asante mkuu..ndio maana pale chini nimeandika haya ni maoni yangu ninayoyapendekeza pamoja na yale yatakayopendekezwa na wachangiaji wengine (ukiwemo wewe)...Asante mkuu.Ushauri wako utakua umekosa mana endapo hujazungumzia 'Uboreshaji wa sekta ya AFYA'...AFYA nimuhimu sana kuliko yote hayo...ongeza kitu hiyo
Pamojaasante mkuu..ndio maana pale chini nimeandika haya ni maoni yangu ninayoyapendekeza pamoja na yale yatakayopendekezwa na wachangiaji wengine (ukiwemo wewe)...Asante mkuu.
Kulikuwa na shule za kilimo, hilo somo ilikuwa lazima ulisome kwenye hiyo shule ya kilimo, kama zilivyo shule za ufundi ambapo lazima usome masomo ya ufundi.Nakumbuka hata dada yangu kipindi anasoma secondary miaka ya 2003 alikuwa anasoma na somo la agriculture....sijui imeishia wapi hii...asante kwa mchango wako.
Tulikuwa na shule za ufundi kama ifunda, moshi tech, Arusha tech, mbeya tech hizi tuliziua na nyingine ziligeuzwa vyuo lakini wanafunzi walitoka wakiwa na ujuzi kamili.
Binafsi nimesoma shule ya kilimo o level tulifundishwa vitu vingi kuanzia soil science, livestock keeping, agro mechanics, rural economy, bee keeping, fishing ni knowledge ambazo zinamsaidia mwanafunzi akimaliza shule changamoto kuna baadhi ya topic kama soil science hazina walimu wa kutosha
Ndiyo,Tazama akinaKwamba aliyepata division four au zero ndo anafaa kuwa mcheza mpira,mwimbaji n.k....mnachanganya akili na kipaji.
Sisi hatukufundishwa, mwalimu wa chemistry akasema mtafundishwa kwenye agriculture, wa biology naye hivyohivyoSoil science zina walimu wa kutosha.
Kwa taarifa yako kila mwalimu wa chemistry Tanzania ni mwalimu wa soil science.
Siasa ina hela ndefu ndo mana hao watu bright wanakimbilia hukoNashauri division 5 wawe wana siasa.
Maana siasa watu bright hawafai kwenye siasa.