Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Observation, form a question, hypothesis, data collection, analyzed and draw a conclusion.
Kwenye unajimu hayo yote yamefanyika miaka 3000 iliyopita.
sikusema uwazuie unatumia muda mwingi kufafanua mambo ambayo kimsingi hukuyaanzisha wewe ila nawe umeyasomea na unahitaji wengine wayajue.sasa ukiwa unatumia muda mwingi wa kujibu maswali na ukijibu yanaongezeka na mengine sasa wanaojifunza watajifunza nini.Kwenye Jamii Forum huwezi kumzuia mtu asichangie uzi wako.
Ndio mana nikaweka group maalum la WhatsApp kwa wanaohitaji.
Umeongea jambo la msingi sana. Kwa heshima yako nitaachana kubishana na huyu jamaa.sikusema uwazuie unatumia muda mwingi kufafanua mambo ambayo kimsingi hukuyaanzisha wewe ila nawe umeyasomea na unahitaji wengine wayajue.sasa ukiwa unatumia muda mwingi wa kujibu maswali na ukijibu yanaongezeka na mengine sasa wanaojifunza watajifunza nini.
huyo ni mtu wa kuheshimika haswa tena sana,ila unaonekana kupambana nae badala ya kuelekezana na kufundishana sasa chukulia kama amekushinda halafu ridhisha nafsi na roho yako kwa kuifunua elimu yako na wengine waijue.hekima ikuongoze badala ya shari na kukamiana.Umeongea jambo la msingi sana. Kwa heshima yako nitaachana kubishana na huyu jamaa.
Tatizo lingine ni kwamba unapokaa kimya anaona kama umemkimbia. Kumbe sivyo.
Umenena vyema mkuuhuyo ni mtu wa kuheshimika haswa tena sana,ila unaonekana kupambana nae badala ya kuelekezana na kufundishana sasa chukulia kama amekushinda halafu ridhisha nafsi na roho yako kwa kuifunua elimu yako na wengine waijue.hekima ikuongoze badala ya shari na kukamiana.
Binaadam ana kitu tunasema “free will” na ni sisi tunaweza kutengeneza our reality/fate na yote yanayo mtokea mwanadaam yanatoka ndani yake na si nje yake
Unajim na mengineyo yanaweza kumuelezea bindaam kwa matendo na labda hatima ya kesho yake lakini binaadam akigundua nguvu aliyonayo ndani yake na ukubwa wake kwamba yeye ni sehemu hiyo kubwa ya uumbaji wa hali, mazingira na vyote vinavyo mzunguka haitaji mtu/watu wa kumuangalizia chochote kuhusu hatima yake na mazingira yake
Ila mie nafikiri ikiwa hizo nguvu zipo ndani yetu na si nje basi wote tungelijua hilo na kuweza kuzitumia,tofauti na hali ilivyo.Binaadam ana kitu tunasema “free will” na ni sisi tunaweza kutengeneza our reality/fate na yote yanayo mtokea mwanadaam yanatoka ndani yake na si nje yake
Unajim na mengineyo yanaweza kumuelezea bindaam kwa matendo na labda hatima ya kesho yake lakini binaadam akigundua nguvu aliyonayo ndani yake na ukubwa wake kwamba yeye ni sehemu hiyo kubwa ya uumbaji wa hali, mazingira na vyote vinavyo mzunguka haitaji mtu/watu wa kumuangalizia chochote kuhusu hatima yake na mazingira yake
Ila mie nafikiri ikiwa hizo nguvu zipo ndani yetu na si nje basi wote tungelijua hilo na kuweza kuzitumia,tofauti na hali ilivyo.
Ulichokiongea kina ukweli 99.99%. Lakini katika kusoma kwangu unajimu, nilichoambiwa ni kwamba, kazi ya hizo sayari katika ni kukupa tu ishara kwamba muda wa kufanya jambo fulani umewadia ama muda huu si mzuri wa kufanya jambo fulani. Na hiyo ndiyo kazi kubwa ya unajimu.
Ndio hapo tunapaswa kuanza safari ya kujijua ‘inner self ‘ lkn kumbuka hii safari ni kila mtu anapaswa kupita na kwa muda wake na kiu ya kuingia ndani ni ya muhusika mwenyewe pale inapokutana na mazingira muafaka[/QUOTEl]
Mimi nafikiri hii nguvu ipo nje yetu na si ndani yetu.
Unasema jina moja tu linatisha je mfano mi naitwa Kenneth na Kenneth mwengine kwahiyo tutafananaNi katika chambua chambua zangu za Jamii intelligence threads nikakutana na hii mwanzo mwanzo nilivyoona unavyozungumza nikahisi finally kuna mtu anaelimu nzuri kidogo kuhusu astrology(unajimu) lakini usijiskie vibaya kukwambia haya,
1: rejea kujifunza kuwa jua katika elimu ya unajimu sio sayari ni nyota falme,
2: rejea katika kujua nyota ya mtu huwa hatutumii tarehe za kuzaliwa SAA na blah blah nyingine huwa ni jina moja tu la muhusika linatoa muongozo mzima hata kama nickname na hata kama hana wazazi,
3: rejea kujifunza kuwa astrology kila siku kila saa zinageuka hivyo kitu MTU anachotakiwa kumark kuhusu durusi hili ni start point peke yake pekee na sote tunaathiriwa na kuongozwa na 1 star peke yake,
12 zodiac/doors au 16 effect au 4 elements zote hizi zinakaa kwa mtu 1 itategemea na start point yake ni ipi basi
Rakims
Swali zuri ndugu, ila naomba nikujibu kwa swali ili ufunguke mawazo kidogo chupa ya chai ya kijani na chupa ya chai nyeusi zina tofauti gani? Of cause zote ni chupa zaidi ya rangi na ukubwa hakuna utofauti mwingine maana zote ni chupa,Unasema jina moja tu linatisha je mfano mi naitwa Kenneth na Kenneth mwengine kwahiyo tutafanana
Nimecheka sana nilivyoona comment yako. Sikiliza nikwambie kitu, hiyo njia ya kumtabiria mtu kwa jina lake ipo katika elimu ya numerology. Huu ni unajimu wa kutumia namba na majina ya watu.Ni katika chambua chambua zangu za Jamii intelligence threads nikakutana na hii mwanzo mwanzo nilivyoona unavyozungumza nikahisi finally kuna mtu anaelimu nzuri kidogo kuhusu astrology(unajimu) lakini usijiskie vibaya kukwambia haya,
1: rejea kujifunza kuwa jua katika elimu ya unajimu sio sayari ni nyota falme,
2: rejea katika kujua nyota ya mtu huwa hatutumii tarehe za kuzaliwa SAA na blah blah nyingine huwa ni jina moja tu la muhusika linatoa muongozo mzima hata kama nickname na hata kama hana wazazi,
3: rejea kujifunza kuwa astrology kila siku kila saa zinageuka hivyo kitu MTU anachotakiwa kumark kuhusu durusi hili ni start point peke yake pekee na sote tunaathiriwa na kuongozwa na 1 star peke yake,
12 zodiac/doors au 16 effect au 4 elements zote hizi zinakaa kwa mtu 1 itategemea na start point yake ni ipi basi
Rakims
Maneno mengi mkuu elimu ndoto, usijidanganye kwa kupitia vielimu vya online na tuvijitabu tulioandikwa na mtu kama wewe kila siku zinavyozidi kwenda hii elimu ndio inavyozidi kupotea na kufichwa na kuanzishwa vimambo mambo vya astrology na blah blah za numerology, hiki unachokizungumzia hapa ni numerology wewe na sio astrology elewa hizi unazozielezea hapa ni elimu ya namba na unataka ionekane kama elimu ya magimba hapana numerology ni mjukuu wa world knowledge (ilmu duniya) ambaye ndiye baba wa astrology na astrology ndio mtoto wa Elimu dunia na ndio mzazi wa numerology na vinyago vingine kama psychic powers na abilities..Nimecheka sana nilivyoona comment yako. Sikiliza nikwambie kitu, hiyo njia ya kumtabiria mtu kwa jina lake ipo katika elimu ya numerology. Huu ni unajimu wa kutumia namba na majina ya watu.
Lakini hii haizuii elimu ya unajimu kubakia katika nafasi yake.nakwambia hivyo kwa sababu nimesoma elimu zote mbili. Na siku yoyote nikiamua nitaipandisha hapa hiyo elimu.