McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu,
Nilikuwa napitia CVs za wabunge leo. Kuna kitu kimenishangaza sana kuhusu huyu Mbunge wa Eric Shigongo.
According to his CV huyu mwamba alisoma Gedeli Primary School kuanzia 1977 had 1983.
Alafu kuanzia 1983 hakuna sehemu inaonesha kama alienda Form 4 na Form 6 au kwenda Certificate kisha Diploma.
Then mwaka 2017 tunaona aliingia Tumaini University ambako alihitimu mwaka 2020 akiwa na Degree ya Public Relations.
Hii imekaaje wakuu? Kuna mfumo wowote unaomuwezesha darasa la 7 kuingia chuo bila kupitia Form 5 na 6 au Certificate kisha Diploma?
How is it kwamba Darasa la 7 ana degree ya Public Relations?