PreGE2025 Elimu ya Shigongo inatia mashaka. Aliyeelewa kipengele hiki kwenye elimu ya Mbunge Eric Shigongo naomba anieleweshe!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

UDSM waliupiga mwingi sana!
 
Mimi ni mzee kuliko Shigongo,

Aliwezaje kupata degree na prior to that alikuwa na cheti cha darasa la 7 tu
rudi shule ukasome ndiyo uje uhoji wenzio wamepataje degreee aikwa ametoka la saba
 
Kuuliza kwa "nia ovu" ndo kunakuwaje huko?

Since you brought it up, hiyo programu ilianzishwa lini? Au ilianzishwa ili kumu-accomodate Shigongo?

Bado inaendelea?
Hayo maswali yako yatume kwenye email ya TCU. Nimesoma uzi wako mwingine unaongelea wabunge wenye elimu ya darasa la saba. Punguza wivu na chuki moyoni itakusaidia kiafya.
 
But kufika degree kuna stages, hizo stage ziko wapi hapo?
Wewe detective uchwara kwanini usiingie hata kwenye tovuti ya TCU au Tumaini University kujua kiundani haya mambo badala ya kuuliza maswali yanayokuchoresha na kuonekana uko mtupu kichwani?
 
Hebu wataalamu watoe ushauri pengine mtoa mada anataka kutoa ajira kwa mwamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…