Elimu ya unajimu

Elimu ya unajimu

mkuu hukuelewa kumbe mtarudishana darasani humu,wafundishe waliochagua kuufuatilia uongo wako mkuu.
Kwenye Jamii Forum huwezi kumzuia mtu asichangie uzi wako.

Ndio mana nikaweka group maalum la WhatsApp kwa wanaohitaji.
 
Observation, form a question, hypothesis, data collection, analyzed and draw a conclusion.

Kwenye unajimu hayo yote yamefanyika miaka 3000 iliyopita.

Science piaina prediction na peer review.

Einstein alivyotoa Theory of Relativity mwaka 1915, watu wengi hawakumchukulia serious, mpaka eclipse ya 1919 ambapo ali predict kwamba nyota zilizoonekana karibu na jua zitaonekana wapi kwa sababu jua litapinda miale ya mwanga.

Einstein alivyotabiri,alitoana hesabu zake, zilizoonesha jua litapinda mwanga vipi.

Utabiri wake ulikuwa very specific.

Solar eclipse of May 29, 1919 - Wikipedia

Wewe nakuuliza, Mercury in retrograde inaathiri vipi mikataba duniani? Ni kwa electromagnetic waves? Gravity? Strong nuclear force? Weak nuclear force? Hizi ndizo forces zinazojulikana kisayansi.

Ni kwa jinsi gani haya mambo yanafanyika tuyajue?

Umeshindwa kuelezea.
 
Kwenye Jamii Forum huwezi kumzuia mtu asichangie uzi wako.

Ndio mana nikaweka group maalum la WhatsApp kwa wanaohitaji.
sikusema uwazuie unatumia muda mwingi kufafanua mambo ambayo kimsingi hukuyaanzisha wewe ila nawe umeyasomea na unahitaji wengine wayajue.sasa ukiwa unatumia muda mwingi wa kujibu maswali na ukijibu yanaongezeka na mengine sasa wanaojifunza watajifunza nini.
 
Umeongea jambo la msingi sana. Kwa heshima yako nitaachana kubishana na huyu jamaa.

Tatizo lingine ni kwamba unapokaa kimya anaona kama umemkimbia. Kumbe sivyo.
 
huyo ni mtu wa kuheshimika haswa tena sana,ila unaonekana kupambana nae badala ya kuelekezana na kufundishana sasa chukulia kama amekushinda halafu ridhisha nafsi na roho yako kwa kuifunua elimu yako na wengine waijue.hekima ikuongoze badala ya shari na kukamiana.
 
Umenena vyema mkuu
 
Kuna mtu kaelezea Mercury in retrograde inaathiri vipi mikataba duniani?
 
Binaadam ana kitu tunasema “free will” na ni sisi tunaweza kutengeneza our reality/fate na yote yanayo mtokea mwanadaam yanatoka ndani yake na si nje yake

Unajim na mengineyo yanaweza kumuelezea bindaam kwa matendo na labda hatima ya kesho yake lakini binaadam akigundua nguvu aliyonayo ndani yake na ukubwa wake kwamba yeye ni sehemu hiyo kubwa ya uumbaji wa hali, mazingira na vyote vinavyo mzunguka haitaji mtu/watu wa kumuangalizia chochote kuhusu hatima yake na mazingira yake
 
Ulichokiongea kina ukweli 99.99%. Lakini katika kusoma kwangu unajimu, nilichoambiwa ni kwamba, kazi ya hizo sayari katika ni kukupa tu ishara kwamba muda wa kufanya jambo fulani umewadia ama muda huu si mzuri wa kufanya jambo fulani. Na hiyo ndiyo kazi kubwa ya unajimu.

Ila mie nafikiri ikiwa hizo nguvu zipo ndani yetu na si nje basi wote tungelijua hilo na kuweza kuzitumia,tofauti na hali ilivyo.
 
Ndio hapo tunapaswa kuanza safari ya kujijua ‘inner self ‘ lkn kumbuka hii safari ni kila mtu anapaswa kupita na kwa muda wake na kiu ya kuingia ndani ni ya muhusika mwenyewe pale inapokutana na mazingira muafaka
 
Ulichokiongea kina ukweli 99.99%. Lakini katika kusoma kwangu unajimu, nilichoambiwa ni kwamba, kazi ya hizo sayari katika ni kukupa tu ishara kwamba muda wa kufanya jambo fulani umewadia ama muda huu si mzuri wa kufanya jambo fulani. Na hiyo ndiyo kazi kubwa ya unajimu.

Tupo pamoja mkuu nakukubali sana kwa darasa lako namkumbuka mtu mmoja na kwa sasa ni marehemu kama sijakosea jina alikuwa anaitwa ‘Otieno ’ ni Mganda sema alilowea hapa nchini alibobea sana ktk hayo mambo na kuna chart moja alinipa kuhusu Nyota yangu very interesting

Lkn kama nilivyosema awali binaadam ni sehemu kubwa ya ‘universal intelligence’ ni pekee anaamua hatima /fate yake kwa uzuri ama ubaya ni sehemu ya uumbaji cha msingi ni kugundua nguvu iliyo ndani ya kila mmoja wetu na inayoweza ku athiri maisha yetu ya sasa na yajayo
 
Ndio hapo tunapaswa kuanza safari ya kujijua ‘inner self ‘ lkn kumbuka hii safari ni kila mtu anapaswa kupita na kwa muda wake na kiu ya kuingia ndani ni ya muhusika mwenyewe pale inapokutana na mazingira muafaka[/QUOTEl]
Mimi nafikiri hii nguvu ipo nje yetu na si ndani yetu.
 
Ni katika chambua chambua zangu za Jamii intelligence threads nikakutana na hii mwanzo mwanzo nilivyoona unavyozungumza nikahisi finally kuna mtu ana elimu nzuri kidogo kuhusu aunajimu lakini usijiskie vibaya kukwambia haya,

1: rejea kujifunza kuwa jua katika elimu ya unajimu sio sayari ni nyota falme,

2: rejea katika kujua nyota ya mtu huwa hatutumii tarehe za kuzaliwa peke yake na blah blah nyingine huwa ni jina moja tu la muhusika na la mama yake linatoa muongozo mzima hata kama nickname na hata kama hana wazazi,

3: rejea kujifunza kuwa astrology kila siku kila saa zinageuka hivyo kitu MTU anachotakiwa kumark kuhusu durusi hili ni start point peke yake pekee na sote tunaathiriwa na kuongozwa na nyota moja peke yake,
12 zodiac/doors au 16 effect au 4 elements zote hizi zinakaa kwa mtu 1 itategemea na start point yake ni ipi basi.

Rakims
 
Ni katika chambua chambua zangu za Jamii intelligence threads nikakutana na hii mwanzo mwanzo nilivyoona unavyozungumza nikahisi finally kuna mtu anaelimu nzuri kidogo kuhusu astrology(unajimu) lakini usijiskie vibaya kukwambia haya,

1: rejea kujifunza kuwa jua katika elimu ya unajimu sio sayari ni nyota falme,

2: rejea katika kujua nyota ya mtu huwa hatutumii tarehe za kuzaliwa SAA na blah blah nyingine huwa ni jina moja tu la muhusika linatoa muongozo mzima hata kama nickname na hata kama hana wazazi,

3: rejea kujifunza kuwa astrology kila siku kila saa zinageuka hivyo kitu MTU anachotakiwa kumark kuhusu durusi hili ni start point peke yake pekee na sote tunaathiriwa na kuongozwa na 1 star peke yake,
12 zodiac/doors au 16 effect au 4 elements zote hizi zinakaa kwa mtu 1 itategemea na start point yake ni ipi basi

Rakims
Unasema jina moja tu linatisha je mfano mi naitwa Kenneth na Kenneth mwengine kwahiyo tutafanana
 
Swali zuri ndugu, ila naomba nikujibu kwa swali ili ufunguke mawazo kidogo chupa ya chai ya kijani na chupa ya chai nyeusi zina tofauti gani? Of cause zote ni chupa zaidi ya rangi na ukubwa hakuna utofauti mwingine maana zote ni chupa,

Kufanana mnaweza lakini tofauti itaijia pale tu baada ya kucaluculate hilo jina moja na kuongeza mafungu maalum kisha kugawanya na kupata all information's that are needed hata jina mzazi wako unaweza kulipatia humo tarehe na mwezi uliozaliwa pia na juma la kuzaliwa mkuu hadi mwaka,

Rakims
 
Ni katika chambua chambua zangu za Jamii intelligence threads nikakutana na hii mwanzo mwanzo nilivyoona unavyozungumza nikahisi finally kuna mtu anaelimu nzuri kidogo kuhusu astrology(unajimu) lakini usijiskie vibaya kukwambia haya,

1: rejea kujifunza kuwa jua katika elimu ya unajimu sio sayari ni nyota falme,

2: rejea katika kujua nyota ya mtu huwa hatutumii tarehe za kuzaliwa SAA na blah blah nyingine huwa ni jina moja tu la muhusika linatoa muongozo mzima hata kama nickname na hata kama hana wazazi,

3: rejea kujifunza kuwa astrology kila siku kila saa zinageuka hivyo kitu MTU anachotakiwa kumark kuhusu durusi hili ni start point peke yake pekee na sote tunaathiriwa na kuongozwa na 1 star peke yake,
12 zodiac/doors au 16 effect au 4 elements zote hizi zinakaa kwa mtu 1 itategemea na start point yake ni ipi basi

Rakims
Nimecheka sana nilivyoona comment yako. Sikiliza nikwambie kitu, hiyo njia ya kumtabiria mtu kwa jina lake ipo katika elimu ya numerology. Huu ni unajimu wa kutumia namba na majina ya watu.

Lakini hii haizuii elimu ya unajimu kubakia katika nafasi yake.nakwambia hivyo kwa sababu nimesoma elimu zote mbili. Na siku yoyote nikiamua nitaipandisha hapa hiyo elimu.
 
Maneno mengi mkuu elimu ndoto, usijidanganye kwa kupitia vielimu vya online na tuvijitabu tulioandikwa na mtu kama wewe kila siku zinavyozidi kwenda hii elimu ndio inavyozidi kupotea na kufichwa na kuanzishwa vimambo mambo vya astrology na blah blah za numerology, hiki unachokizungumzia hapa ni numerology wewe na sio astrology elewa hizi unazozielezea hapa ni elimu ya namba na unataka ionekane kama elimu ya magimba hapana numerology ni mjukuu wa world knowledge (ilmu duniya) ambaye ndiye baba wa astrology na astrology ndio mtoto wa Elimu dunia na ndio mzazi wa numerology na vinyago vingine kama psychic powers na abilities..

Hivyo elewa kuwa hivi ni vya kuokota okota tu kwenye ilmu dunia ambayo kama umezaliwa zamani kidogo utafahamu kuwa kipindi cha enzi za mababu watemi wafalme na wakubwa wengine walikuwa wakiona muda wao wa kuondoka umekaribia wanakusanya mavitabu na elimu walizopata na kuchomelea mbali moto au kuzika na kuipoteza kabisa hii elimu isipatikane, chanzo cha elimu hii ni Nchi za Kiarabu ila ndio hivyo watu wakishatokea wakajitangaza wanacho kitu basi huonekana wao ndio waanzilishi, sometimes usiamini kila jibu linalotoka google mkuu,

Mfano mzuri ni hapa kwenye hii thread si unaona wewe umeanzisha?
Lakini mimi kwa kukurekebisha kwangu kidogo tu, naweza nikapata watu wengi wa kunisikiliza na kunielewa zaidi na wakasema hii thread alianzisha Rakims,

Ndio hii elimu ilivyovurugwa na kupotezwa, unategemea kama dunia nzima ingefahamu ukweli kuhusu elimu hii Leo ingekuwa wapi?

Rakims
 
Back
Top Bottom