Elimu ya unajimu

Ungekua ni mtu ambaye upo huru kujifunza, ningekutumia vitabu vingi kwenye WhatsApp uone hizo hoja zilivyojibiwa.

Lakini baada ya kufuatilia nyuzi zako nyingi nikagundua we ni mtu wa aina gani.

Siwezi hata kukutumia vitabu vyangu kusoma. Mtu mwenye hoja za msingi ni yule aliyekua na elimu katika pande zote mbili. Kisha akaamua afuate njia ipi?

Je unajua lolote kuhusu unajimu?. Maana hizo hoja zako ulizoleta hapo sio msahafu ama biblia.
 
Jibu hoja hapa, nani kakwambia nataka vitabu vyako au majadiliano nawe Whatsapp.

Astrology ni uongouongo mwingi umeungwa ungwa.

Jibu hoja hizo, usikimbie.
 
Hayo mambo yapo kwenye masuala ya uganga wa kienyeji ambayo sisi wanajimu hatuhusiki nayo.

Kazi ya mnajimu ni kukushauri kuhusu mambo yanayokuhusu kwa kuangalia nyota yako, lakini sio kuchafua nyota za watu. Wala kusafisha nyota ambayo imechafuliwa.

Mshirikina au mganga anaweza fanya jambo lolote lakini mnajimu huwezi kufanya lolote kwenye uganga au ushirikina.
 
Tumuombee Mungu amsaidie mkuu!
 
Naelewa mkuu,ila mie nimetaka kujua hali kuchafuka kwa nyota ndio inakuaje?
 
Jibu hoja hapa, nani kakwambia nataka vitabu vyako au majadiliano nawe Whatsapp.

Astrology ni uongouongo mwingi umeungwa ungwa.

Jibu hoja hizo, usikimbie.
Nakwambia hivi ungekua unajua lolote kuhusu unajimu, ningejibu hoja zako. Nakujibu vipi kwa mambo ambayo huyajui?

Jifunze kwanza unajimu halafu nitafute. Hata muislam ama mkristo akitaka kukipinga kitabu cha mwenzie hukaa chini na kukisoma kitabu hicho.

Kajifunze popote unapopajua halafu uje hapa. Lakini kwa sasa ntakua nakuonea tu, maana ntaongea vitu ambavyo huvielewi na hujawahi kuvisikia kabisa.
 
Hujaeleza inakuwaje jua, mwezi, sayari zote ziwe sayari.

Hujajibu objections za kisayansi zinazosema astrology ni uongouongo tu.

Kwa sababu huwezi kujibu.

Kwa sababu astrology ni uongouongo tu.
 
Mkuu huyo achana nae tushamzoea yeye anajua ubishi ndio kila kitu,hata kama hakubaliani na haya mambo lakini angeweza kuhoji kiustaraabu na wengine tukapata faida.
 
Mkuu huyo achana nae tushamzoea yeye anajua ubishi ndio kila kitu,hata kama hakubaliani na haya mambo lakini angeweza kuhoji kiustaraabu na wengine tukapata faida.
Kwa mtu mgeni Jamii forum ndio atamshangaa Kiranga.
 
Mkuu huyo achana nae tushamzoea yeye anajua ubishi ndio kila kitu,hata kama hakubaliani na haya mambo lakini angeweza kuhoji kiustaraabu na wengine tukapata faida.
Hapondipo nimehoji kistaarabu mwishowa ustaarabu wangu katika kuhoji mamboambayo yana maelezo fyongo.

Nimeweka points z aku debunk astrology, hazijajibiwa hapo juu.

Watetezi wa astrology wameshindwa kuitetea, wanabaki kurukaruka maswali tu.

Ukiufanyia ustaarabu sana ushenzi, ustaarabu wako unakuwa ushenzi.

Unahalalisha ushenzi.

Yani mpaka leowatu waambiwe maisha yao yanaendeshwa kwa nyota wakati tangu enzi za Shakespeare watu walishajua hu niuongo?

Shakespeare kaandika haya takriban mwaka 1599. Mpaka leo watu wanaamini nyota na astrology tu?

Cassius:
"The fault, dear Brutus, is not in our stars,
But in ourselves, that we are underlings."

Julius Caesar (I, ii, 140-141)

The fault, dear Brutus, is not in our stars - eNotes Shakespeare Quotes
 
Sasa kama misahafu na Biblia vinapingwa itakua astrology??

Kama anayepinga anakua na maslahi yake anayoyajua yeye ambao nyinyi follower hamuyajui, mi nikusaidiaje?

Kumbuka hata kama kukaa kimya pia ni jibu. Na kuna watu maalum wa kujibiwa jibu la namna hiyo..

Lugha za staha ni ishara ya mtu muungwana.
 
Tatizo kulikuwa hakuna haja ya kupanic na kumshambulia.
 
Wanaotulisha matango pori ya astology ndio wenye maslahi yao, ya kutuambia wanaweza kutabiri maisha kwa kuangalia nyota.

Hujajibu objections za kisayansi zilizotolewa hapo juu kuhusu astology.

Kwa sababu huwezi.

Kwa sababu astrology ni uongouongo tu.
 
Tatizo kulikuwa hakuna haja ya kupanic na kumshambulia.
Ukiwa nyoronyoro hata nikipiga chafya utaona nimepanic na nikikusalimia tu "Hello" utasema nimekushambulia kwa kukuita "hell hole".

1. Astrology haina msingi wowote wa kutabiri maisha kama inavyosema.

2. Haijajibu maswali yanayoonesha kwamba astrology ni uongouongo tu.

Kwa sababu ni uongouongo tu.

Na wewe unakubali jua, mwezi na sayari zote ni sayari?
 
Debunking Astrology – The Planets Just Aren’t That Into You

Read more at: Debunking Astrology - The Planets Just Aren't That Into You



Debunking Astrology – The Planets Just Aren’t That Into You Be sure to follow Rohit on Twitter at @RealRohitArora! What is Astrology and how does it (supposedly) work? If you haven’t been living under a rock your whole life, you are probably aware of the daily horoscope section in your local daily. Here you’ll find list of daily predictions for the twelve zodiac-signs (or sun-signs; there is a subtle difference but the two are often used interchangeably).

These predictions claim to broadly predict what your day would look like, and may also contain some suggestions on activities you should embrace and/or avoid. So far, I have lived on three different continents and as far as I can remember, this section has been the daily staple of pretty much every single newspaper. Some people do not leave for work without preparing themselves for the day according to their horoscope, while others just read it for fun and are marveled at its accuracy.

The problem though is that it is completely bogus. Astrology has no rational basis and is not backed by any kind of evidence or testable theory. It is the prime example of pseudoscience, which has successfully seeped into popular culture. Don’t believe me? Ask someone their zodiac-sign and, without dwelling too much into statistics, they will most likely know the answer. Ask them what it means to belong to that sign and either they will have absolutely no idea or they will tell you something about their ruling planet (which doesn’t really mean anything either but makes people feel smart) . But I think I am being too harsh on the horoscope and zodiac-signs because they are largely harmless, and astrology is about much more than just that.

I will spare you boring details about the origins and history of Astrology, because you can find those details elsewhere. Briefly, the sky is divided into twelve regions and each region is represented by the zodiac names. Essentially, astrology is rooted in the principle that celestial bodies, such as planets and the moon, can exercise influence in various spheres of human activities. The question is how? According to astrological explanation, the sky is divided into twelve regions, each region represented by a zodiac and the position of the sun (and sometimes other celestial bodies; astrology has many flavors) in of these regions, depending on the time and place of an individual’s birth decides his or her sign, which in turn is a predictor of the various personal and professional aspects of the individual’s life. It is actually not the craziest idea in the World (maybe that’s why people still tend to believe it? Not sure).

The reason I say this may not be an outright crazy idea, is because one of the arguments made in the fundamental text of Astrology, Tetrabiblos (English version may be downloaded here) by Ptolmey is that, since the planetary bodies can affect physical changes on Earth and the life it harbors (tides, temperature, seasons etc.), therefore the method of prediction is valid. Historically speaking, to someone in 2nd century AD this is a fairly good explanation, given that astronomy was just starting to develop as a field of research and astrology and astronomy were quite interchangeable (and many people continue to do so). This is where the pseudoscience aspect comes in. Let’s dissect it further.

Read more at: Debunking Astrology - The Planets Just Aren't That Into You
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…