Pre GE2025 Elimu ya Nchimbi na hadhi ya Chama cha Mapinduzi mdahalo wake ulitakiwa kusimamiwa na maprofesaa na wanaofanya mdahalo wawe PhD holders

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ningeshangaa Senior lecture katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi chama bora kabisa Afrika kilicho na katibu mkuu msomi wa kiwango cha PhD akubali kufanya mdahalo na vijana wasio na elimu wenye vyama vya kabatini wenye maneno ya umbea na ya kutunga

hongera Sana Dr Nchimbi kwa kuwagomea hawa wanafunzi wako maana ungejadili nini na hao wanafunzi wako wa chekechea

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!
Hilo li PhD la kizamani ndio unalisifia?! PhD yenyewe kapatia kwenye chuo cha hapa nchini, vyuo ambavyo pesa yako inaweza kukupa chochote utakacho.
 
Katika ukumbi wa jumba la utawala Chuo Kikuu cha Dar es Salaam UDSM kuna bango lenye ujumbe wa Mwalimu Nyerere:

WIKI YA TAFAKURI JUU YA CCM KUKIMBIA MDAHALO UDSM

1725160015151.png

"Tumekandamizwa kwa kiasi kikubwa, Tumenyonywa kwa kiasi kikubwa,
Tumepuuzwa kwa kiasi kikubwa,
Sasa tunataka mapinduzi"
- mwisho wa kunukuu
(Nyerere 1969 akiwaambia wanafunzi wa UDSM)
1725161713621.png

“We have been oppressed a great deal, we have been exploited a great deal, we have been disregarded a great deal… Now we want a revolution” (Nyerere, 1969)
 
Ningeshangaa Senior lecture katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi chama bora kabisa Afrika kilicho na katibu mkuu msomi wa kiwango cha PhD akubali kufanya mdahalo na vijana wasio na elimu wenye vyama vya kabatini wenye maneno ya umbea na ya kutunga

hongera Sana Dr Nchimbi kwa kuwagomea hawa wanafunzi wako maana ungejadili nini na hao wanafunzi wako wa chekechea

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!
Kiinglish ni shida bandugu! Lecture ni somo na mwalimu wa somo anaitwa Lecturer. Acheni kuandika ujinga
 
Mmh! Hizi PHDs uchwara za nchi hii?
Kule Marekani Trump(Bsc in Economics) na Harris(B.A in Political sc and Economics) hawahojiwi na Maprofessa!
Sasa hawa wa kwetu wanakwepa nini?
Sana sana huenda wako kwenye vikao vya agenda za wizi wa kura 2024/2025
 
Ningeshangaa Senior lecture katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi chama bora kabisa Afrika kilicho na katibu mkuu msomi wa kiwango cha PhD akubali kufanya mdahalo na vijana wasio na elimu wenye vyama vya kabatini wenye maneno ya umbea na ya kutunga

hongera Sana Dr Nchimbi kwa kuwagomea hawa wanafunzi wako maana ungejadili nini na hao wanafunzi wako wa chekechea

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!
Hoja yako ni hoja dhaifu kama wewe tu ulivyo dhaifu. Tumekuwa na Maspika Wenye digrii 1 walioongoza mijadala ya mabunge yaenye Madokta na Profs. Hata Sasa spikq ni Dr lkn kuna Wabunge Profs, anaendeshaje mijadala na watu waliomzidi elimu? Kitu gani kilihitaji hata digrii tu kwenye mdahalo wa Jana? Kama ni Dira ya Taifa mbona mnahoji mpaka Wanafunzi wa sekondari na Wanatoa maoni mazuri kabisa? Kama ni Uchaguzi uendeshwe vipi Nani Kati Yao hajashiriki uchaguzi Kati yao walioalikwa? Acheni hoja za kipuuzi kuhalalisha ujinga.
 
actually,
Dr nchimbi angekubali kushiriki mdahalo ule huenda angefukuzwa kwenye nafasi yake na pengine hata uanachama wa CCM 🐒
Hukumbuki? Hiyo PhD ya Nchimbi ilikuwa na scandal miaka ileee, hata chapisho zake ziko wapi haieleweki. Masters hana chapisho PhD hana chapisho kama hivyo hivyo alivyo Bi Kidude, Tanzania imeamua Sasa hivi kwenda na fake. Watu feki feki tu.
 
Nilipata nafasi ya kumsikiliza PhD holder katika kongamano fulani

Kiufupi Waafrica elimu zao hazijawakomboa kifkra

Alikuwa akilaumu Sana Wakoloni kuwa ndo wametufanya tuwe masikini.

Nilicheka sana
 
Hata mimi nimehisi mjadala ule ungekosa heshima kabisa.

Nilivyoona comment za wahudhuriaji wanavyosema ni wazi kabisa walijipanga kwa ajili ya kumuattack mtu fulani.
Ccm na viongoz wenu kichwani hakuna kitu Hadi midahalo mnaikimbia, viongoz wenu na nyie wafuas wao uchwara mnachoweza ni kuteka na kuuwa watu tu pale Karakana chang'ombe.
 
Ningeshangaa Senior lecture katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi chama bora kabisa Afrika kilicho na katibu mkuu msomi wa kiwango cha PhD akubali kufanya mdahalo na vijana wasio na elimu wenye vyama vya kabatini wenye maneno ya umbea na ya kutunga

hongera Sana Dr Nchimbi kwa kuwagomea hawa wanafunzi wako maana ungejadili nini na hao wanafunzi wako wa chekechea

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!
Acha ujivuni Takataka Wewe.Elimu na
Hizo Ni upuuuzi TU Hasa Kwa Tz
 
Ningeshangaa Senior lecture katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi chama bora kabisa Afrika kilicho na katibu mkuu msomi wa kiwango cha PhD akubali kufanya mdahalo na vijana wasio na elimu wenye vyama vya kabatini wenye maneno ya umbea na ya kutunga

hongera Sana Dr Nchimbi kwa kuwagomea hawa wanafunzi wako maana ungejadili nini na hao wanafunzi wako wa chekechea

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!

Wewe ni mjinga jinga midahalo inafanywa na waandishi wa habari sio walimu wa vyuo. PHD maana yake ni research yaani mtu alifanya research na haina maana huyo mtu anafahamu mambo ya siasa. PHD ya hawa wanasiasa ambazo ni za kuunga unga kwa maprofesa wa michongo wa hapa bongo hazina hata mahusiano na siasa wala maswali ya siasa. Mfano PHD ya Magufuli ilikuwa ya kemikali za korosho sasa hii ina uhusiano gani na siasa.Hata biashara ya korosho ili haribiwa na huyo huyo mwenye PHD! Kwasababu mambo haya hayana mahusiano
 
Ningeshangaa Senior lecture katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi chama bora kabisa Afrika kilicho na katibu mkuu msomi wa kiwango cha PhD akubali kufanya mdahalo na vijana wasio na elimu wenye vyama vya kabatini wenye maneno ya umbea na ya kutunga

hongera Sana Dr Nchimbi kwa kuwagomea hawa wanafunzi wako maana ungejadili nini na hao wanafunzi wako wa chekechea

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!
Unaweza ukawa profesa lakini usijue siasa na uongozi, Tanzania tunao maprofesa wengi sana na wametufelisha kwenye maendeleo ya nchi tukibakia hatusongi mbele badala yake tunajadili kuyafuta makampuni na mashirika!
 
Back
Top Bottom