PreGE2025 Elimu ya Shigongo inatia mashaka. Aliyeelewa kipengele hiki kwenye elimu ya Mbunge Eric Shigongo naomba anieleweshe!

PreGE2025 Elimu ya Shigongo inatia mashaka. Aliyeelewa kipengele hiki kwenye elimu ya Mbunge Eric Shigongo naomba anieleweshe!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ipo hivi

Nafikiri mwaka Fulani TCU waliruhusu MTU mwenye Kazi zake Kama za uandishi , sanaa n.k kujiunga chuo kikuuu kupata degree.

Hii ilikuwa program iliyokuwa chini ya TCU .

So shigongo alipeleka Kazi zake TCU Kama Vitabu , makala n.k akapewa nafasi hiyo ya kusoma degree.

Vyuo vya Serikali vilimkatalia ikiwemo UDSM walimuomba cheti cha form four akakosa .

So akaenda Tumaini university .

Hata alipotaka kusoma masters udsm walimkatalia.

So Elimu yake ipo hivyo

UDSM waliupiga mwingi sana!
 
Mimi ni mzee kuliko Shigongo,

Aliwezaje kupata degree na prior to that alikuwa na cheti cha darasa la 7 tu
rudi shule ukasome ndiyo uje uhoji wenzio wamepataje degreee aikwa ametoka la saba
 
. Tupe kwanza mfumo wa elimu kati ya 1977 hadi 1983 ulikuwaje..

. Acha kulia lia bila kuwa na fact maalum.
Kuna kitu kinaitwa Mature Age Entry
 

Attachments

  • Screenshot_2025-05-30-13-09-22-253_com.android.chrome-edit.jpg
    Screenshot_2025-05-30-13-09-22-253_com.android.chrome-edit.jpg
    780.7 KB · Views: 16
Kuuliza kwa "nia ovu" ndo kunakuwaje huko?

Since you brought it up, hiyo programu ilianzishwa lini? Au ilianzishwa ili kumu-accomodate Shigongo?

Bado inaendelea?
Hayo maswali yako yatume kwenye email ya TCU. Nimesoma uzi wako mwingine unaongelea wabunge wenye elimu ya darasa la saba. Punguza wivu na chuki moyoni itakusaidia kiafya.
 
But kufika degree kuna stages, hizo stage ziko wapi hapo?
Wewe detective uchwara kwanini usiingie hata kwenye tovuti ya TCU au Tumaini University kujua kiundani haya mambo badala ya kuuliza maswali yanayokuchoresha na kuonekana uko mtupu kichwani?
 
Hebu wataalamu watoe ushauri pengine mtoa mada anataka kutoa ajira kwa mwamba.
 
Back
Top Bottom