PreGE2025 Elimu ya Shigongo inatia mashaka. Aliyeelewa kipengele hiki kwenye elimu ya Mbunge Eric Shigongo naomba anieleweshe!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ukichokonoa mambo ya wana-CCM lazima utacheka sana hadi uchoke.Those people are purely bandits!
 
Hizi elimu za janja janja mzitumie hapa hapa Tanzania. Nje ya mipaka ya Tanzania mtafurumushwa kwa mawe
Elimu za kuangalia uwezo wa mtu na sio mfumo wa kimadarasa ndio zimejaa huko kwa wenzetu. Si ajabu kukuta Engineer ana miaka 13 au pungufu ya hapo. Elon Musk ameajiri Engineer mtoto mdogo kabisa, na hayupo pale kwa udogo wake bali uwezo wake.
 
Wewe detective uchwara kwanini usiingie hata kwenye tovuti ya TCU au Tumaini University kujua kiundani haya mambo badala ya kuuliza maswali yanayokuchoresha na kuonekana uko mtupu kichwani?
Wapo watu tumesoma humu ndani tena top universities nchi hii, tukapata na nafasi ya kusoma nje,Tunajua utaratibu wote wa elimu tanzania. Na matokeo yote huwa displayed online, na record hutunzwa , povu la nini?

Elimu haihitaji taarabu, inahitaji facts.

amefikaje hapo kama hakuna records kafikaje degree? Somebody needs to clarify this
 
Mimi ni mzee kuliko Shigongo,

Aliwezaje kupata degree na prior to that alikuwa na cheti cha darasa la 7 tu
Kuna mwaka TCU walianzisha programme flani ili kuwainua walioshia darasa la saba wasome degree, waliwapa mitihani na waliofanikiwa kufaulu ile mitihani wakawa na sifa ya kusoma chuo kikuu,na yeye alikuwa miongoni mwao,jina la programme nimeisahau kdgo
 
Marehemu B. Mkapa alikuja na mpango wa "equivalency", sijui uliishia wapi.

 
Kuna kitu kinaitwa "maturity entry" hii huwezesha darasa la saba ama mtu yeyote mwenye uzoefu kwenye taaluma Fulani Ila ana informal education Kufanya MITIHANI akifaulu then ana ruhusiwa kujisajir kwenye kozi husikaa kusoma degree

Eg.
1. The University of Dar es Salaam (UDSM) offers a Mature Age Entry Scheme (MAES) for individuals who do not meet the standard direct entry requirements but are otherwise well-qualified. To be eligible for MAES, candidates must be 25 years of age or older, have attempted the Certificate of Secondary Education Examination (CSE) with at least 3 credits in approved subjects or completed Form VI at least five years prior to the admission year.

2.
A "maturity entry course" at Tumaini University likely refers to a program designed for students who may not meet the standard direct entry requirements for a degree or diploma program but have demonstrated a certain level of maturity, experience, or relevant skills. This might be achieved through alternative pathways or by demonstrating exceptional performance in other areas.

Dar es Salaam Tumaini University (DarTU) and other Tumaini University locations (Makumira, Stefano Moshi Memorial University College) offer various admission pathways for students who don't meet the standard criteria.
 

Kama angekuwa na IQ kubwa angepitia kwenye mfumo proper.

Kuandika vitabu ndo kuwa na IQ kubwa?

Thats like saying kwa sababu Marioo anajua kuimba basi ana IQ kubwa.

Hicho ni kipaji tu.
 

Asante kwa ufafanuzi.

Hii program bado ipo?
 
Labda alipita community concern training institute akapata credentials za kwenda Tumaini
Community concern'nini!
Huyo mother kajipalia mkaa!
Ni kweli mdomo uliponza matako kuburuzwa mboko.
Sijui kwenye utia nia, kama issue hii haitamcost!
 
Huyo ana elimu ya kuunga unga ya kitapeli alienda udsm kutaka kusoma masters wakamkatalia wakamwambia hawatambui degree yake .
Alilalamika sana kwenye vyombo vya habari.
Huyo jamaa ni tapeli wa elimu
 
Asante kwa ufafanuzi.

Hii program bado ipo?
Zipo miaka nenda rudi wapo wengi wamesoma kwa staili hiyo unajua zamani enzi zetu ilikua unafaulu Ila wanachaguliwa wachache..shule za secondary zilikuaga chache Asante LOWASSA na kujengwa shule za kata.

So usipo kua na uwezo wa kusoma private school ndio ivyo unaenda kua mkulima au mfanyabiashara Mimi na ma brother wengi Sana wamesoma kwa staili hiyo ya kuingia university kwa MATURITY ENTRY

Na wanafanya/ wamefanya vizuri kwenye nafasi zao wanazo/ walizo pewaaa
 
Mabwakuuu, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hujui kuna TCU? Kwanini usiende TCU au Chuo alichosoma ukajibiwa maswali yako? Kama wewe pia umesoma top universities si bora uchome moto hivyo vyeti vyako ili angalau tujue hujasoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…