Et wakuu niaje una 1ya17 ana C tatu wote advance
una 1ya 9 ana E mbili wote chuo
una GPA first clas ana GPA ya mwisho na ndo bosi wako
umesoma UD ye kasoma UDOM alafu kitaa kinakuadabisha
Ni nani kasema mitihani ndio kipimo cha ufanisi na jitihada za mtu?
Sisi Watanzania kama tukiendelea kuwa na fikra mfu hizi ni nani ataijenga nchi yetu?
Huwezi kuhusisha matokeo (eti ufaulu) na uwezo wa mtu kufanya kazi.
Kila mtu ana uwezo wake; mwingine ni mzuri kwenye kusoma na kuelewa mwenyewe, ila akiambiwa aelekeze mwingine hawezi. Mwingine ni mzuri katika kuelezea hata kidogo alichonacho na akaeleweka ila utakuta sio msomaji (hawa ni nadra sana). Mwingine akipewa maelekezo kidogo tu ya kazi basi hapo kazi imekwisha (na hawa ndio wenye mafanikio hata kwenye maisha).
Div 1 au div 0 sio kipimo cha kuja kufanikiwa kwenye maisha. Elimu ya shule ina changia asilimia chache katika mafanikio huku mitaani, kubwa kitakachokupa mafanikio ni ujasiri, utii, jitihada na kufanya kazi kwa bidii. Sio wote tumepewa hizo "core values".
Tupo pa1 kila kona lakini pale unaposema mitihani sio kipimo cha uelewa wa mtu katika nyanja fulani unakosea mkuu..ukimfundisha.ukim-train mtu lazma umu-assess na kum-evaluate ili kufahamu ni kwa jinsi gani mtu huyo kaiva,njia pekee ya kuweza kupata jibu sahihi ni mtihani...matokeo ya huo mtihani ndio uta-judge ustadi wa mtu....over

What if aki-cheat?, don't you know that?, I agree with you at some point, but it shouldn't be used as the only tool to assess the level of undertanding of a candidate.
Kama kweli mitihani ni muhimu hivyo, kwanini mtu anapata GPA ya 4.5 na still bado ana chemka ku-attempt maswali ya interview?! Unadhani kwanini huku makazini hawachukui moja kwa moja watu wenye GPA kubwa mpaka wam-subject kwenye interview?
Let me tell you this, katika interview ambayo mimi nilishiriki, mtu ambae alikuwa akinyuka A karibu zote kwenye module zetu za kila semester, mpaka sasa yupo bench na amepauka vibaya, sisi wengine tulikuwa na hizo "core values" ambazo wewe hukupenda kuzizungumzia, tunakula kuku tu sasa, wakati vyeti vyetu vina B+, B na mpaka makalai (C).
My point is, mitihani ndio ipo na watu wanafaulu wengine wanafeli, ila tusiifanye mitihani kama kipimo pekee cha kuamua nani atafanikiwa kwenye maisha au nani atayashindwa maisha. Na ndio lengo la mleta mada.

Seek the kingdom of GOD and every thing shall be given to you...mungu ni mwaminifu hawezi kukutupa hata siku moja,:;ndio utasota kwa mtaa but siku kikitiki tu---lazma nature itawatenganisha kichwa na kilaza---
Ni nani kasema mitihani ndio kipimo cha ufanisi na jitihada za mtu?
Sisi Watanzania kama tukiendelea kuwa na fikra mfu hizi ni nani ataijenga nchi yetu?
Huwezi kuhusisha matokeo (eti ufaulu) na uwezo wa mtu kufanya kazi.
Kila mtu ana uwezo wake; mwingine ni mzuri kwenye kusoma na kuelewa mwenyewe, ila akiambiwa aelekeze mwingine hawezi. Mwingine ni mzuri katika kuelezea hata kidogo alichonacho na akaeleweka ila utakuta sio msomaji (hawa ni nadra sana). Mwingine akipewa maelekezo kidogo tu ya kazi basi hapo kazi imekwisha (na hawa ndio wenye mafanikio hata kwenye maisha).
Div 1 au div 0 sio kipimo cha kuja kufanikiwa kwenye maisha. Elimu ya shule ina changia asilimia chache katika mafanikio huku mitaani, kubwa kitakachokupa mafanikio ni ujasiri, utii, jitihada na kufanya kazi kwa bidii. Sio wote tumepewa hizo "core values".
Kweli mkuu umelonga,watu wanafikiri kusoma UDSM ndiyo umewini kila kitu,uwezo wa kufanya kazi na chuo ulichosoma ni vitu viwili tofauti.Mimi binafsi nimesoma CBE na recently nifanya kazi za consultancy,nakumbuka oneday boss alitupa kazi ya kuandika BUsiness plan mimi na staff mwenzangu graduate wa UDSM,mwisho wa siku nilimfunika vibaya.Sasa mpaka hapo chuo chako kimekusaidia nini?kinachomata katika kazi ni efficiency and skills sio chuo ulichosoma,madogo mlio vyuoni someni kwa bidii ili mupate skills na sio kila kitu kipo darasani hata ukisikia kuna seminar au training yoyote nje ya chuo nenda kasome,msitegemee vya class,watu wengi ambao ni competent katika fani zao hawakosi vitu hivi.By the way walimu wa UDOM wengi wao wamesoma mlimani,kwaiyo kama UDOM wanatoa vilaza basi ujue source ni UDSM.Ni nani kasema mitihani ndio kipimo cha ufanisi na jitihada za mtu?
Sisi Watanzania kama tukiendelea kuwa na fikra mfu hizi ni nani ataijenga nchi yetu?
Huwezi kuhusisha matokeo (eti ufaulu) na uwezo wa mtu kufanya kazi.
Kila mtu ana uwezo wake; mwingine ni mzuri kwenye kusoma na kuelewa mwenyewe, ila akiambiwa aelekeze mwingine hawezi. Mwingine ni mzuri katika kuelezea hata kidogo alichonacho na akaeleweka ila utakuta sio msomaji (hawa ni nadra sana). Mwingine akipewa maelekezo kidogo tu ya kazi basi hapo kazi imekwisha (na hawa ndio wenye mafanikio hata kwenye maisha).
Div 1 au div 0 sio kipimo cha kuja kufanikiwa kwenye maisha. Elimu ya shule ina changia asilimia chache katika mafanikio huku mitaani, kubwa kitakachokupa mafanikio ni ujasiri, utii, jitihada na kufanya kazi kwa bidii. Sio wote tumepewa hizo "core values".
I've grasped a lot from your fact,but let me ask you some few question
1.Why do we have examinations and other tools of that nature?
2.what test is much reliable at estimating ones knowledge at a particular field
Friend angu bos mtoto ila kuna w2 na degree zao hawamiliki hata smart phone
Have you ever heard of what so called "practical training"? Thats the thing. Kama a candidate atakuwa exposed to as much practical training as possible regardless a field of study, that candidate will surely be competent to his/her field. Ila mitihani hapa Tanzania imepewa kipaumbele kumbe siku hizi madogo wana manipulative tactics za kutosha za kuwawezesha kupiga mabanda.
Pia practical training itasaidia kumuwezesha mwanachuo kujua ni yapi hasa kati ya yale yote aliojifunza chuo yana-apply kazini, pia msimamizi wa mwanachuo huyo anapaswa ku-comment kwa wahadhiri wake wa chuo husika na kuwajulisha uwezo wa mwanafunzi wao hasa kwenye uelewa wa kazi, nidhamu awapo kazini, team work n.k
Practical training should be the major tool in assessing the level of understand of a university student, but unfortunately, examinations and tests are being the major ones...