.................................
 
Back
Top Bottom