Elimu ya tanzania haina adabu

Elimu ya tanzania haina adabu

Yesar

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2013
Posts
300
Reaction score
17
Et wakuu niaje una 1ya17 ana C tatu wote advance
una 1ya 9 ana E mbili wote chuo
una GPA first clas ana GPA ya mwisho na ndo bosi wako
umesoma UD ye kasoma UDOM alafu kitaa kinakuadabisha
 
Seek the kingdom of GOD and every thing shall be given to you...mungu ni mwaminifu hawezi kukutupa hata siku moja,:;ndio utasota kwa mtaa but siku kikitiki tu---lazma nature itawatenganisha kichwa na kilaza---
 
karibu tanzania, na bado utapauka sana kama hutajitambua, mpaka uhisi una mapepo kumbe hujitambui tu, funguka
 
Ni nani kasema mitihani ndio kipimo cha ufanisi na jitihada za mtu?

Sisi Watanzania kama tukiendelea kuwa na fikra mfu hizi ni nani ataijenga nchi yetu?

Huwezi kuhusisha matokeo (eti ufaulu) na uwezo wa mtu kufanya kazi.

Kila mtu ana uwezo wake; mwingine ni mzuri kwenye kusoma na kuelewa mwenyewe, ila akiambiwa aelekeze mwingine hawezi. Mwingine ni mzuri katika kuelezea hata kidogo alichonacho na akaeleweka ila utakuta sio msomaji (hawa ni nadra sana). Mwingine akipewa maelekezo kidogo tu ya kazi basi hapo kazi imekwisha (na hawa ndio wenye mafanikio hata kwenye maisha).

Div 1 au div 0 sio kipimo cha kuja kufanikiwa kwenye maisha. Elimu ya shule ina changia asilimia chache katika mafanikio huku mitaani, kubwa kitakachokupa mafanikio ni ujasiri, utii, jitihada na kufanya kazi kwa bidii. Sio wote tumepewa hizo "core values".
 
  • Thanks
Reactions: EAN
Friend angu bos mtoto ila kuna w2 na degree zao hawamiliki hata smart phone
 
Ni nani kasema mitihani ndio kipimo cha ufanisi na jitihada za mtu?

Sisi Watanzania kama tukiendelea kuwa na fikra mfu hizi ni nani ataijenga nchi yetu?

Huwezi kuhusisha matokeo (eti ufaulu) na uwezo wa mtu kufanya kazi.

Kila mtu ana uwezo wake; mwingine ni mzuri kwenye kusoma na kuelewa mwenyewe, ila akiambiwa aelekeze mwingine hawezi. Mwingine ni mzuri katika kuelezea hata kidogo alichonacho na akaeleweka ila utakuta sio msomaji (hawa ni nadra sana). Mwingine akipewa maelekezo kidogo tu ya kazi basi hapo kazi imekwisha (na hawa ndio wenye mafanikio hata kwenye maisha).

Div 1 au div 0 sio kipimo cha kuja kufanikiwa kwenye maisha. Elimu ya shule ina changia asilimia chache katika mafanikio huku mitaani, kubwa kitakachokupa mafanikio ni ujasiri, utii, jitihada na kufanya kazi kwa bidii. Sio wote tumepewa hizo "core values".

Tupo pa1 kila kona lakini pale unaposema mitihani sio kipimo cha uelewa wa mtu katika nyanja fulani unakosea mkuu..ukimfundisha.ukim-train mtu lazma umu-assess na kum-evaluate ili kufahamu ni kwa jinsi gani mtu huyo kaiva,njia pekee ya kuweza kupata jibu sahihi ni mtihani...matokeo ya huo mtihani ndio uta-judge ustadi wa mtu....over
 
nice umetisha mkuu.
 
Et wakuu niaje una 1ya17 ana C tatu wote advance
una 1ya 9 ana E mbili wote chuo
una GPA first clas ana GPA ya mwisho na ndo bosi wako
umesoma UD ye kasoma UDOM alafu kitaa kinakuadabisha

Ingawa sina takwimu, lakini nadhani Nchi hii naongoza Duniani kwa kutukanwa kila aina ya tusi na raia wake. Ingawa sina Takwimu, ninadhani watukanaji wakubwa ni Vijana wa Jinsi ya Kiume, umri wa miaka 20 - 30!

Hongera kwa kuitukana Elimu ya Tanzania! I hope, by so doing, it made your Weekend great!
 
Tupo pa1 kila kona lakini pale unaposema mitihani sio kipimo cha uelewa wa mtu katika nyanja fulani unakosea mkuu..ukimfundisha.ukim-train mtu lazma umu-assess na kum-evaluate ili kufahamu ni kwa jinsi gani mtu huyo kaiva,njia pekee ya kuweza kupata jibu sahihi ni mtihani...matokeo ya huo mtihani ndio uta-judge ustadi wa mtu....over

What if aki-cheat?, don't you know that?, I agree with you at some point, but it shouldn't be used as the only tool to assess the level of undertanding of a candidate.

Kama kweli mitihani ni muhimu hivyo, kwanini mtu anapata GPA ya 4.5 na still bado ana chemka ku-attempt maswali ya interview?! Unadhani kwanini huku makazini hawachukui moja kwa moja watu wenye GPA kubwa mpaka wam-subject kwenye interview?

Let me tell you this, katika interview ambayo mimi nilishiriki, mtu ambae alikuwa akinyuka A karibu zote kwenye module zetu za kila semester, mpaka sasa yupo bench na amepauka vibaya, sisi wengine tulikuwa na hizo "core values" ambazo wewe hukupenda kuzizungumzia, tunakula kuku tu sasa, wakati vyeti vyetu vina B+, B na mpaka makalai (C).

My point is, mitihani ndio ipo na watu wanafaulu wengine wanafeli, ila tusiifanye mitihani kama kipimo pekee cha kuamua nani atafanikiwa kwenye maisha au nani atayashindwa maisha. Na ndio lengo la mleta mada.
 
Tatizo ni yaleeee madesa ambayo watu wanaachiwa miaka nenda miaka rudi.
 
Kupita shule na kupitiwa na shule n vitu 2 tofauti, ukipita shule lazima utakuwa unalalmika kila kukicha, maaana ulichinacho kichwani hakikupe horizon yeyote kupembua mambo ya uhalisia wa maisha,n kulalama ei-to-zedi.
Ukipitiwa na shule, it means kwamba Kama ungekuwa n ugonjwa tayar ww unaumwa, achen kufananisha ufanisi- elimu na elimu maisha ambayo ndo it's matters more. Achen kulalama, think about the value of the eduction you have, no matter n ndogo kiasi fulan.
 
What if aki-cheat?, don't you know that?, I agree with you at some point, but it shouldn't be used as the only tool to assess the level of undertanding of a candidate.

Kama kweli mitihani ni muhimu hivyo, kwanini mtu anapata GPA ya 4.5 na still bado ana chemka ku-attempt maswali ya interview?! Unadhani kwanini huku makazini hawachukui moja kwa moja watu wenye GPA kubwa mpaka wam-subject kwenye interview?

Let me tell you this, katika interview ambayo mimi nilishiriki, mtu ambae alikuwa akinyuka A karibu zote kwenye module zetu za kila semester, mpaka sasa yupo bench na amepauka vibaya, sisi wengine tulikuwa na hizo "core values" ambazo wewe hukupenda kuzizungumzia, tunakula kuku tu sasa, wakati vyeti vyetu vina B+, B na mpaka makalai (C).

My point is, mitihani ndio ipo na watu wanafaulu wengine wanafeli, ila tusiifanye mitihani kama kipimo pekee cha kuamua nani atafanikiwa kwenye maisha au nani atayashindwa maisha. Na ndio lengo la mleta mada.

I've grasped a lot from your fact,but let me ask you some few question
1.Why do we have examinations and other tools of that nature?
2.what test is much reliable at estimating ones knowledge at a particular field
 
Seek the kingdom of GOD and every thing shall be given to you...mungu ni mwaminifu hawezi kukutupa hata siku moja,:;ndio utasota kwa mtaa but siku kikitiki tu---lazma nature itawatenganisha kichwa na kilaza---

Hivi nikuulize swali.....Huyo Mungu ni mwema tuu kwa huyo jamaa nasio mwema kwa huyo aliyepata GPA ndogo(Pass)........Hivi kama yeye alimlilia Mungu kapokuwa ana pass naakapata kazi....Hapo si Mungu ni mwema kwake....? Mungu wetu hayupo subjective kiivo....Huenda jamaa ana GPA nzuri lakini utendaji wake wakazi ni Zero na vise versa is true.....Wacha umburula wa kum-grade Mungu kifala ----.....
 
Ni nani kasema mitihani ndio kipimo cha ufanisi na jitihada za mtu?

Sisi Watanzania kama tukiendelea kuwa na fikra mfu hizi ni nani ataijenga nchi yetu?

Huwezi kuhusisha matokeo (eti ufaulu) na uwezo wa mtu kufanya kazi.

Kila mtu ana uwezo wake; mwingine ni mzuri kwenye kusoma na kuelewa mwenyewe, ila akiambiwa aelekeze mwingine hawezi. Mwingine ni mzuri katika kuelezea hata kidogo alichonacho na akaeleweka ila utakuta sio msomaji (hawa ni nadra sana). Mwingine akipewa maelekezo kidogo tu ya kazi basi hapo kazi imekwisha (na hawa ndio wenye mafanikio hata kwenye maisha).

Div 1 au div 0 sio kipimo cha kuja kufanikiwa kwenye maisha. Elimu ya shule ina changia asilimia chache katika mafanikio huku mitaani, kubwa kitakachokupa mafanikio ni ujasiri, utii, jitihada na kufanya kazi kwa bidii. Sio wote tumepewa hizo "core values".

Ahsante kwa ufafanuzi huu mzuri...Hawa mburula wanadhani.vyeti ndo vinafanya kazi...
 
Ni nani kasema mitihani ndio kipimo cha ufanisi na jitihada za mtu?

Sisi Watanzania kama tukiendelea kuwa na fikra mfu hizi ni nani ataijenga nchi yetu?

Huwezi kuhusisha matokeo (eti ufaulu) na uwezo wa mtu kufanya kazi.

Kila mtu ana uwezo wake; mwingine ni mzuri kwenye kusoma na kuelewa mwenyewe, ila akiambiwa aelekeze mwingine hawezi. Mwingine ni mzuri katika kuelezea hata kidogo alichonacho na akaeleweka ila utakuta sio msomaji (hawa ni nadra sana). Mwingine akipewa maelekezo kidogo tu ya kazi basi hapo kazi imekwisha (na hawa ndio wenye mafanikio hata kwenye maisha).

Div 1 au div 0 sio kipimo cha kuja kufanikiwa kwenye maisha. Elimu ya shule ina changia asilimia chache katika mafanikio huku mitaani, kubwa kitakachokupa mafanikio ni ujasiri, utii, jitihada na kufanya kazi kwa bidii. Sio wote tumepewa hizo "core values".
Kweli mkuu umelonga,watu wanafikiri kusoma UDSM ndiyo umewini kila kitu,uwezo wa kufanya kazi na chuo ulichosoma ni vitu viwili tofauti.Mimi binafsi nimesoma CBE na recently nifanya kazi za consultancy,nakumbuka oneday boss alitupa kazi ya kuandika BUsiness plan mimi na staff mwenzangu graduate wa UDSM,mwisho wa siku nilimfunika vibaya.Sasa mpaka hapo chuo chako kimekusaidia nini?kinachomata katika kazi ni efficiency and skills sio chuo ulichosoma,madogo mlio vyuoni someni kwa bidii ili mupate skills na sio kila kitu kipo darasani hata ukisikia kuna seminar au training yoyote nje ya chuo nenda kasome,msitegemee vya class,watu wengi ambao ni competent katika fani zao hawakosi vitu hivi.By the way walimu wa UDOM wengi wao wamesoma mlimani,kwaiyo kama UDOM wanatoa vilaza basi ujue source ni UDSM.
 
I've grasped a lot from your fact,but let me ask you some few question
1.Why do we have examinations and other tools of that nature?
2.what test is much reliable at estimating ones knowledge at a particular field

Have you ever heard of what so called "practical training"? Thats the thing. Kama a candidate atakuwa exposed to as much practical training as possible regardless a field of study, that candidate will surely be competent to his/her field. Ila mitihani hapa Tanzania imepewa kipaumbele kumbe siku hizi madogo wana manipulative tactics za kutosha za kuwawezesha kupiga mabanda.

Pia practical training itasaidia kumuwezesha mwanachuo kujua ni yapi hasa kati ya yale yote aliojifunza chuo yana-apply kazini, pia msimamizi wa mwanachuo huyo anapaswa ku-comment kwa wahadhiri wake wa chuo husika na kuwajulisha uwezo wa mwanafunzi wao hasa kwenye uelewa wa kazi, nidhamu awapo kazini, team work n.k

Practical training should be the major tool in assessing the level of understand of a university student, but unfortunately, examinations and tests are being the major ones...
 
Umanipa kitu ambacho ulikua unakizunguka,sasa acha nikuuluze swali la mwisho

Je mwanafunzi ambaye ni kilaza (failure) wa theory anaweza kufaulu practical??
 
Back
Top Bottom