Elimu ya Tanzania na elimu ya Marekani,mbona sisi tunatumia nguvu nyingi?

O-level bongo wanafunzi hawatumii kikokotoo, while a-level wanatumia.
 
Ishu ni kwamba sabab ya utandawaz elim imeshuka dunia mzima sio Tz pekeyake,mambo yamekua marahis mnoo,hata huko marekan janga hili napo lipo,watoto wanaonekana hawana akil kabsaa,sabab evrythn kishakua accomplished dunian hapa,..so mtu haon umuhim wa yeye kuelemika..mtu yuko radh azeekee kwa wazaz ,yeye anaona fulesh tuu,...hili swala hata marekan lipo mkuu.watoto wa skuhiz hazipand vichwan sio bongo tuu hata huko unakosema,excludin nchi chache tuu za ulaya huko ambao wao kuelimika ni custom kwao,yaan is a must,..tolea mfano nchi nyingne ila sio marekan au uingereza,huko nako elim inashuka skuhiz
 
Hatujaweka mkazo kwenye elimu..tupo bize na chaguzi za marudio zinazogharimu mamilioni ya shilingi..
 
sawa mkuu lakini ukweli ni kuwa elimu yao ipo juu hatakama shida uliyotaja ipo
 
wao wanaishi karne ya 21
sisi tunaishi karne ya 18

Kuna siku niliwahi kuwaza. Nadhan ishu ya karne ya 21 ibaki kwa ulaya na marekan labda na baadhi ya nchi za asia, ila kwa sisi Tanzania tupo karne ya 18 tu. Kuna prof. nliwah kumskia kwamba 1884 jiji la miami lilikiua km hii dar ya leo ambayo wenyew tunavimbia[emoji23].
 
 
Zipo sababu za msingi za utofauti ambazo ziko kwenye mitaala,pia ukae ukijua sisi tunafuata mfumo wa elimu wa UK.

Kwenye hoja yako:Tz na USA ni context mbili tofauti..kwa level tu ya maendeleo huku hata idadi ya taasisi za kutoa elimu ni chache pia mfumo wa utoaji w elimu una issues nyingi ambazo bado haziko vizuri zinahitaji uwekezaji na maboresho, pia mazingira na tamaduni zetu kuna mambo ambayo usipofanya watoto watapotea kabisa..mfano. viboko huku kwetu bado ni sahihi ingawa haki za binadamu zinakataza. Level ya tech wangapi wanaweza kuwa na simu (affordability)

Vipi kuhusu mfumo wa ku train waalimu..mwalimu anakua ni product ya waliofeli ndio awe huko (mostly sec and primary schools),vipi juu ya working conditions (salary..fringe benefits..motivation)

So kuna issues za mifumo, uchumi, context(social cultural issues),
Political will(planning_prioritisation and allocation of appropriate resources for ed provision) haya yote ndio yanafanya tuwe tulivyo..ingawa jutihada zinaonekana na changes ila itatuchukua muda sana as rate ya maboresho haiendani na demand.
 
kitambo sana,tatizo umaskini unatufanya tunakuwa na mawazo mgando eti maharage yenye wadudu yanakufanya uwe na akili na afya njema,hivi kweli hii inaingia akilini?
Ahahahahahhahahaha wanaficha umaskini wao kwakuwalisha watu vitu vichafu mkuu ratiba ya wali mashuleni inakuwa kama sikukuu meno nje hii ni hatari
 
nimekupata mkuu
 
swali la kujiuliza kwanini wa ughaibuni wanatumia na elimu yao ipo juu,au wanafunzi wa bongo hawana akili ya kujitawala hasa katika kutumia simu?
Tatizo linaanzia nyumbani malezi ya kitanzania na marekani tofauti!

Sisi huku hakuna Uhuru wa kutoa mawazo toka watoto sisi ni watu kutekeleza amri bila kuhoji wenzetu toka nyumbani wanafundishwa kuhoji.

Sisi hatuna transparency ktk mambo mengi sana

So usifananishe kabisaa marekanibna Tanzania hayo ni machache yako mengi mnooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…