Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 6,007
- 15,216
Elimu ya tanzania imeshakuwa ya ovyo kuanzia kanumba mpaka binafsi.
Embu kaguweni madaftari ya watoto husasani hawa wa primary.
Mtoto anasoma private nimekagua daftari nakuta kapewa tiki swali ambao kakosa.
Haya Je kwenye matokeo kila mzazi anaambiwa mtoto wake kawa wapili au wa kwanza.
Hizi shule binafsi kwa sasa ni kama utapeli wa taaluma kwa sasa.