Let me share with you my short experience.
Nimeinterview more than 500 fresh graduates na about 100
job seeking employed guys.
Watanzania tunatatizo kubwa sana kwenye lugha ya kiingereza,
hiyo inatulet down kwa kiwango cha kutosha tu when it comes to
winning an interview, most of the interview rooms I have happed
to be, in challenging and very interactive, cha ajabu, mtanzania
anapata opportunity ya kuelezea a general issue ambayo haiitaji
professionalism anaanza kujikanyaga na this, he, she, it nk.
Hivyo, automatically, mtu aliyepata foreign exposure lazima awin
hiyo interview sababu anakuwa communicative zaidi,
Tatizo hili hili la kiingereza linamaanisha kwamba hata na uelewa
wa watanzania kwenye mambo waliyojifunza vyuoni inakuwa issue,
ni wachache sana wanatoka vyuoni na knowledge ya kueleweka,
kwenye interview unakuta mtu anapewa opportunity ya kujiexpress
in swahili unashangaa anakuwa bubu, kisa ama hana vocabrary za
kutosha za kiswahili kuelezea vitu vilivyo kwenye profession yake,
au hana uewelewa wa kutosha wa profession yake.
Ukija kwetu sasa, the working class, ukimuinterview mtu ambaye
anafanya kazi kwenye Government institution for a vacancy in the
provate sector, usipokuwa makini unaweza kucheka sana kwenye
interview room. hawaelewi kabisa kabisa, ukizungumza na mtu
aliyekwenye banking industry issues za kwenye health industry,
tena unakuta bure kabisa, lakini,inawezekana hili likawa halina direct relation
na kusomea home/bongo au kwenda nje
Kitu kingine kinachopunguza ubora wa wahitimu wa vyuo
vya bongo ni madesa, wanavyuo wa bongo hawasomu vitabu
kabisa kabisa na vyuo vyetu havijawekeza katika vitabu,
Pale university of dar es salaam college of business studies
kama sikosei, wanafanya investment kubwa sana katika
majengo, kaangalie investment katika vitabu, wenye data
wanisaidie ili tupate picha kamili.
Kitu kingine ni utafiti, mfano mzuri hata kwenye bajeti ya
serikali ambayo mchakato wake unaendelea utakuta kwenye
sekta ye elimu kiwango kinacotengwa kwa ajili ya utafiti
ni kidogo sana hii inapelekea uelewa wa watu wetu
kuwa umejikita katika tafiti zilizofanywa nje ya nchi
ambazo unakuta hazina tija sana katika mazingira yetu.
Kwa hiyo jamaa waliosoma nje wataendelea kutukimbiza
makanumba kwa muda mrefu tu huko mbeleni