Elimu ya unajimu

Nyota inapatikana kupitia tarehe, mwezi na mwaka wako ya kuzaliwa, saa uliyozaliwa, pamoja na mji ulozaliwa.
Kwahiyo jina langu halihusiki hapo.
Mfano Nyota yangu capricorn nmezaliwa saa1 asubui kamili Dsm Tanzania nyota yangu nini[emoji15]
 
Kwahiyo jina langu halihusiki hapo.
Mfano Nyota yangu capricorn nmezaliwa saa1 asubui kamili Dsm Tanzania nyota yangu nini[emoji15]
Jina halina maana sana kwenye unajimu. Kwa tarehe hiyo uliyozaliwa ni kwamba sun ilikua kwenye nyota ya mbuzi (sign). Lakini ili tujue mengi kuhusu wewe inabidi taarifa tupate taarifa hizi;

1. Tarehe ya kuzaliwa
2. Saa ulozaliwa ( na dakika kama unazijua.
3. Mji ulozaliwa.

Hivi vinatosha kueleza kila kitu.
 
ooh sawa mkuu
 
Yeye alikufundisha kutumia nini? Mi ninavyojua astrologer wote makini wanatumia charts mfano wa hiyo niliotuma..
Alinifundisha njia ya kuchukua tarehe ya siku ya mechi,mwezi na mwaka unajumlisha pamoja na herufi moja ya kwanza ya katika kila timu.

Sijui unaifahamu hiyo njia?
 
kuna mwanamke nataka kumuoa ye jina lake linaanzia herufi H mi jina langu linaanzia B. kuna baadhi ya wanajimu wanasema herufi ya jina ina maana kubwa katika masuala ya ndoa. Wanasema ukioa mwanamke ambaye herufi za majina haziendani eti huwezi kuwa na mafanikio maishani. Hebu nifafanulie kidogo
 
Alinifundisha njia ya kuchukua tarehe ya siku ya mechi,mwezi na mwaka unajumlisha pamoja na herufi moja ya kwanza ya katika kila timu.

Sijui unaifahamu hiyo njia?
Hapana sisi hatutumii hivyo, sisi huwa tunatumia njia mbili;

Njia ya kwanza, ni kuangalia nani mwenyeji (home team) na mgeni (away team).

Njia ya pili ni kuangalia jezi walizovaa.

Lengo la kufanya hivi ni kujua Ascendant na Descendants. Ukishajua hivi vitu, hatua inayofuata ni kuangalia planet ruler wa ascendant na Descendants.

Mwisho unaangalia aspects kati ya planet ruler na moon.

Hizo ndo primary factors za kujua hatma ya kila mechi.

Lakini kwanza lazima uwe na msingi wa Unajimu ili kuelewa haya ntakayosema.
 
Na mimi ntakutafuta nipate hiyo elimu...! Maana hutakiwi kuacha kujifunza
 
Kwa nini Aries anakuwa ni first zodiac sign?
Aries anakua first zodiac sign kwa sababu ya nature yake. Aries ni leader by nature. Na haogopi ku take action katika mazingira yeyote yale.

Hiyo lakini kwa universal chart, kumbuka kila mtu ana chart yake ambayo ni tofauti na mwingine. Kuna mwingine chart yake haianzii na Aries, inaweza ikaanza hata na Pisces ambayo ni sign ya mwisho.
 
Is the sun a planet?
 
Is the sun a planet?
Kwenye Unajimu Sun na Moon zinahesabika kama Planets.

Lakini katika Astronomy sun is the star na moon ni luminary.

Mfate mnajimu yeyote unayemjua aje kupinga hizi sentensi.
 
Kwenye Unajimu Sun na Moon zinahesabika kama Planets.

Lakini katika Astronomy sun is the star na moon ni luminary.

Mfate mnajimu yeyote unayemjua aje kupinga hizi sentensi.
Kwa nini jua liwe sayari na si nyota?

Clearly jua ni nyota inayozungukwa na sayari. Na mwezi ni satellite inayozunguka dunia. Na dunia ni sayari inayozunguka jua.

Kwa nininuziite zote hizi sayari wakati nenonsayari lina maana yake specific?

Nikisema astrology ni primitive astronomy kama alchemy ilivyo primitive chemistry nitakuwa nakosea?
 
Hebu nichekie mimi hapa tarehe 30/9/1987 kuzaliwa alfajiri mida ya azana mkoa dar ilaLa, nch tanzania
 
Kwa njia hizo unaweza kujua hadi na idadi ya magoli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…