Elimu ya tz vs elimu ya nje ya nchi

Elimu ya tz vs elimu ya nje ya nchi

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Habari zenu wapendwa!nilikua nafuatilia kipind cha 5 connect kinachorushwa na eatv,mada ilikua inasema wapi ni wahitimu wanao ajiriwa kirahs kati ya waliosoma ndani ya nchi{i.e tanzania}na wale walosoma nchi za nje{haijalish ni kenya,ug,india,uk,us or canada},wengi wa wachangia mada wamesema mtu alyesoma nje ana advantage ya kuajiriwa haraka eti kutokana na confidence wkt wa interview,lakini mimi kama mimi cjaridhishwa na utetez wao kwa sababu bado naamin elimu yetu tunayoipata hapa bongo endapo hatutaidharau wenyewe,ni elimu nzuri sana ambayo inamfanya mhitimu aweze kupambana na mazingira yanayomzunguka popote pale ktk huu ulimwengu.
 
Hao waliosoma nje wanaajiriwa kirahisi kwenye sekta ipi? Public au Private?
 
Suala la kuajiliwa linatokana na mwajili ana imani ipi na chuo husika, kama atakuja mwanafunzi aliesomea harvard au oxford ni dhahiri yule aliesomea UDOM atakuwa na wakati mgumu, kwanza amesoma kwa kutishwa na lecturers so amesoma muda mwingi ili asipate sup kwa namna yoyote ila hata kwa kutukia nyenzo. pili migomo isiyoisha so mwajiri anaweza kuhofia kuanza kwa migomo kwenye kampuni yake.

Kuna waajiri wengine wanaimani sana na vyuo vya hapa nchini, siku moja nilikuwa kwenye screening ya appricants kwa ajiri ya kuajiliwa, kuna appricant mmoja alisomea poland na alipambana na vijana wetu wa pale COET na DIT kiukweli jamaa hatukumchukua kwa sababu imani iliyopo kwa vijana wetu wa MIST, DIT, COET na Arusha tech ni kubwa kuliko hao wa nje.
 
Mkuu sijaweza kukubaliana wala kutokubaliana na wewe kwa sababu tu hujasema imani gani unazungumzia! vyuo vinafundisha vizuri na hivyo kila mwanafunzi anaelewa vizuri? wachapa kazi?
Mie nadhani lazima hiki kitu kama mwajiri anajua anachokitafuta kwa applicants ataangalia vigezo ambavyo mara zote vitakuwa ni person-specific zaidi kuliko kuwa na imani.
 
walikua wanaongelea secta zote mkuu!

shukrani.

Lakini naona kwenye private sectors wanaprefer watu wanaowaona ni competitive, na wata-add value kwenye shughuli zao..Na pia bado tuna ile mentality ya kwamba vitu vya nje ni bora, hivyo bado watakuwa na soko kubwa. ni ukweli usiopingika kwamba, kwa wale waliobahatika kusoma nje sio rahisi kuwaona wanahangaika kutafuta kazi..
 
mayb unambie walosomea uk na USA bt hz products frm cjui india nd malaysia,bora wangebaki bongo 2,ni wabovu kuliko hata sisi.
 
mayb unambie walosomea uk na USA bt hz products frm cjui india nd malaysia,bora wangebaki bongo 2,ni wabovu kuliko hata sisi.

red: umegeneralize sana hapo, mtu anaposoma nje jua kuna vyuo vingi sana na hadhi tofauti mfano ni malaysia na india kuna 100's za vyuo.. vingine ni bora sana zaidi ya uk na US na pia kuna vyuo vya kihuni vingi sana same applies to US & UK na nchi zote. Kinachoangaliwa ni umesoma chuo gani na sio nchi, Mfano UK angalia kwanza je chuo ni accredited? na 80%+ ya watz wanasoma vyuo vya bei rahisi ambavyo si accredited na elimu mbovu japo ni UK
 
unachoongea nakipinga si kweli kwamba product za india mbovu kuliko za bongo umeshaambiwa kwamba huku nje nako inategemea na vyuo na vyuo sio kwamba vyuo vyote ni vizuri cha muhimu angalia hiki chuo kipo accredided kutoa hizo bachelor na masters!!!usigeneralize mbona viongozi wengi wanaenda kutibiwa huko india!!!wakiumwa tu na wananchi wengi tu na huwezi linganisha hata siku moja uchumi wa tanzania na india pamoja na nchi nyingine za ulaya cha muhimu hapo angalia jina la chuo na quality yake international na huyo mtu aliyetoka kusoma maana kuna watu wanaaga wanaenda kusoma wanafika na kuishia kwenye ulevi na umalaya then akisharudi bongo anasema alikua shule so ni muhimu sana kuchunguza kiundani kabla ya kutoa maoni!!sorry kama nimekukwaza ila nimeufurahia mjadala huu!!napenda sana tuendelee nao unavutia!
mayb unambie walosomea uk na USA bt hz products frm cjui india nd malaysia,bora wangebaki bongo 2,ni wabovu kuliko hata sisi.
 
Let me share with you my short experience.
Nimeinterview more than 500 fresh graduates na about 100
job seeking employed guys.

Watanzania tunatatizo kubwa sana kwenye lugha ya kiingereza,
hiyo inatulet down kwa kiwango cha kutosha tu when it comes to
winning an interview, most of the interview rooms I have happed
to be, in challenging and very interactive, cha ajabu, mtanzania
anapata opportunity ya kuelezea a general issue ambayo haiitaji
professionalism anaanza kujikanyaga na this, he, she, it nk.

Hivyo, automatically, mtu aliyepata foreign exposure lazima awin
hiyo interview sababu anakuwa communicative zaidi,

Tatizo hili hili la kiingereza linamaanisha kwamba hata na uelewa
wa watanzania kwenye mambo waliyojifunza vyuoni inakuwa issue,
ni wachache sana wanatoka vyuoni na knowledge ya kueleweka,
kwenye interview unakuta mtu anapewa opportunity ya kujiexpress
in swahili unashangaa anakuwa bubu, kisa ama hana vocabrary za
kutosha za kiswahili kuelezea vitu vilivyo kwenye profession yake,
au hana uewelewa wa kutosha wa profession yake.

Ukija kwetu sasa, the working class, ukimuinterview mtu ambaye
anafanya kazi kwenye Government institution for a vacancy in the
provate sector, usipokuwa makini unaweza kucheka sana kwenye
interview room. hawaelewi kabisa kabisa, ukizungumza na mtu
aliyekwenye banking industry issues za kwenye health industry,
tena unakuta bure kabisa, lakini,inawezekana hili likawa halina direct relation
na kusomea home/bongo au kwenda nje

Kitu kingine kinachopunguza ubora wa wahitimu wa vyuo
vya bongo ni madesa, wanavyuo wa bongo hawasomu vitabu
kabisa kabisa na vyuo vyetu havijawekeza katika vitabu,
Pale university of dar es salaam college of business studies
kama sikosei, wanafanya investment kubwa sana katika
majengo, kaangalie investment katika vitabu, wenye data
wanisaidie ili tupate picha kamili.

Kitu kingine ni utafiti, mfano mzuri hata kwenye bajeti ya
serikali ambayo mchakato wake unaendelea utakuta kwenye
sekta ye elimu kiwango kinacotengwa kwa ajili ya utafiti
ni kidogo sana hii inapelekea uelewa wa watu wetu
kuwa umejikita katika tafiti zilizofanywa nje ya nchi
ambazo unakuta hazina tija sana katika mazingira yetu.

Kwa hiyo jamaa waliosoma nje wataendelea kutukimbiza
makanumba kwa muda mrefu tu huko mbeleni
 
Back
Top Bottom