Pre GE2025 Elimu ya Nchimbi na hadhi ya Chama cha Mapinduzi mdahalo wake ulitakiwa kusimamiwa na maprofesaa na wanaofanya mdahalo wawe PhD holders

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Amesigina madhumuni ya chuo kikuu cha Dar es Salaam ambao wametoa ukumbi wao utumike kufanyika mdahalo huu muhimu

Nyerere akiwa mkuu wa kwanza wa chuo kikuu cha UDSM, alipenda utamaduni wa midahalo, cha kusikitisha miaka 54 baadaye viongozi wa CCM 2024 wamekimbia mdahalo

TOKA MAKTABA :
August 29, 1970 ni siku muhimu ktk historia ya UDSM , Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alitawazwa kuwa mkuu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam ambapo jumuiya ya UDSM ya wahadhiri, wafanyakazi wa chuo, wanafunzi walialikwa ....

View: https://m.youtube.com/watch?v=vA7OmdSTZHY

On this historic day (August 29, 1970), Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, the founding father of Tanzania and its first president was inaugurated as the first Chancellor of the University of Dar es Salaam.

The ceremony was a momentous occasion, attended by dignitaries, university staff, and students, all gathered to witness this significant milestone in the history of higher education in Tanzania.

The video captures the grand ceremony with traditional dances and celebrations.

Ukumbj huo hata ukiwa na harusi yako unapewa. Ni pesa tu.
 
Ningeshangaa Senior lecture katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi chama bora kabisa Afrika kilicho na katibu mkuu msomi wa kiwango cha PhD akubali kufanya mdahalo na vijana wasio na elimu wenye vyama vya kabatini wenye maneno ya umbea na ya kutunga

hongera Sana Dr Nchimbi kwa kuwagomea hawa wanafunzi wako maana ungejadili nini na hao wanafunzi wako wa chekechea

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!
Kwanini mli kubali kushiriki? Acheni kuwadharau watanzania. Hili liwe fundisho kwa vyombo vya habari kuji pendekeza Ccm. Hiyo hasara ya jana iwe chachu ya kuacha kutangaza habari za mboga mboga
 
Ningeshangaa Senior lecture katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi chama bora kabisa Afrika kilicho na katibu mkuu msomi wa kiwango cha PhD akubali kufanya mdahalo na vijana wasio na elimu wenye vyama vya kabatini wenye maneno ya umbea na ya kutunga

hongera Sana Dr Nchimbi kwa kuwagomea hawa wanafunzi wako maana ungejadili nini na hao wanafunzi wako wa chekechea

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!
Kama anakwenda vijijina nakukutana na watu ambao hawajasoma kabisa hii ina maana anauwezo wakukutana na watu wa Aina yoyote na kuzungumza nao mimi niseme tu hoja yake ya kuwa alikuwa busy na shughuli za Chama iheshimiwe kwa sababu mihalo ipo kila siku atazungumza tu. Wengine kugoma ni mitazamo yao nao hawapaswi kubezwa. Mwisho wa siku ni kuweka sawa ili tusonge mbele.
 
Ningeshangaa Senior lecture katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi chama bora kabisa Afrika kilicho na katibu mkuu msomi wa kiwango cha PhD akubali kufanya mdahalo na vijana wasio na elimu wenye vyama vya kabatini wenye maneno ya umbea na ya kutunga

hongera Sana Dr Nchimbi kwa kuwagomea hawa wanafunzi wako maana ungejadili nini na hao wanafunzi wako wa chekechea

PIA SOMA

- Kuelekea 2025 - Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!

Sasa hapo si ingebidi aende Samia ambaye yeye Elimu yake inafanana nao?
 
Ccm na viongoz wenu kichwani hakuna kitu Hadi midahalo mnaikimbia, viongoz wenu na nyie wafuas wao uchwara mnachoweza ni kuteka na kuuwa watu tu pale Karakana chang'ombe.
Mkuu leta tuhuma utakavyo mimi sijali.
.hoja yangu ya msingi ni kwamba ule haukuwa mdahalo bali yalikuwa mashambulizi dhidi ya mtu fulani.

Na kweli hakutokea na mdahalo haukufanyika.

kwa aina ya watanzania tuliokuwa nao na mdahalo kama ule nadhani Dr nchimbi angejivunjia heshima kufika pale.

Watanzania wangeanza kuzomea na kupiga mayowe ya ajabu akiongea mtu wasiyemtaka.

Ni maamuzi sahihi kwa Dr Nchimbi kutotokea.
 
Remember, Respect is not given it must be earned. 🙄
 
Unadai Nchimbi ni Senior Lecturer amewahi kufundisha chuo gani?
 
Alikuwa anajiita Dr wakati Hana PhD baada ya kile kitabu Cha ufisadi wa elimu ndipo akaenda kununua PhD kwenye chuo kimoja hapa Tanzania
 
Ningeshangaa Senior lecture katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi chama bora kabisa Afrika kilicho na katibu mkuu msomi wa kiwango cha PhD akubali kufanya mdahalo na vijana wasio na elimu wenye vyama vya kabatini wenye maneno ya umbea na ya kutunga

hongera Sana Dr Nchimbi kwa kuwagomea hawa wanafunzi wako maana ungejadili nini na hao wanafunzi wako wa chekechea

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!
Kuna haya maswali ukinipa majibu nitashukuru Mkuu.
1. Umezungumzia kuwa mtu ambaye ni msomi wa kiwango cha PhD hawezi kufanya mingle na watu aliowazdi elimu, SIKATAI ila swali langu ni je unadhani watu gani Tanzania wanaongoza kwa kuumiza makundi mengine, kati ya hao wenye PhD au wenye elimu za kawaida.
2. CCM imejengwa na wanachama wengi sana, na ndiocho chama chenye watu wengi, je unadhani kwenye baraza la Kuu la Chama kuna watu kiasi gani wenye elimu hii ya PhD?
3. Shabaha kuu ni mdahalo wa makatibu wa vyama vya siasa je unadhani Odemba na wenzie walikuwa wapuuzi kiasi gani mpaka kusema kuwa Katibu Mkuu wa CCM awepo bila kufahamu kama ana PhD.

FAHAMU TOFAUTI KATI YA MAARIFA NA VYETI! HUYU AMBAYE UNAMSIFIA LEO KESHO AKITOKA MTAMPONDA MAWE KAMA MNAVYOFANYA KWA HAYATI MAGUFULI!
 
Ningeshangaa Senior lecture katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi chama bora kabisa Afrika kilicho na katibu mkuu msomi wa kiwango cha PhD akubali kufanya mdahalo na vijana wasio na elimu wenye vyama vya kabatini wenye maneno ya umbea na ya kutunga

hongera Sana Dr Nchimbi kwa kuwagomea hawa wanafunzi wako maana ungejadili nini na hao wanafunzi wako wa chekechea

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!
Hiyo Phd ni ya siasa?
 
PHD za chuo kikuu kinachelea hewani!!! OPEN, degree za akina JAFO?? 🤔🤔❌💯🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom