Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
O-level bongo wanafunzi hawatumii kikokotoo, while a-level wanatumia."Elimu ni kile kinachobaki kichwani baada ya kusahau yale uliyofundishwa darasani" by Albert Einsten.
Wakuu wasalaam,bila kupoteza muda twende na mada.Nianze kwa kuelezea mambo ya tofauti kati ya elimu ya Marekani na Tanzania:-
1.wanafunzi wa marekani hawachapwi viboko,lakini wanafunzi wa Tz wanachapwa hasa wakifeli,kwa wastani kuanzia darasa la kwanza hadi form six mwanafunzi wa Tz anakuwa amechapwa fimbo 1200 jumlisha dazeni za makofi na adhabu ngumu.
2.Marekani wanasoma siku 200 kwa mwaka,lakini Tz wanasoma siku 280 hadi 300 kwa mwaka.
3.Marekani wanafunzi wanatumia simu na hakuna upuuzi wa kuvaa sare(uniform),sisi huku simu ni haramu kwa mwanafunzi zaidi ya viroba,halafu kuvaa sare ni lazima eti wote tuonekane tuko sawa kiuchumi upuuzi mtupu.
Inaendelea......
Hahahahaha watakuwa wanaunga Mkono juhudi za BashiteHivi kwa hali ilivyo saizi wanafunzi wanatumia simu nyumbani zero zinakuwa nyingi je wakiruhusiwa kutumia na huko shule itakuaje?
sawa mkuu lakini ukweli ni kuwa elimu yao ipo juu hatakama shida uliyotaja ipoIshu ni kwamba sabab ya utandawaz elim imeshuka dunia mzima sio Tz pekeyake,mambo yamekua marahis mnoo,hata huko marekan janga hili napo lipo,watoto wanaonekana hawana akil kabsaa,sabab evrythn kishakua accomplished dunian hapa,..so mtu haon umuhim wa yeye kuelemika..mtu yuko radh azeekee kwa wazaz ,yeye anaona fulesh tuu,...hili swala hata marekan lipo mkuu.watoto wa skuhiz hazipand vichwan sio bongo tuu hata huko unakosema,excludin nchi chache tuu za ulaya huko ambao wao kuelimika ni custom kwao,yaan is a must,..tolea mfano nchi nyingne ila sio marekan au uingereza,huko nako elim inashuka skuhiz
2014 ulikua olevel?sawa mkuu lakini ukweli ni kuwa elimu yao ipo juu hatakama shida uliyotaja ipo
wao wanaishi karne ya 21
sisi tunaishi karne ya 18
Ni Tanzania pekee duniani ambayo mtoto anapewa elimu ya msingi kwa kiswahili kwa miaka saba hadi nane (ukijumlishia na chekechea) kisha anabadilishiwa gear angani anaanza kupewa elimu ya sekondari kwa lugha ya kiingereza kwa miaka minne na anategemewa afaulu.
Tutasubiri sana.
Ahahahahahhahahaha wanaficha umaskini wao kwakuwalisha watu vitu vichafu mkuu ratiba ya wali mashuleni inakuwa kama sikukuu meno nje hii ni hatarikitambo sana,tatizo umaskini unatufanya tunakuwa na mawazo mgando eti maharage yenye wadudu yanakufanya uwe na akili na afya njema,hivi kweli hii inaingia akilini?
Zipo sababu za msingi za utofauti ambazo ziko kwenye mitaala,pia ukae ukijua sisi tunafuata mfumo wa elimu wa UK.
Kwenye hoja yako:Tz na USA ni context mbili tofauti..kwa level tu ya maendeleo huku hata idadi ya taasisi za kutoa elimu ni chache pia mfumo wa utoaji uwekezaji na maboresho, pia mazingira na tamaduni zetu kuna mambo ambayo usipofanya watoto watapotea kabisa..mfano. viboko huku kwetu bado ni sahihi ingawa haki za binadamu zinakataza. Level ya tech wangapi wanaweza kuwa na simu (affordability)
Vipi kuhusu mfumo wa ku train waalimu..mwalimu anakua ni product ya waliofeli ndio awe huko (mostly sec and primary schools),vipi juu ya working conditions (salary..fringe benefits..motivation)
So kuna issues za mifumo, uchumi, context(social cultural issues),
Political will(planning_prioritisation and allocation of appropriate resources for ed provision) haya yote ndio yanafanya tuwe t
Tatizo linaanzia nyumbani malezi ya kitanzania na marekani tofauti!swali la kujiuliza kwanini wa ughaibuni wanatumia na elimu yao ipo juu,au wanafunzi wa bongo hawana akili ya kujitawala hasa katika kutumia simu?
Mkuu acha kufananisha marekani na vitu vya ajabu sisi wenzetu wakutufananisha labda Rwanda au kenya mkuu marekani mbali utakuwa unabaka mfananisho
uhalisia lazima usemwe kwani ukiambiwa dar imejengeka kuliko Ruvuma kwa tafsiri yako utasema naishusha Ruvuma lakn kiuhalisia ni KWELIUsipende kujishusha